Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
..nimeandika nimefuta..ntakuchamba pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo avatar sim imekubali kuonyesha..nimeandika nimefuta..ntakuchamba pm
Nyts..
Mkwe wangu anavaa, nami navaa pia, yaani PIPA NA MFUNIKO, MBWA KALA MBWA.Nenda basi ukweni ukatoe posa umevaa hayo makofia uone
My beibe 🤩🤩🤩 kumbe we ni mvaaji wa madude yote hayo? We si mtt wa kiislamu lknTunao vaa kofia, pama, masheni kama yote, Pete tano kwenye vidole, tunaruhusiwa kukometi.
Achana na maswala ya mama, cha msingi uwe na kinywele cha kutolea nyuma ya cap 😍😍😍Nakumbuka niliwahi kuvaa cap, Niko Taifa getini nasuburi kuingia uwanjani kucheki mpira, mama yuko kwenye gari kanicheki naludi home siku alisema ile sikuwahi kuvaa tena ila napenda mno.
Sio rahisi hivyo mama 😝😝😝Binafsi mwanaume anaye vaa cheni anipatie mbali, Pete zile za majini, culture yaani nachefukwa.
Beibe hii comment si mimi nilikometi Siamini imebidi nirudie kusoma tena na tena😄😄😄My beibe 🤩🤩🤩 kumbe we ni mvaaji wa madude yote hayo? We si mtt wa kiislamu lkn
Aiseee 😍😍😍Beibe hii comment si mimi nilikometi Siamini imebidi nirudie kusoma tena na tena😄😄😄
Hili kaburi la huu uzi sijalipenda beibe umelifukua😄😄Aiseee 😍😍😍
huu mtazamo wako aiseee kwamba ni uhuni naona umekaa kikoloni sanaKuna kipindi hubby alinunua cap..nikamwambia mbn unavaa kofia unakuwa km mhuni mhuni vile..akaniambia ninaficha upara...sasa sk 1 kaivaa..boss wake akamu0na akamwambia na ww ushakuwa mhuni sasa kwann unavaa kofia..???toka pale akaacha..kwakweli mwanaume anayevaa kofia awe btn 30 -50 mimi kwangu namchukulia MUHUNI..hana tofauti kbs na mdada anayechomekea dera kwa nguo za ndani!
Jitafakari bestundefinedundefinedundefinedundefinedundefined
Habari ya 'weekend' wakuu?
Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps.
Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni kuwa ukikutana na mtu aliyekuzidi umri then ukawa unamsalimia basi ile kofia unaivua, baada ya salamu unaivaa. Nami kwa kufuata mazoea basi huwa nafanya hivyo pia.
Basi leo nimemsaliamia mzee mmoja nikajisahau kuivua, yule mzee hakuonesha kukwazika, kinyume na nilichokitegemea.
Swali ninalouliza, je uvaaji kofia ni ishara ya uhuni kwa mila zetu watanzania? Au ni baadhi ya makabila tu?
Na kutovua kofia wakati wa salam je nao ni uhuni?
View attachment 1056316View attachment 1056317View attachment 1056318
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka leo nchi kama Uingereza unapokutana na mtu anayekuzidi cheo au rika, ukimsalimia unavua kofia na baadaye unavaa. Nadhani hii ni ile tumerithi toka kwa waingereza au kama ilikuwepo sijui maana sisi wa mikoani kuondoa waislam, wazee wetu huoni picha yoyote ambayo walivaa kofia.
Wanaonekana wamevaa kofia mara baada ya kuathiriwa na kasumba ya waarabu, wajerumani na waingereza. Hii si mila ya kitanzania ila ni mila ya kuletwa. Kama kuna kabila lilivaa kofia naomba lije linikosoe. Tusihusishe dini na mila zetu za asili.