Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

nyie naona mnasema Ni uhuni embu tupeni maana ya uhuni..alaf tuunganishe na kofia

Sent using Jamii Forums mobile app


Uhuni ni ile tabia fulan inayokufanya ukose uaminifu fulan kwa jamii inayokuzunguka..utofautishe umalaya na uhuni...!..kama Adam Malima yule mhuni..yaan mtoto wa mjini sana...mapete mengiii😅😅..yaan ni mazoea mabaya buaya tu kwenye jamii...muonekano wako unafanya watu wasikuamin hv
 
Kofia sio kitu mbaya ila inategemea na aina gani unavaa na time gani! Mfano mie napenda manzi yangu avae kofia af atolee kinywele nyuma kule kama mcheza tennis! Inanibamba sana!
1553842211925.png

1553842261682.png

Sie huku kila kitu tunatia ugumu...eehe uhuni ni uhuni tu.Kuna watu wanalawiti watu huko na wanavaa suti vizuri kweli.Ona hapo Mapambo ya dunia yalivyo pendeza.
 
Back
Top Bottom