pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Apr 19, 2022 #161 Waste of money kauli za kwamba hilo tangazo ni la bure ni la kupuuzia hakuna kitu cha bure kwa mzungu.
Waste of money kauli za kwamba hilo tangazo ni la bure ni la kupuuzia hakuna kitu cha bure kwa mzungu.
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Apr 19, 2022 #162 Ngalikihinja said: Kwa hiyo unadhani alienda peke yake? Click to expand... Wana shutumu kuwa aliongozana na watu wengi sana wa serikali unnecessarily!!
Ngalikihinja said: Kwa hiyo unadhani alienda peke yake? Click to expand... Wana shutumu kuwa aliongozana na watu wengi sana wa serikali unnecessarily!!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Apr 19, 2022 #163 Halafu misaada tungeipataje
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Apr 19, 2022 #164 Tanzania inazidi kupaa kimataifa sasa sisi level yetu ni marekani na nchi kama hizo.
Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,377 Reaction score 2,048 Apr 19, 2022 #165 Mama nae kama ana danga flani hivi
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,083 Reaction score 5,179 Apr 19, 2022 #166 Lavan Island said: Mama nae kama ana danga flani hivi Click to expand... mmmm naomba nipite kimya kimya ila kuna mdau hapo juu amekomenti kwamba kwa nn hii tour isingeitwa the royal safari tour nadhan hii ingesound good sana kwa sabb kuna kiswahili pale kati
Lavan Island said: Mama nae kama ana danga flani hivi Click to expand... mmmm naomba nipite kimya kimya ila kuna mdau hapo juu amekomenti kwamba kwa nn hii tour isingeitwa the royal safari tour nadhan hii ingesound good sana kwa sabb kuna kiswahili pale kati