#COVID19 Je, Viongozi na Watendaji Serikalini wameyapuuza mapendekezo ya Kamati ya kutathmini Covid-19?

Mtaani hakujawahi kuwa na taharuki ya corona ni pamepoa hivi hivi muda wote na ndio maana hakuna tofauti yeyote mtaani kati ya kipindi hicho unachosema watu walikuwa wanakufa sana na sasa hivi.
 
Malinzi ya Legacy ya Mwendazake yapo kazini Lindoni

Covid ilikuja Purposely kutuondolea yule agent wa Lucifer

Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kuunda kamati ya corona wakati malengo ya corona yalikuwa yamekamilika!
 
Pole baba 😭😭😭😭
 
Kufa kwa Kikazi kunapelekea watu kuamini watakavyo. Serekali haisemi ukweli, hivyo watu wanajiongeza.
 
Unashabikia kitu ambacho hakipo na unajua fika kuwa kamati ya corona ilitupiga fix la mwaka!!
 
Unashabikia kitu ambacho hakipo na unajua fika kuwa kamati ya corona ilitupiga fix la mwaka!!9
 
Hahaha, unategemea nani atoke mbele atubadilisha,walikosea tangu mwanzo, na hii chanjo haitafua dafu.
Wazir wa afya alituaminisha kuishi kwa nyunyu mashine ya kupiga nyungu ikafungwa, yeye alipiga nyungu live akiwa na bebi yake,hatukuaminishwa kuvaa Barakoa, hatukuambiwa wagonjwa waliokufa kwa covid-19. Utakuwa unafik wakija kutuambia.
 
Si aliteua karibu watu wa kwao na ndiyo walikuwa wanamlinda
 
Gwajina hafai kuwa waziri hata kwa dak moja
 
Mawazo lazima kuwepo na mkinzano wa kimawazo, Mimi nadhani kila mmoja Yuko Sawa Kwa kuwa kila mtu Hana uhakika wa alichosimamia!!

Yote yanaweza kuwa Sawa, Kwa kuwa pia anayewaza hivyo kinyume na mawazo yako mkuu, anazo sababu za Kwa nini ameamua kusimamia hapo, lakini pia kwako vilevile,

Ni nini cha kufanya mshindi awe mmoja pekee Kati ya mawazo haya tofautitofauti miongoni mwa Watanzania, ni labda kuliacha hivyohivyo ili kila mtu aamini anavyoweza, ama kufanyike uchunguzi huru, Kwamba Kwa nini huyu na Yule wanatofautiana juu ya tukio Hilo??
 
Kufa kwa Kikazi kunapelekea watu kuamini watakavyo. Serekali haisemi ukweli, hivyo watu wanajiongeza.
Watu kuamini watakavyo huwezi kuzuia ila mtu akileta humu hizo imani zake inabidi atoe sababu za msingi, sijawahi kuona mtu akitoa sababu ya msingi kwanini afikirie kuwa Magufuli kafa kwa corona?
 
Kwenye suala corona ni kweli, serikali haieleweki!
Duuu, hapa kazi ipo. Waumini wa watu na Sio mfumo.
Watu kuamini watakavyo huwezi kuzuia ila mtu akileta humu hizo imani zake inabidi atoe sababu za msingi, sijawahi kuona mtu akitoa sababu ya msingi kwanini afikirie kuwa Magufuli kafa kwa corona?

Sababu za msingi zipo, ila zinapishana na unachoamini.
 
Watu kuamini watakavyo huwezi kuzuia ila mtu akileta humu hizo imani zake inabidi atoe sababu za msingi, sijawahi kuona mtu akitoa sababu ya msingi kwanini afikirie kuwa Magufuli kafa kwa corona?
Mkuu, Mimi bado naziamini hoja zote zinazo ongoza humu kuhusu hayati JPM, naziamini Kwa sababu kila mtu anahoja nzito na inahitaji majibu ya kina,

Wale wenye Mashaka na namna alivyotuaga, wako na sababu zao na hoja zao sio tu mtu uwaropokee na kuwakaripia wakati ukiwajibu, lakini pia Kwa hao wengine wanaoamini kinyume na wenye msimamo wa mashaka juu ya kutuaga kwake JPM, Wana hoja vilevile na huwezi tu kukaa unawatukana Kwa sababu ya intereste za hao wenye msimamo mwingine

Na ili kuondoa hii misimami miwili tofauti, ni ama ibaki hivi hivi Kwa kuwa hawezi kuwepo mshindi juu ya hilo, na endapo kunahitajika apatikane mshindi wa hoja mbili kinzani hizi, basi uchunguzi ni wa lazima, tena uwe ni uchunguzi huru kutoka huko Kwa wasioweza kuhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…