Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Hamna kabila lenye kizuizi juu ya uvaaji kofia. Hata mimi nimeshuhudia wakati wa kusalimu na wa kula chakula hasa majumbani, huvuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha ushamba basi kuvaa kofia sio uhuni ila wahuni wengi wanavaa kofia
 
Mpaka leo nchi kama Uingereza unapokutana na mtu anayekuzidi cheo au rika, ukimsalimia unavua kofia na baadaye unavaa. Nadhani hii ni ile tumerithi toka kwa waingereza au kama ilikuwepo sijui maana sisi wa mikoani kuondoa waislam, wazee wetu huoni picha yoyote ambayo walivaa kofia.

Wanaonekana wamevaa kofia mara baada ya kuathiriwa na kasumba ya waarabu, wajerumani na waingereza. Hii si mila ya kitanzania ila ni mila ya kuletwa. Kama kuna kabila lilivaa kofia naomba lije linikosoe. Tusihusishe dini na mila zetu za asili.
 
Na Mkuu wa mkoa wa Mwanza. Anapenda sana Ivy Capes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamba mzigo,huoni hata anko magu siku ile taifa stars ilivoshinda alitupia cap ya njano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…