Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani.
Tume wangejiandaa kwa wizi sio tatizo,tunajulikana dunia nzina kuwa waTanzania ni vibaka popote tulipo kuanzia juu hadi balozi wa nyumba kumi.Tunalibeba kwenye mabega yetu.
yanapobandikwa majina ambayo hayafanani na jinsia hapa sio inahusu tume tu hata yule atakaeshinda basi ushindi wake unakuwa na tatizo na ndio tukaona baadhi ya maraisi hawahudhurii vikao vya kimataifa,sio kuwa hawawezi hapa ushindi wao umetokana na kura za wizi na nje huko hakuna kuoneana aibu ,mbele ya kikao unaweza kuitwa wewe ushindi wako umetokana na wizi,wewe ni mwizi,jamaa anakuchana utamfanya nini ? Ubabe wako ndani ya nchi yako tu kwa wananchi au raia zako.
Viongozi wetu wanapata wakati mgumu kwa aina hizi za hovyo kabisa za uchaguzi,eti hawa Tume za uchaguzi ni majaji wabobezi ? Hivi ndio majaji wetu wanavyokuwa na mambo ya kizembe ,sijasomea ujaji labda ndivyo wanavyokuwa,mnatuaibisha na mnawapa hawa CCM wakati mgumu,mnawapa polisi wakati mgumu kiasi wanaelekea kushindwa hata kuwabeba.maana Siro aulizwe na watu kiheshima kabisa juu ya mambo haya yalio wazi kabisa yanayofanywa naTume za uchaguzi nina hakika hatakuwa na jibu .
Sasa sijui hizi tume zinatumika na Chadema au ACT maana mambo wanayoyafanya ni kinyume na mbinu zetu CCM,wanatuharibia vibaya sana.