Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushamba. Kofia kuvaa wala si uhuni. Kuna kofia watu wanavalia hadi suit na zinaonesha watu wenye pesa. Haya mambo inatakiwa muwe na exposure msikariri. Mpo kijiji gani? Kuwa boss si kuwa anajua kila kitu utakuta naye ndo wale wale....na mumeo anafanya kazi gani mpaka naye anakuwa na Boss? Tena boss mshamba? Una muexpose sana.Kuna kipindi hubby alinunua cap..nikamwambia mbn unavaa kofia unakuwa km mhuni mhuni vile..akaniambia ninaficha upara...sasa sk 1 kaivaa..boss wake akamu0na akamwambia na ww ushakuwa mhuni sasa kwann unavaa kofia..???toka pale akaacha..kwakweli mwanaume anayevaa kofia awe btn 30 -50 mimi kwangu namchukulia MUHUNI..hana tofauti kbs na mdada anayechomekea dera kwa nguo za ndani!
Jitafakari best🤔🤔🤔🤔🤔
barghashia sio balghashia, geeze ni lini mtajua kutofautisha baina ya r na l?
To be honest kuvaa kofia sio uhuni in such na pia kutopenda kuona mtu wa makamo fulani anavaa kofia sio ushamba ila ni uamuzi wa mtu tu, tabia na hulka na jinsi walivyokulia na uvaaji wa kofia (cap). Na sio tu kwa sababu watu fulani wanavaa ndio iwe ni sawa kwa kila mtu, si vizuri kuiga kila tunachokiona kuwa watu wanaojulikana wanafanya na sisi tukataka kuiga tu! Si vizuri kumuita mwenzio mshamba kwa kuwa tu hakubaliana na tabia fulani au style fulani ya mavazi.Una ushamba. Kofia kuvaa wala si uhuni. Kuna kofia watu wanavalia hadi suit na zinaonesha watu wenye pesa. Haya mambo inatakiwa muwe na exposure msikariri. Mpo kijiji gani? Kuwa boss si kuwa anajua kila kitu utakuta naye ndo wale wale....na mumeo anafanya kazi gani mpaka naye anakuwa na Boss? Tena boss mshamba? Una muexpose sana.
Profesa wako akivaa kofia ya ivi!! tu! stuka! kushinda mitihani yake ni vigumu mnooo!!.....uta supp. mpaka ukome!Habari ya 'weekend' wakuu?
Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps.
Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni kuwa ukikutana na mtu aliyekuzidi umri then ukawa unamsalimia basi ile kofia unaivua, baada ya salamu unaivaa. Nami kwa kufuata mazoea basi huwa nafanya hivyo pia.
Basi leo nimemsaliamia mzee mmoja nikajisahau kuivua, yule mzee hakuonesha kukwazika, kinyume na nilichokitegemea.
Swali ninalouliza, je uvaaji kofia ni ishara ya uhuni kwa mila zetu watanzania? Au ni baadhi ya makabila tu?
Na kutovua kofia wakati wa salam je nao ni uhuni?
View attachment 1056316View attachment 1056317View attachment 1056318
Sent using Jamii Forums mobile app