Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

Kuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?
Wewe uligundua lini kwamba alianza kuumwa mwaka jana na siyo kabla ya hpo??? Mtu akiumwa na Figo leo haina maana kwamba Figo zimeanza kuwa na shida leo naandika kutokana na ninayoyajua
 
Back
Top Bottom