vidondaKuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?
ivi hamnaga tiba ya kukata utumbo hasa sehemu iliyotobokaKuna vile vinavyotibika vinasababishwa na bacteria wa h pylori hivyo madhara yake sio makubwa,ila kuna vile vinavyokua vinachubua utumbo nadhani hivyo lazima ukate moto.
duu kumbe vinasababisha erectile dysfuctionKabla ya kufika stage ya kufa..mwanaume lazima uboo ulale Dolo miezi yote ..hapo ujue Iko kwenye peak
mmhWewe uligundua lini kwamba alianza kuumwa mwaka jana na siyo kabla ya hpo??? Mtu akiumwa na Figo leo haina maana kwamba Figo zimeanza kuwa na shida leo naandika kutokana na ninayoyajua
Utumbo unaukataje boss?ivi hamnaga tiba ya kukata utumbo hasa sehemu iliyotoboka
duu kumbe vinasababisha erectile dysfuction
Hizi mbanga zenu za siku imefika huwa sizielewi kabisa, sababu ya kifo unaijua halafy unadai siku imefika..Kuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?
Peptic ulcers, if left untreated, can lead to several serious and potentially life-threatening complications. These include internal bleeding, perforation (a hole in the stomach or intestinal wall), gastric outlet obstruction (blockage of the digestive tract), and an increased risk of stomach cancer.Kuna vile vinavyotibika vinasababishwa na bacteria wa h pylori hivyo madhara yake sio makubwa,ila kuna vile vinavyokua vinachubua utumbo nadhani hivyo lazima ukate moto.
Hivi huwa mna maanisha nini mnaposema SIKU YAKE IMEFIKA?Kuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?
Magonjwa karibu yote tu yanaua yaki develop complicationsWakuu nipeni update vidonda vya tumbo vinauwaje??
mi sijui mechanism
Au kama kuna evidence za watu kufa
Na kama kuna Mtu alishawai pona completely
hii ya saratani mbaya zaidiMagonjwa karibu yote tu yanaua yaki develop complications
Watu wanatofautiana namna immunity zao zina uwezo tofauti wa kupambana na shambulio fulani kuliko wengine
Vidonda vya tumbo visipotibiwa au kuthibitiwa(kama ni sugu) vinaweza kuleta athari kubwa na kuharibu mfumo mzima wa mmeng’enyu wa chakula na kusababisha matatizo mengine yatakayopelekea kifo
Lakini pia vidonda vya tumbo visivyothibitiwa hupelekea saratani ya utumbo ambayo ni tiketi ya moja kwa moja kwa futi sita
hapo sasaHivi huwa mna maanisha nini mnaposema SIKU YAKE IMEFIKA?
sijaelewaSubiri utaona tu
NyieeeNdiyo vinaua.
Nilimpoteza dada yangu kwakua vilipelekea damu kuvujia na alikuja kujua late.
Mwaka 2021 niliishi Korogwe nilikua na jirani yangu anamanage Voda Shop ya pale Korogwe Tanga. Akahamishiwa Dar.
Nikaja kupata taarifa alifariki kutokana na vidonda vya tumbo kua severe mpaka vikamtoboa utumbo