Je, uwezekano wa kukutana na bodyguard wa Rais Samia mtu apige naye story tu za kawaida au utaratibu ukoje

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana yasiyo husiana na serikali wala siasa.

Je utaratibu gan unaweza ukatmika ili kumpata kwa muda ambao yuko free.
 
Yupi yule saida au Jack???
Waone kitengo wa kuambie ni mda gani anakuwa free (hayuko zamu)
 
lazima uanishe unataka kuongea naye nini hasa,ndipo upewe nafasi ya kuongea naye.

bila hivyo unawezamtumia kufanya jambo baya kama watu wakikupuuza.
 
Licha ya nafasi na majukumu waliyonayo, bado hao ni binadamu wa kawaida na wanamaisha yao binafsi. Tofauti ni ile utaratibu wao unakua tofauti kidogo.

Hao wana ndugu zao, rafiki zao n.k. kwa muktadha huo, inawezekana kabisa kuongea nae mambo ya kawaida isipokua mazingira yake yanakua magumu kidogo hasa kama hamkufahamiana nae awali kabla ya kuanza hii kazi.
 
Hao watu hawapatikani kwa wepesi ,kila anachofanya kinafuatiliwa,kama una jambo lako kaa nalo ila kama ni la usalama wa Rais fika ikulu utakutana na wazee wa protocol watakuongoza
 
Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana yasiyo husiana na serikali wala siasa.

Je utaratibu gan unaweza ukatmika ili kumpata kwa muda ambao yuko free.
S.L.P
 
Hakunaga
 
Back
Top Bottom