Mafanikio yao yasiyowahusu watu wangu hayanihusu wala kunihangaisha. Wana TATA ndiyo. Kwani hao waajiriwa elfu nane ni wamakonde wenzetu au magabacholi. Hawa jamaa wana roho mbaya na ni wabaguzi. Kuwatetea ni sawa na kutetea ukimwi kuwa ni bingwa wa kuua
Tatizo kubwa ni watu wenye asili ya Afrika nao kuwa na uwezo wa kuwa na makampuni makubwa au biashara kubwa khasa yale yanogusa maisha ya watu kama supermarkets.
Hizi biashara nyingi zina miaka zaidi ya 100 yaani wayahudi wazishika hizi biashara kwa mfano maduka ya Aldi, Lidl, Tesco ni wayahudi. Sainsburys ni wazungu, Wilko na Morrisons ni wazungu. Mabiashara mengine kama zile Malls ni familia zamiliki lakini ni biashara ambazo zilianza tangu kabla ya vita ya kwanza ya dunia.
Miaka nilokaa pale UK na Ulaya nilijifunza sana kabla ya kuamua kurudi bongoland kujaribu vibiashara vyangu vidogovidogo. Sasa hivi nimejishika uzuri maana kwa Tanzania watu hukukwambia ni lazima uonane na wenye mji ili uweze kuruhusiwa kuwa na biashara ya maana! Yaani ni lost "of nonsense" lakini ni lazima uifuate hiyo maana usipofanya hivyo utavunjiwa biashara yako.
Hivyo ukiangalia sana utaona kuwa huu ni mfumo ambao ulijikita tangu enzi ya mababu zao na waliweza kusimama kwa kukubalika. Waziri mkuu wa sasa wa UK Rishi Sunak baba yake alikuwa na duka la dawa Sunak Pharmacy miaka ya 60, hivyo Rishi Sunak asingeweza kuwa maskini leo.
Leo hii waziri wa biashara wa UK ni mwafrika kwani Kemi kwa asili atokea Nigeria na akizungumza khasa kiyoruba.
Sasa waafrika wana nafasi yoyote ya kusimama leo kwenye mabisahara haya? Jibu ni hapana kwani mifumo ilowekwa kwa zaidi ya miaka 100 ilopita ni migumu na iliwekwa kwa ajili ya watu fulani ambao nao husaidiana hadi leo.
TATA hatengenezi magari tu pia ana kampuni tanzu ambazo zingine ni kutoka India kama kampuni ya Tata Consultancy Services ambayo hutoa ushauri elekezi kwenye masuala ya Artificial Intelligence kwa wateja kadhaa barani Ulaya na mabara mengine na waingiza fedha kwelikweli.
TATA haohao washughulika na vyuma yaani wana kampuni tanzu ya TATA Steel ambayo ni kampuni tanzu ta TATA inoshughilika na kutafuta vyuma na kutengeneza vyuma hivyohivyo. Kwahiyo TATA si magari tu wana vikampuni vingi tanzu ambavyo vyaifanya TATA kuwa kampuni kubwa sana duniani.
Ila kwa Afrika khasa Tanzania yawezekana kabisa kubadili "mindset" kwa ajili ya kujenga maisha ya vizazi vijavyo kwa serikali kuandaa mazingira bora kwa wazawa na watanzania wengine kufanya biashara kubwa kwa kuwepo miundominu imara, umeme wa uhakika na kodi rafiki kwa wanoanza biashara hizo.
Bila hivyo Waafrika hatutoboi tukiwa ndani ya nchi zetu na hata tukitoka kwenda huko nje ya mipaka yetu kwa sababu sisi wenyewe tunazibiana na kurogana na kibaya zaidi kuchumiana na kuchomeana dhambi.