Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Kofia napenda ila sio nivae mimi. Mwanaume akivaa fresh ila inategemea na wapi anaenda. Cheni, bracelet [emoji106] ila culture sizipendi na sivutiki nikiona mtu kazivaa naona hawi smart.
 
Una ushamba. Kofia kuvaa wala si uhuni. Kuna kofia watu wanavalia hadi suit na zinaonesha watu wenye pesa. Haya mambo inatakiwa muwe na exposure msikariri. Mpo kijiji gani? Kuwa boss si kuwa anajua kila kitu utakuta naye ndo wale wale....na mumeo anafanya kazi gani mpaka naye anakuwa na Boss? Tena boss mshamba? Una muexpose sana.
 
To be honest kuvaa kofia sio uhuni in such na pia kutopenda kuona mtu wa makamo fulani anavaa kofia sio ushamba ila ni uamuzi wa mtu tu, tabia na hulka na jinsi walivyokulia na uvaaji wa kofia (cap). Na sio tu kwa sababu watu fulani wanavaa ndio iwe ni sawa kwa kila mtu, si vizuri kuiga kila tunachokiona kuwa watu wanaojulikana wanafanya na sisi tukataka kuiga tu! Si vizuri kumuita mwenzio mshamba kwa kuwa tu hakubaliana na tabia fulani au style fulani ya mavazi.
 
Nikiwa sipo kwenye kazi zangu hasa weekend au mapumziko lazima nivae kofia maana cha kwanza napenda privacy lakini pia miwani ya jua siwezi kukosa. Muhuni ni muhuni tu hata akivaa suti, uvaaji wa kofia hauna uhusiano na uhuni nikutambua umevaa kofia ipi na sehemu gani.
 
Profesa wako akivaa kofia ya ivi!! tu! stuka! kushinda mitihani yake ni vigumu mnooo!!.....uta supp. mpaka ukome!
 
Vaa tu ila usije kuvaa yenye nembo za pinde za mvua [emoji304] kuna jmaa angu alikuwa anaivaa yeny [emoji304] kumbe alikuwa mdau mahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…