Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

Deni la IATA, tumelipa kitambo.
P
 
Hoja ni nzuri lkn mazingira ya sasa sio rafiki

Mtikisiko wa Uchumi uliopo,

kumbuka sasa tumeporomoka sana kiuchumi na sio Tanzania tu bali kila nchi kwa sasa imetikisika.

Katika kipindi hiki Rais katumia busara na weledi na mbinu ya hali ya juu mbele ya Mataifa Tajiri,

Nchi masikini kama yetu unaanzaje kuonyesha mbwembwe za ukwasi "uchwara" eti wa matajiri wa muziki na bongo movi na matajiri wachache wakuokoteza mbele ya giant?!

kwa sasa bado tunahangaika.........
Mama anapambana ili angalau tutoboe.....hakuna haja ya mbwembwe!

Nchi yetu bado ni masikini, watu wake bado ni masikini wa kutupwa!!,

Mama kabana matumizi, hakuna haja ya ufahari wakati bado tunpmbana.

Kila jambo linaenda kwa hatua, kwa sasa wacha Mama kwanza atangaze Vivutio vya kitalii tulivyo navyo, kwakuwa ndege tunazo hakuna shida Muda ukifika ndege zitapiga kazi na zingine zitaongezwa.

Mungu mbariki Raisi wetu kwa kazi nzuri ya kuitangaza nchi na kuinua utalii wa nchi.
 
Mshauri Raisi auze Hisa za ATC ili aruhusu Patnership na tafute wataalamu BINGWA wa Airliner duniani ili waendeshe shirika ,tuongeze Mtaji na Ndege kubwa , kwani Safari za Kimataifa unatakiwa kuwa na Ndege za Kutosha kwa Dharura ili ikitokea moja kufeli nyingine ichekua nafasi
 
Hapo kwenye menejimenti ndo changamoto. Pia Bodi sio kujaza maprofesa ambao hata hizo biashara hazijui
 
Paskali, hii ni article nzuri sana. Hongera, ila usiandike 'jee" badala yake iweke 'je" au vipi wajameni (jamani)?
 
Ukiondoa issue ya US visa restrictions, kampuni yangu ya PPR, ningepewa tenda ya kuijaza Dreamliner, nakuhakikishia ningepata abiria 500!.
P
Aisee hii Ari Ni ya kuoongezwa. Japo Ubunge Kawe wajumbe walikunyoosha
 
Niliwahi kusikia route ya Mumbai,mara nikasikia ya DAR-Heathrow hivi hizi ziliishia wapi?? Ukitaka kuona hili shirika menejiment yake haipo serious waulize hizi Route kwanini zilikatishwa?
Aisee hili la ATC kutua Heathrow niliwahi kulisikia pia. Sijui bado linajadiliwa kwenye vikao vya posho?
 
Wazo zuri
Yawezekana kuna mtihani kwenye kupata abiria
Labda iwe once a week

In the interim sio mbaya kuna KLM ama Swiss naona ndo rahisi huzunguki sana
Tatizo si abiria japo nalo lipo kwa shirika lisilokuwa na jina, kama mchaguavyo mabasi ya mikoani kwenye ndege ni zaidi kwani hauanzia kwenye marubani.
Ni juzi tu ndani ya bunge ilisikika sauti ikiongelea kuhusu kunguru wetu kuwindwa kutokana na utamu wa nyama zake! Hivyo wamelazimika warukeruke karibu na viota vyao.
Tukumbuke mdada alikwenda Dubai huko kwenye maonesho angeweza kuongea na mashirika makubwa yenye ujuzi kuingia ubia kwa japo kuwakodisha ndege ili zianze kufahamika, nilichosikia toka huko tukijivunia picha yake kuonekana kwenye jengo refu duniani, sijui mpaka sasa tumeingiza faida kiasi gani! Je, hayakuwepo mashirika makubwa ya ndege yaliyokuwepo yakijitangaza? Nina uhakika yalikuwepo. Tunapoiuza Tanzanite kwanini tusiiwekee logo ya ATCL kuwa mdhamini wake angalau ianze kujulikana hata kama si mahali pake. Mimi binafsi tangu mwaka uanze sijawahi kuliona tangazo lolote la ATCL hata kwenye maguta ukiacha mabasi yanayokwenda nje ya nchi.
Mwisho dawa ya deni ni kulipa si kibadili njia, tulipe ili ndege zetu ziwe huru kuwafuta mtama kukote duniani.
 
Kuingiza ndege USA direct kutoka Tanzania sio rahisi kama unavyodhani. Kenya walikua na hiyo ruhusa sijajua kwa sasa wanaendeleaje.
Kuna michakato mingi sana ya kiusalama before kupewa hicho kibali.

Nitashangaa sana kama hata hili haulifahamu.
Kwa hiyo kama nchi inaweza kushindwa? Tena safari ya Rais? Kama ndivyo haina haja ya mama kwenda huko sasa
 
Wow! More than 6 hoursbkupewa accommodation kwenye 5 star hotel ipo kisheria au discretion ya Carrier? Kuna kipindi niliwahi kupewa Accommodation Addis Ababa, kufika hotelini wajasiriamwili Kama wote
 
Kuingiza ndege USA direct kutoka Tanzania sio rahisi kama unavyodhani. Kenya walikua na hiyo ruhusa sijajua kwa sasa wanaendeleaje.
Kuna michakato mingi sana ya kiusalama before kupewa hicho kibali.

Nitashangaa sana kama hata hili haulifahamu.
unataka kusema Safari ya mama ni dharula Kama sio dharula uandaaji wa Safari ulitakiwa uliangalie asemalo mayala nawewe kuhusu huo usalama wako unataka
 
Huo ndio usumbufu ambao abiria wa safari hizo ndefu hawataki.
Mbona Delta wanaruka OR Rambo, RSA wanatua Kotoka International Airport (Ghana) wanapakia tena abiria na kujaza mafuta then mwendo mdundo to Atlanta!
**Pichani KLM ikikata wingu Atlantic turbulence Kama yote.
 

Attachments

  • 277908447_162437092809184_516188943206291942_n.mp4
    1.1 MB
Hata mim siwez muamini mbongo anirushe na ndege safar ndefu hvyo... Wabongo tuna elimu za michingo asije ruban kutuua bure
Halafu kuna mtu alitaka eti tuongeze somo la historia ya Tanzania tuendelee kujaza upuuzi tu kichwani kwa sababu na yeye alitaka atajwe badala hata ya kuinvest kwenye knowledge ya science and technology tuendelee kuwajaza watoto wetu story za kina kinjekitile Ngwale karne hii
 
Tena story zenyewe hazina future ni aibu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…