GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ikikupendezeni basi nayo ijumuisheni.Na nchi ya mama iwe included
Ukiona hivyo jua kuna sehemu ni utata.Mkuu leo upo na walinzi tu.
Sitaki tuzungumzie ya Tanzania kwani Mimi siyajui na pia hayanihusu vile vile Mkuu.Jeshini vyeo hutokana na bahati mkuu,,,,,with that said ingawa vyeo vya chini vinatokana na mapendekezo ya waangalizi wa jeshi ila bahati ndio huwa muamuzi
Mfano kuna askari hawana mbavu hata moja ila wanauwezo mkubwa kimwili na kimapigano kuliko askari wenye vyeo
Mkuu 'PSU' ni wapi huko na wapoje pia?Pale PSU kuna madudu yanaendelea na yapo wazi sana kuna madhaifu ya kujirekebisha
Sehemu gani hio mkuuUkiona hivyo jua kuna sehemu ni utata.
Public Service Union wao hutoa huduma za kijamiiiMkuu 'PSU' ni wapi huko na wapoje pia?
Ahsante kwa Ufafanuzi mwana Medani.Kila nchi ina taratibu zake za kulinda viongozi wake hasa wale wa ngazi za juu kutokana na mfumo wa kimamlaka wa nchi husika... swala la kiulinzi wa viongozi kuna kuwa na Agency maalumu ambayo mara nyingi zinakuwa ni kati ya police na Jeshi (imekaa kiraia lakini wanamafunzo ya kiukakamavu ) AGENCY japo kwenye ulinzi wa viongozi vyombo vyote vinashiriki kwa maana ya watu wake, vifaa au vyombo vyake
Mafunzo wote wanakwenda mafunzo ya aina moja si kwamba ukiwa mlinzi wa Rais ww ni bora kuliko mlinzi wa makamu wa rais au waziri mkuu pale atafutwi Rambo au Arnold Schwarzenegger kwa maana ulinzi ni (coordination), ushirikiano wa watu wengi na unaongozwa na mfumo maalumu si jitiada za mtu binafsi.
Kwetu Chechnya na Herzegovina Mkuu.Sehemu gani hio mkuu
DuuuKwetu Chechnya na Herzegovina Mkuu.
Hujaelewa swali rudia tenaJeshini vyeo hutokana na bahati mkuu,,,,,with that said ingawa vyeo vya chini vinatokana na mapendekezo ya waangalizi wa jeshi ila bahati ndio huwa muamuzi
Mfano kuna askari hawana mbavu hata moja ila wanauwezo mkubwa kimwili na kimapigano kuliko askari wenye vyeo
Vyeo jeshini hutokana na elimu, aina ya mafunzo aliyojifunza, huwezi kutunukiwa cheo/rank from nowhere ukawa kanali wa jeshi. Ikitokea ukatunukiwa tu labda umefanya tukio la kipekee.Jeshini vyeo hutokana na bahati mkuu,,,,,with that said ingawa vyeo vya chini vinatokana na mapendekezo ya waangalizi wa jeshi ila bahati ndio huwa muamuzi
Mfano kuna askari hawana mbavu hata moja ila wanauwezo mkubwa kimwili na kimapigano kuliko askari wenye vyeo
Mtu mwenye cheo cha Kanali hawezi kufanywa bodyguardVyeo jeshini hutokana na elimu, aina ya mafunzo aliyojifunza, huwezi kutunukiwa cheo/rank from nowhere ukawa kanali wa jeshi. Ikitokea ukatunukiwa tu labda umefanya tukio la kipekee.
Cheo/rank jeshini husomewa
Uwe unasoma na kuelewa, sijaongelea bodyguard naongelea cheo kwa maana rank jeshiniMtu mwenye cheo cha Kanali hawezi kufanywa bodyguard
Bodyguard ni askari ambao ni hawajasoma, na nao pia wanavyeo vyao huko chini