Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

hii ya saratani mbaya zaidi
Yaa
Ni kama tezi dume ikikaa sana inakua saratani

Zamani za mababu zetu kulikua na dhana kwamba mtu aliyekufa kwa kuumwa sana tumbo akaanza kutapika damu na kuharisha damu basi amerogwa..... ukweli ni kwamba wengi wao ilikua ni vidonda vya tumbo
 
Rafiki yangu wa karibu alifariki kwa vidonda vya tumbo mwaka Mmoja tu tangu tulipohitimu pale MUST Kila nikisikia mtu anaumwa vidonda vya tumbo sura yake inanijia akilini
 
Back
Top Bottom