Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Bwana Henry Stanley pindi anamtambua David livingstone kwa mara ya kwanza kule ujiji pia alivua kofia.
 
Hata wazungu Wana utaratibu huo
Wa kuvua kofia kama kuonesha heshima!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Henry Morton Stanley alitumwa na Newyork post kumtafuta Dr David's Livingstone akamkuta Ujiji mwaka 1871.Alivua kofia akasema Dr Livingstone I presume.
Idea yangu ni kukuonyesha huu ni utaratibu tu hata wazungu wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...nilimkuta hubby naye anavaa cheni..alafu imagine ana manywele had shingoni..nikaitupaga..
Jamani tuseme ukwwl..mwanaume halisi namaanisha halishi aishie kuvaa saa na pete ya ndoa..mm men avae pete sio ya ndoa namuona km ametoka mombasa..nakua namgwaya...huyu wang ameanza kuvaa hizo culture .ina alama ya bendera nataka siku niivute paap ikatike ...uhuni sana..hyo demu anajielewa sana...!mwanaume utavaaje bracelete jamam..au upo under 20?
Daaah watu tunatofautiana mm hunikosi na bracelet na shingoni na naonekana wa heshma sjawahi hisiwa muhuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom