Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

vp kuhusu kwa afya yako AC ipo poa zaid ya kufungulia vioo??
 
Mi nimeona nikiwashs AC wakati wa kupanda milima gari hupungua nguvu, nikizima inakuwa na nguvu kawaida. Sijui hii ni kwa gari yangu tu au wengine nanyi mmeliona hilo? Naomba uzoefu wenu tafadhali.

Ni kweli mkuu hata mimi nimeshawahi kuexperience hii kitu... Ngoja wataalamu waje watueleze.

Njoo RRONDO udadavue hapa!
 
Last edited by a moderator:

jibu zuri hili hapa,nimelitoa google.....

Air Conditioners are run by a belt that is connected to the crankshaft. The engine turning causes the A/C Compressor to move.
When your A/C is not turned on, a clutch disengages the A/C Compressor's internals from the pulley on the belt. This allows that belt to free spin, not adding load onto the engine.
When the A/C is turned on, that clutch is engaged and so the internals of the A/C Compressor are driven, this does add load to the engine.
If this is a new symptom, then it is a sign that the compressor is adding more load to the engine then it used to and could be signs of a failing compressor, the pulley starting to seize, need for lubrication, etc.
If it has always been this way and you are just curious as to why, it is simply additional strain being put on your engine by the A/C.
The fact that it has more of an impact at first start then once moving is not surprising. Your engine is not warmed up yet and not at its optimal running condition yet.
A/C systems impact the performance of all engines, however the smaller and less powerful the engine, the more impact is going to be noticed as the A/C systems are not proportional to the engine, they are proportional to the interior cabin space.
Take a vehicle that has a 4 cylinder and 6 cylinder engine option, the A/C unit is going to be the same as there is the same interior space to cool. However, you are going to notice the power impact far less on the V6 as it will be a smaller % reduction of power
 
Sasa atueleze gari yake ina cc ngapi isijekuwa ndio zile za G Sam.
 
Last edited by a moderator:
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC[vioo wazi].

Kiufundi ili AC ifanye kazi inahitaji nguvu ya ziada kutoka kwenye engine ili compressor izunguke,sitaingia kiundani kwasababu mimi sio mtaalam wa AC. Na kwa kuzingatia hili watu wengi wanaamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC.

Hili si kweli. Ukitumia AC gari inatumia nguvu zaidi LAKINI ukiacha vioo wazi gari inatumia nguvu zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Vioo vikiwa wazi gari inatengeneza kitu kinaitwa 'DRAG' yaani upepo unajaa ndani ya gari na kuifanya iwe nzito kwahio inatumia nguvu nyingi kutembea kuliko ukifunga vioo na kutumia AC.

Kwenye speed ya 80kph ukifungua vioo unatumia mafuta 20% zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Kwa maelezo haya nahitimisha kuwa UKITUMIA AC GARI INATUMIA MAFUTA KIDOGO KULIKO USIPITUMIA AC NA KUACHA VIOO WAZI.

Hiki nilichoandika hapa ni scientifically proved ya SOCIETY OF AUTOMOBILE ENGINEERS[SAE],sikuweka link ili nichangamshe mada,jisomeeni hapo chini. page 1,2 even 3 mkiweza

http://auto.howstuffworks.com/fuel-efficiency/hybrid-technology/driving-with-windows-down1.htm

CC: OLESAIDIMU MANI Kaizer Kalamzuvendi Titans

Kwakeli ni ubahili wa kijinga kwakuwa mafuta yanayotumika ukiwasha AC ni kidogo sana kulinganisha na hasara utakazozipata
Kuacha vioo wazi kunachakaza mno gari hasa mavumbi na uchafu mwingine utakaoingia ndani ya gari na kugandamana
Unabania mafuta ambayo hayafiki elfu tatu kwa wk ukitumia AC halafu unaenda kuosha gari kwa zaidi ya elfu kumi
 
ni kweli gari inachakaa sana ndani ukiwa na tabia ya kushusha vioo sana.......hasara yake ni kubwa kuliko mafuta unayo-save
 
RRONDO uzi mzuri kaka! !!!!!

Good job well done!!!!!

Uko na mpwa wako MANI naona saaafi
 
Last edited by a moderator:
Hapana, haijachoka kihivyo; ndio ina mwaka wa pili barabarani; bado iko njema sana.

Mkuu waweza kuwa na engine nzuri na gari iko njema ila pulley bearing ya compressor yaweza kuwa imechoka
 
Back
Top Bottom