Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
mi nasikia sana lakini bado sielewi sanaKifo kimeshapata sababu, ila sijawahi kusikia mtu amekufa kwa shida hiyo
Kwa namna flani inaweza kusababisha kifomi nasikia sana lakini bado sielewi sana
duuh linachimbika had linatobokaSasa utumbo ukitoboka mavi yakatoka nje ya njia yake kwa muda mrefu kidogo kwanini usife?
Pia kumbuka tumbo nalo ni kiungo muhimu cha kuweka uhai wako sawa kwa kushirikiana na viungo vingine
uwiii mbona nishawai pataWengi tu wanakata moto kwa tatizo hilo hasa wakianza kupata choo chenye damu ujue ngwe ipo ukingoni.
nijaribu nnSidhani
Hebu mkuu jaribu tuone kama ni kweli
namna ganKwa namna flani inaweza kusababisha kifo
Mbona hata mafua yanaua... Kikubwa siku yako iwe imefika tu.
uwiii hii mbayaInauwa.
Usipoitibu ikawa sugu na kutumia kwa muda mrefu dawa, vidonda vinatengeneza kansa ya utumbo.
ni nomaAcha kabisa,vidonda vya tumbo havifai
Kuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?we uo uongo
Wewe uligundua lini kwamba alianza kuumwa mwaka jana na siyo kabla ya hpo??? Mtu akiumwa na Figo leo haina maana kwamba Figo zimeanza kuwa na shida leo naandika kutokana na ninayoyajuaKuna mtu namfaham toka sec,(miaka ya 2000) anaumwa vidonda vya tumbo mpk hiv sasa..na bado yupo,. Wakat kuna mwingine kaanza kuumwa mwaka juzi tu, mwaka huu amefariki.. Utasema vidonda ndo vimemuua au siku yake imefika?