Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Hebu tuzungumzie vyeo vya askari na sio maofisa mfano Makoplo,Masajini n.kUwe unasoma na kuelewa, sijaongelea bodyguard naongelea cheo kwa maana rank jeshini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuzungumzie vyeo vya askari na sio maofisa mfano Makoplo,Masajini n.kUwe unasoma na kuelewa, sijaongelea bodyguard naongelea cheo kwa maana rank jeshini
Hapo uliposema 'Bodyguards' ni Askari ambao hawajasoma sijakuelewa zaidi na naomba Ufafanuzi wa Kina juu ya hili ( hilo ) tafadhali.Mtu mwenye cheo cha Kanali hawezi kufanywa bodyguard
Bodyguard ni askari ambao ni hawajasoma, na nao pia wanavyeo vyao huko chini
Kwani Mkuu Wa PSU Wa Sasa Ni Nani? Kbla ya Mama Sasha Kuwa Rais Mkuu Wa PSU Alikuwa Wambura, Ila Wambura namuona Yuko Kwa Makamu Wa Rais Kwa Sasa, Sasa Sijui Head of Psu Wa Sasa.Mkuu 'PSU' ni wapi huko na wapoje pia?
Kwa hii comment yako ukinambia wewe askari nakataa hapo umetenyangaMtu mwenye cheo cha Kanali hawezi kufanywa bodyguard
Bodyguard ni askari ambao ni hawajasoma, na nao pia wanavyeo vyao huko chini
Sio kila jasusi anaweza kuwa komando ila komando anaweza kuwa jasusi ulichoandika ni kisengerenyuma potSio makomandoo wote ni Majasusi,,,
Ila ili uwe Jasusi ni lazima uwe komandoo.
Walinzi wa viongozi ni watu hatari,, ni watu wenye macho yanayoona kisawa sawa (Ninaposema kuona namaanisha utambuzi).
Pamoja na kuwa kumlinda kiongozi ni jambo shirikishi linaloongozwa na mamlaka nyingi,,, hata Hivyo:
Usije ukajaribu kufanya jambo baya kwa kiongozi anaelindwa,, utaumia.
Nyongeza:
Achana na wale waliomshambulia warioba
Pia achana na yule aliemzaba kofi mwinyi
Sasa kama umesoma unakuwaje staff sajini mkuu? Wengi waliosoma unakuta kama ameamua kuwa askari maisha yake yote ujue wanaogopa kozi ile ya afisa kadeti au nanga wanaokwama njiani kwenye koziKwa hii comment yako ukinambia wewe askari nakataa hapo umetenyanga
Utakuwa mgeni wa jeshi mkuu ,mjadala utakuwa mrefu SanaHapo uliposema 'Bodyguards' ni Askari ambao hawajasoma sijakuelewa zaidi na naomba Ufafanuzi wa Kina juu ya hili ( hilo ) tafadhali.
Kuna walizokuwa 'Bodyguards' Wawili wa 'Mwendazake' walikuwa na Masters Degree na kuna Mmoja sasa anataka kuanza 'Doctorate' yake sasa uliposema kuwa hawajasoma ( siyo Wasomi ) kidogo sijakuelewa Mkuu.
Nina Rafiki yangu Mmoja ni wa Kikosi Maalum ( Commando ) sasa hivi yuko mwaka wa mwisho anasomea Udaktari wa Ubinadamu katika Chuo chao Kimoja cha Tiba kilichopo ndani ya eneo lao Nyeti na la Kimedani hapa hapa Mkoani Dar es Salaam.
Ni kwanini mnakariri kuwa Wanajeshi ( wana Medani ) wengi ( japo siyo Wote ) ni Mangumbaru ( Hawana Elimu ) wakati wengi tu walioko huko ( humo ) Wana Elimu Kubwa hata Kutuzidi Sisi akina GENTAMYCINE wenye 'tudigrii tumoja' tu?
Wapo wasomi wabobezi kwenye fani zao wanashia vyeo vya chini, nadhani ni kutokana na umri, unakuta aliamua kuongeza Elimu umri ukiwa umeenda.Sasa kama umesoma unakuwaje staff sajini mkuu? Wengi waliosoma unakuta kama ameamua kuwa askari maisha yake yote ujue wanaogopa kozi ile ya afisa kadeti au nanga wanaokwama njiani kwenye kozi
Unauliza halafu unajibu mwenyewe upo vizuri elimu pekee sio kigezo tena miaka ya karibu wapo wengi elimu kubwa wanaenda junior ncosSasa kama umesoma unakuwaje staff sajini mkuu? Wengi waliosoma unakuta kama ameamua kuwa askari maisha yake yote ujue wanaogopa kozi ile ya afisa kadeti au nanga wanaokwama njiani kwenye kozi
Unauliza halafu unajibu mwenyewe upo vizuri elimu pekee sio kigezo tena miaka ya karibu wapo wengi elimu kubwa wanaenda junior ncos
Wapo wasomi wabobezi kwenye fani zao wanashia vyeo vya chini, nadhani ni kutokana na umri, unakuta aliamua kuongeza Elimu umri ukiwa umeenda.
Niliwahi kufanya kazi Na staff Sergent ni Engineer registered kabisa na anaijua kazi vzr mno