Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

Bwana Pascal Mayalla hiyo kampuni yako ikipewa tender hao abiria 500 utawapata kwa routes to and fro 3 kwa week, 1 kwa week, 1 kwa mwezi, 1 kwa ziara au 1 kwa mwaka?
Maiden trip ni excursion American tour kumsindikiza Mama kuzindua her movie The Royal Tour, na kazi itafanywa na a Tanzanian Tour Company na an American counterpart, the cost will be US $ 5,000 per person, Kwa Tanzania na US $. 10,000 for Americans, the cost cover a round trip, it includes US Visa, 5 days 4 nights in New York, 2** hotel,and a tourist hotel in Arusha Tanzania for US Tourists. My role ni publicity only kuhamasisha. Nitawapata 💯 Bongo Movies na Bongo Music Stars wakiongozwa na Mondi, Kiba, Chinga, Mpoto ToT etc. 💯 journalist, 💯 ma pedejee wa Bongo ambao hawawezi kupata US visa wenyewe. 💯 wana CCM kumsindikiza Mwenyekiti, na 💯 wajasiriamali. There will be two trips, ndege itakwenda na Watanzania, na kugeuza na 240 rich American tourist to Serengeti, Ngorongoro and Mt. Kilimanjaro.

The maiden trip ikifanikiwa tunaanza na a monthly. Na ili ndege isiende tupu naweza kuuza tuu a Disney Land School Trips Watanzania wanaosomesha watoto wao Academy, wengi watawalipia.

The only setback ni how to control the storeaways watakao taka kuzamia US!
P.
 
Ujamaa umelemaza Watanzania. Wakenya waliukataa Ujamaa ndiyo maana ni wepesi kuchangamkia fursa.
 
😜
 
Mkuu wewe ni mkongwe kama ulisafiri na Panam. Hapo uchovu sio mchezo.
 
Nazipenda sana safari za Qatar airways. Doha pale hotel ni super. Napenda pia package zao za vyakula on board.
 
Kuingiza ndege USA direct kutoka Tanzania sio rahisi kama unavyodhani. Kenya walikua na hiyo ruhusa sijajua kwa sasa wanaendeleaje.
Kuna michakato mingi sana ya kiusalama before kupewa hicho kibali.

Nitashangaa sana kama hata hili haulifahamu.
Kumbuka hiyo ndege inambeba Rais wa nchi.
Pia Tanzania tunao mkataba na Marekani tayari kuhusu ndege zetu kuruka katika anga la Marekani.
 
Kuna watu huko wanashinda na madarubini wakitazama angani upande wa mashariki, wakiulizwa wanatafuta nini hawasemi lakini minyororo yakufungia magurudumu inatia shaka.
 
Pascal Mayalla umeongea mambo makubwa na tena yenye manufaa ya kiuchumi kwa nchi.

Tatizo la Tanzania kwa sasa ni kundi moja linalopambana kuiua legacy ya JPM.

Wanafanya yote hayo sio kwamba hawajui,la hasha...

Tatizo wanaona kwamba kutumia hiyo ndege kwenda nayo kwenye Uzinduzi wa Royal Tour,kutampa pia Credit JPM.

Jambo ambalo team Msoga hawalitaki kabisa.hata kwenye hiyo filamu ya Royal Tour usije kushangaa itakapozinduliwa ukakuta hata ATCL haikupewa kipaumbele kabisa.

Kwenye hiyo filamu unaweza kuta hata ile miradi ya miundombinu ya kimkakati kama SGR na mradi wa umeme wa JNHEP nao haukutangazwa ili kuwajulisha wawekezaji huko nje kwamba Tanzania ijayo ndio hiyo.

Wao wamejikita kupambana na marehemu kuliko kufanya mambo kwa maslahi ya nchi na wananchi wake.

Mlamba asali huwa halambi mara moja!
@CommonMwananchi10101
 
Wazo zuri
Yawezekana kuna mtihani kwenye kupata abiria
Labda iwe once a week

In the interim sio mbaya kuna KLM ama Swiss naona ndo rahisi huzunguki sana
 
Kuingiza ndege USA direct kutoka Tanzania sio rahisi kama unavyodhani. Kenya walikua na hiyo ruhusa sijajua kwa sasa wanaendeleaje.
Kuna michakato mingi sana ya kiusalama before kupewa hicho kibali.

Nitashangaa sana kama hata hili haulifahamu.
Anahis kuingiza ndege US ni kama kuingiza ndege tandahimba
 
Niliwahi kusikia route ya Mumbai,mara nikasikia ya DAR-Heathrow hivi hizi ziliishia wapi?? Ukitaka kuona hili shirika menejiment yake haipo serious waulize hizi Route kwanini zilikatishwa?
Hata mim siwez muamini mbongo anirushe na ndege safar ndefu hvyo... Wabongo tuna elimu za michingo asije ruban kutuua bure
 
Utafikiri unaenda mbinguni!
 
Mathread yako ya kisomi huwa marefu na sijamalizia kusoma
Drealiner aende nayo marekani kwani zimesharuhisiwa ndege zetu kusafiri huko?
Last time i checked tulikuwa banned.
 
Kaka leo umeongea point hapa, saafi kabisa njoo inboxi kuna bishara tujadiliane.
 
Mathread yako ya kisomi huwa marefu na sijamalizia kusoma
Drealiner aende nayo marekani kwani zimesharuhisiwa ndege zetu kusafiri huko?
Last time i checked tulikuwa banned.
Mwanzo tulikuwa tunadaiwa fee za IATA, hii sio regular scheduled trip ni excursion American tour kumsindikiza Mama kuzindua Ile movie yetu ya The Royal Tour.
P
 
Kongole Mkuu ,
Wewe ni THIK TANK, lakini Serikali ya CCM haina Utamaduni huu wa kuchukua Mafikara ya Raia wema.
Nchii hii inafeli kwa kutokuwatumia vema watu wake.
Akili za Watanzania zingeliweza kikwamua nchi katika mambo mengi, lakini hawakuwekewa Chanel.
Kila kitu tunaamini kuwa Wabunge eti ndio wataishauri serikali, Hata kama wengine hawakubarikiwa Vipaji ?

TAIFA LINAKUHITAJI Pascal
Kongole.

Ila nina wasi wasi kuwa
ATCL Haina ruhusa kurusha ndege zake nje ya nchi mpaka ilipe deni la miaka mingi inalodaiwa na IATA
Tokea enzi za Nyerere hadi mkapa alipoamua kuliuza shirika kwa matapeli wa SOUTH.
Yamkini deni ni kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…