Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Kofia sio kitu mbaya ila inategemea na aina gani unavaa na time gani! Mfano mie napenda manzi yangu avae kofia af atolee kinywele nyuma kule kama mcheza tennis! Inanibamba sana!


Yes..kwa manzi inavutia..yes..nakuelewa..!hyo ht mm nikiipata blak naweza tinga wknd 1..lakini sio men😣
 
Hahahah we utakuwa unachukulia sivyo, ila love is compromising! Sikulaumu maana pia mie sipendi mwanamke avae vikuku in the same manner we haupendi mtu avae kofia.


nadhan tunaelewana sasa....hahahaja mm kikuku sijawah vaa ila nilikua navaa pete kidole cha 2 mguuni..enzi hizo za usichana..nw siwez tena
 
Serious mkuu unaonekana km mhuni..na kuna zile culture..wanaume wanazivaa sana zina bendera ya Tz..kwakweli nachefukwa sana..iko siku nitaunguza mtu mkono
Hahaha mie kacha sivai na sizielewi kabisa, kuna mamzi alikuwa ananiletea hizo mapigo, mi napenda jeweleries hasa silver! So sikosi Bracelet na Kamba shingoni...ati yeye hapendi anaona uhuni! Nikamwambia mama mlango upo wazi...niondokee kwenye maisha yangu! Mtu wa kunipangia maisha kihivyo simtaki!
 
nadhan tunaelewana sasa....hahahaja mm kikuku sijawah vaa ila nilikua navaa pete kidole cha 2 mguuni..enzi hizo za usichana..nw siwez tena
Aisee the moment nimekuona umefanya hivyo, mapenzi na uaminifu wangu kwako ungetoka asilimia 90 mpaka 40 kwa kasi ya mwanga!
 
Hahaha kuna mamzi alikuwa ananiletea hizo mapigo, mi napenda jeweleries hasa silver! So sikosi Bracelet na Kamba shingoni...ati yeye hapendi anaona uhuni! Nikamwambia mama mlango upo wazi...niondokee kwenye maisha yangu! Mtu wa kunipangia maisha simtaki!


Aisee...nilimkuta hubby naye anavaa cheni..alafu imagine ana manywele had shingoni..nikaitupaga..
Jamani tuseme ukwwl..mwanaume halisi namaanisha halishi aishie kuvaa saa na pete ya ndoa..mm men avae pete sio ya ndoa namuona km ametoka mombasa..nakua namgwaya...huyu wang ameanza kuvaa hizo culture .ina alama ya bendera nataka siku niivute paap ikatike ...uhuni sana..hyo demu anajielewa sana...!mwanaume utavaaje bracelete jamam..au upo under 20?
 
Ukiniona utatamani niwe wako, just smart! Sivai pete za majini zile au madalali 😁😁😁😁😁 excuse my French

Alafu ww kumbe unanielewa..nayajua hayo.mapete makubwa hv yamepauka.pauka tu km.mapete sijui ya majini😅😅😅..aisee hapana bado sijakuelewa..
 
Back
Top Bottom