Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Wacha tupambanie somo la HISTORIA YA TANZANIANi michongo tu ya siasa siasa!
Huwa wengi wanatengeneza route ya hivyo ili wapakie na kushusha, hapo hakuna tatizo.Mbona Delta wanaruka OR Rambo wanatua Kotoka International Airport (Ghana) wanapakia na kujaza mafuta then mwendo mdundo to Atlanta!
**Pichani KLM ikikata wingu Atlantic turbulence Kama yote
Rwandair waliwezaje? Routes za West Africa kuunganisha na Middle East/southern Africa ni strategic. Rwandair anayo Kigali-Accra-Lagos...KQ anayo NBO-Accra-Freetown-MonroviaHuwa wengi wanatengeneza route ya hivyo ili wapakie na kushusha, hapo hakuna tatizo.
Shida inakuwa pale ukisema ni direct flight halafu ushuke kupakia mafuta.
Sasa ATC ataweza kuwa na route ya Accra au Dakar? Kwa abiria wepi?
Hizo route (direct flight) wanaziweza waarabu (Kutokea Dubai, Abu Dhabi au Doha) vinginevyo Lazima unnye (stop) sehemu kabla ya kukatiza Atlantic. Hata enzi za South African Airlines ilikua inachutama AccraHuwa wengi wanatengeneza route ya hivyo ili wapakie na kushusha, hapo hakuna tatizo.
Shida inakuwa pale ukisema ni direct flight halafu ushuke kupakia mafuta.
Sasa ATC ataweza kuwa na route ya Accra au Dakar? Kwa abiria wepi?
Paskali aliongelea direct route na ndio argument ikawa kwenye range ya hizo ndege zetu.Rwandair waliwezaje? Routes za West Africa kuunganisha na Middle East/southern Africa ni strategic. Rwandair anayo Kigali-Accra-Lagos...KQ anayo NBO-Accra-Freetown-Monrovia
Mkuu Paskal umeongea Jambo muhimu sana, ni Kama tumefungwa ufahamu.Nakuomba siku hiyo ikitangazwa tangazo la Ku board, nakuomba simama pembeni ya boarding gate, then wahesabu abiria walio board from Dar, wewe uwe the last to board, ukifika ndani, wahesabu abiria business wao wana board from lounge na VIP, wajumlishe na wale wa economy, then get the total, ili tuwaeleze hawa vichaa wetu wa ATCL, what a wasted opportunity they are missing!. Wakenya wanatubebea watalii wetu, wanatusombea kazi zetu, kule Rombo wanatubebea wake zetu, sasa hata kwenda Marekani, wanatubebea abiria wetu!, kwenye soko la AGOA wanatuingizia bidhaa zetu, hata kwenye kuutangaza utalii wa mlima Kilimanjaro, wanatutangazia mlima wetu kuwa uko kwao, ila unapandwa upande wa Tanzania!. Watanzania tutaendelea kulala mpaka lini?.
P
Ni kweli maana kupata wastani wa robo tatu abiria si kitu rahisi.Kwanza ni gharama tupu
Okay. Tatizo naliona Aina ya menejimenti iliyopo. Exposure (experience ya aviation/travel industry business) hamna, wengi walistahili kuwa Halmashauri hukooo Manyoni Vijijini. Kuna Waziri aliletwaga na jiwe ndo akawa anaendaga Canada kwenye zile Mbanga, kajaza watu wake humo balaa. Marketing strategy ya ATC ni kizungumkutiPaskali aliongelea direct route na ndio argument ikawa kwenye range ya hizo ndege zetu.
Inawezekana kabisa kufanya hizo route endapo business case ita make sense.
Kabisa aseeNi kweli maana kupata wastani wa robo tatu abiria si kitu rahisi.
Serikalini watu wanabeba ndugu zao tu. Huko halmashauri ndio tabu kabisa.Okay. Tatizo naliona Aina ya menejimenti iliyopo. Exposure hamna, wengi walistahili kuwa Halmashauri hukooo
Halmashauri wanawaza dodoso tu na sasa posho za anwani za makazi na Sensa. Akili imegotea hapoSerikalini watu wanabeba ndugu zao tu. Huko halmashauri ndio tabu kabisa.
Na yale makusanyo ya POS na tenda mbalimbali za huduma za kusupply ofisini.Halmashauri wanawaza dodoso tu na sasa posho za anwani za makazi na Sensa. Akili imegotea hapo
KLM pia rahisi kwa watalii mana straight Schipol/Amsterdam to JRO/KIANdege rahisi kabisa kutoka Tanzania kwenda US ni KQ ndio the only direct flights to New York. Ndege nyingine zote uta connect.
P
All flights lazima zipite kwenye base yake na ku connect. Kwa Tanzania direct flights ni KQ only inaanzia DAR as a regional route to Nairobi, na ndipo inapiga shoot ndefu ya JFK. Ukipanda ndege nyingine yoyote, lazima upite base yake na ku connect, Ethiopia lazima upite Addis, BA lazima upite London, KLM lazima upite Amsterdam, Emirates unapita Dubai, SAA, unapita Joburg. Hakuna ndege yoyote ya US inayokuja direct hapa Bongo. Hiyo KQ ya direct New York, inategemea abiria kibao wa Tanzania, Royal Tour ni Fursa ya kuifungua Tanzania kwa soko kubwa tajiri la utalii wa Wamarekani.KLM pia rahisi kwa watalii mana straight Schipol/Amsterdam to JRO/KIA