Je, uwekezaji unaifanya Tanzania koloni jipya la kujitakia?

Historia yako mbovu kupita kiasi, Muingereza kaja hapa kamkuta Muhindi yupo.

Wewe unajinyonya nafsi yako tu.
Wahidi waliletwa kama manamba wa kujenga reli. Waliokuwap Afrika mashariki hawakuwa na ubavu wowote zaidi ya kuitwa maponjoro kutokana na umaskini waliokuwa nao. Walipopigwa jeki ndiyo hawa hawa unaowaona leo wakijifanya mtajiri baada ya kupewa fursa na mabwana zao wa kiingereza.
 
Toka usingizini usije ukawapa watu wengine kazi ya kukulea uzeeni mwako,chuki za ukabila haziwezi kukusaidia kitu...
Huwezi kubadili msimamo wangu. Isitoshe tupo wengi tunaojua kuwa magabcholi nyie ni wabaguzi na washenzi tena wenye roho mbaya na za kimaskini duniani hakuna. Kuna siku wadanganyika wataamka na kuwapa dawa yenu
 
Poa, it does not cost me anything except to just educate my people against gabacholis
"Baniani mbaya kiatu chake dawa".

Kumbuka wakati nchi hii inapata uhuru, madakatari, mapolisi, viwandani, wajenzi, mapolisi, wenye maduka. wahasibu, wapigania uhuru wengi walikuwa hao unaowaita leo majina ya kiajabu ajabu.

Wabunge, mawaziri, wachumi, wafanyabiashara tunao tokea uhuru wa nchi hii mpaka leo hii.

Pengine mama;ko au baba'ko walipozaliwa kama ni hospitali basi kama si daktari, mkunga alikuwa ni hao hao leo unawaita majina ya kiajabu.

Kama hiyo haitoshi, mpaka mapinduzi ya kwanza aliyofanyiwa Nyerere mwanajeshi aliyedinda kishujaa na kuzuwia wanajeshi walioasi mpaka lilipokuwa jesshi la Uingereza kwa manowari, alikuwa ni Mhindi aitwae Kanal Kashmir.

Ikiwa wazee wako wa nchi hii wote, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Mwendazake na sasa mama Samia wanawaheshimu na kuwakubali, wewe ni kama nani wa kuwa na chuki za kijinga?

Hivi wewe umetokea mkoa upi Tanzania hii?

Leo hao ndiyo wamekuwa wabaya? Kwa lipi zaidi walilokufanyia au kukosea?
 
"Baniani mbaya kiatu chake dawa".

Kumbuka wakati nchi hii inapata uhuru, madakatari, mapolisi, viwandani, wajenzi, mapolisi, wenye maduka. wahasibu, wapigania uhuru wengi walikuwa hao unaowaita leo majina ya kiajabu ajabu...
Sioni hoja ya msingi yakujadili hapa mwanangu. Unatetea uoza kuwa ni manukato. Magabacholi ni magabacholi. Ni wabaguzi wa kunuka tu hata kama unawalamba makalio upate mabaki ya mezani. Endelea kujitoa akili
 
Huwezi kubadili msimamo wangu. Isitoshe tupo wengi tunaojua kuwa magabcholi nyie ni wabaguzi na washenzi tena wenye roho mbaya na za kimaskini duniani hakuna. Kuna siku wadanganyika wataamka na kuwapa dawa yenu
Kumbe nilikua namuelewesha punguani.
 
Ni kweli. Ni punguani pekee anaweza kuelewa upunguani na utopolo wako. Pole kwa wazazi wako waliozaa zobaaa kama veve toto yangu jingaaaa
Wanaume wanasaka maisha kitaa ila wewe unakuja na kithd cha kulia lia hapa kama mjane.
 
Wanaume wanasaka maisha kitaa ila wewe unakuja na kithd cha kulia lia hapa kama mjane.
Sisaki maisha zaidi ya kutetea taifa langu. Siko peke yangu. Hata wanasiasa wanafanya hivyo. Lazima tujikosoe na kuonyana badala ya kuruhusu upuuuziii kama huu kwa taifa letu.
 
ukisoma kitabu cha 'the richest man in babylon' kuna mahali kijana alitoroka home na kwenda huko kutafuta maisha (avtually alikimbia madeni), alipofika huko akajiingiza makundi baadae akajikuta mtumwa dameski- bahati akawa camel tender (mana boss alisema wakeze wamfanye eunuch),

sasa baada ya kupata kazi ya kutunza ngamia aliyopendekezwa na mke mkubwa wa boss (sira?), akaamua kumshukuru bi mkubwa na kujitambulisha kwamba ati yeye sio mtumwa wa kuzaliwa bali ni alizaliwa mtu huru (son of a free man).

bi sira akampa za uso, akasema 'mtu anaweza kuzaliwa kama mtu huru, lkn ikiwa nafsi yake (limetumika neno soul) ni ya kitumwa basi huyo mtu atakua mtumwa tu, maana nafsi itairudia asili yake!.... akampa challenge kijana aprove kwamba sio mtumwa ni mtu huru!

nataka kusema, inawezekana tunaongozwa na watu ambao nafsi zao ni za kitumwa, kwaio pamoja na uhuru tulionao ila wao bado nafsi zao zinadai kurejea asili yake ya utumwa! Ndiyo mana unaona matendo ya ajabu ajabu wanayofanya, ambayo kwenye akili ya mtu huru hayakubaliki.

huwa sishangai ninapoona mtu ananyenyekea wazungu/waarabu.... na watu wanamsifu.... actually wenye nafsi za kitumwa ni wengi sana, bahati mbaya wengine ni viongozi, na wengine ni machawa!

mtu mwenye nafsi huru hawezi fanya matendo wanayofanya hawa ndugu zetu.... wana nafsi za kitumwa, zinalilia utumwa! ndio mana roho zao huwa zina amani wanapoleta wakoloni nchini, hata mkipiga makelele wanaziba masikio, maana nafsi zao zimefikia tulizo la haki (utumwa)!
 
Wahindi wako mbali wewe kijana. Wanaongoza ma giant ya makampuni duniani, waziri mkuu wa uingereza ni muhindi na asili kutoka Tanzania. Fikiria Tanzania ikipata kiongozi kama huyo.

Kuwa na uhusiano na wahindi ni kwa manufaa ya Tanzania.

Hawa wasomi wetu uchwara hatukuona la maana wamefanya na sasa unataka kusingixia wageni.

Dubai 90% ya watu wake ni wageni wakiwemo wahindi matajiri wawekezaji na angalia miujiza Dubai iliofanya kwa muda mchache.

Punguza dukuduku moyoni la ubaguzi na roho mbaya utaona faida ya kujihusisha na wenye akili.
 
Wahindi wako mbali wewe kijana. Wanaongoza ma giant ya makampuni duniani, waziri mkuu wa uingereza ni muhindi na asili kutoka Tanzania. Fikiria Tanzania ikipata kiongozi kama huyo...
Hata Obama kumbe ni mhindi ukiachia mbali Biden siyo? Nenda kaishi nao India uone uhovyo wao nyambaff kubwa sana. Tangu waletwe na kuachwa na wakoloni wamesaidia nini zaidi ya kuiibia na kuisikinisha Tanzania kumbaff you
 
Tanzania bado haijajua maana ya uwekezaji na ubinafsishaji. Bado tunaelewa kuwa uwekezaji na ubinasishaji ni kuwagawia watu wa nje nafasi za kutufanyia mambo yetu wakitegemea sisi tufaidike bure bure tu, jambo ambalo halipo kabisa duniani hapa. Laiti viongozi wetu wangekuwa na akili ya kujifunza jinsi China ilivyovutia wawekezajhi na kubinasisha baadhi ya miradi yao bila kuigawa hovyo hovyo na baadaye kuwaibia teknolojia wawekezaji hao.
 
Umetawaliwa sana na ubaguzi,ubaguzi unakutafuna bila hata ya wewe kujijua,

Unaonekana ni mtu uliyejikatia tamaa ya maisha,una mawazo ya kimasikini sana.
hayo mawazo duni ya Idi Amini yalikufa zamani pamoja na yeye mwenyewe. Wewe unajaribu kuyafufua. Dunia imepiga hatua na iko mbali sasa. Amka na funua macho mkuu. Ukaburu hautatusaidia
 
hayo mawazo duni ya Idi Amini yalikufa zamani pamoja na yeye mwenyewe. Wewe unajaribu kuyafufua. Dunia imepiga hatua na iko mbali sasa. Amka na funua macho mkuu. Ukaburu hautatusaidia
Una safari ndefu sana kwenye maisha yako ya uelewa wa mambo na jinsi Dunia inavyokwenda,mipango hupangwa kutokana na matokeo ya past,huwezi kusahau yaliyopita bali utajifundisha kwa yaliyopita ili kuyajenga na kua imara kwa yajayo,history ina play part kubwa sana katika mageuzi ya Dunia ya leo,toka usingizia Dunia itakuacha umekaa chini ya mti wa muembe na fulana yako begani ukipigwa na joto.
 
Sioni hoja ya msingi yakujadili hapa mwanangu. Unatetea uoza kuwa ni manukato. Magabacholi ni magabacholi. Ni wabaguzi wa kunuka tu hata kama unawalamba makalio upate mabaki ya mezani. Endelea kujitoa akili
Walikubagua nini? Au una shemeji wa kihindi kakutenda?
Upo mkoa gani?

Nijuavyo wazungu ndiyo walitutawala hapa wakatubaguwa.

Babu yako kanisa la mzungu alikuwa haingii, wewe je?
 
Obvious, kama hufatilii mambo kwa ndani huwezi kuelewa hili.

Lakini uwekezaji Tanzania tumegeuzwa kuwa manamba
 
Walikubagua nini? Au una shemeji wa kihindi kakutenda?
Upo mkoa gani?

Nijuavyo wazungu ndiyo walitutawala hapa wakatubaguwa.

Babu yako kanisa la mzungu alikuwa haingii, wewe je?
Mbona uarabuni hakuna watu weusi wakati watumwa walipelekwa kama ilivyo mareakni?
 
Walikubagua nini? Au una shemeji wa kihindi kakutenda?
Upo mkoa gani?

Nijuavyo wazungu ndiyo walitutawala hapa wakatubaguwa.

Babu yako kanisa la mzungu alikuwa haingii, wewe je?
Msikti wako nao wa mzungu? Mbona waarabu wanasifika kuoa mabinti wa Kiswahili lakini wao wanakimbizia arabuni wawe sharmutah? Wote kwangu wabaguzi. Sema nyinyi wafanyakazi wao wa ndani mna tabia ya kuwalamba makalio
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…