#COVID19 Je, Viongozi na Watendaji Serikalini wameyapuuza mapendekezo ya Kamati ya kutathmini Covid-19?

Duuu, hapa kazi ipo. Waumini wa watu na Sio mfumo.

Sababu za msingi zipo, ila zinapishana na unachoamini.
Kipi hicho nachooamini? ndio maana nasema ziwekwe sababu za msingi tujadiliane ila kila mtu akilazimisha imani zake hatutaelewana, mfano kuna watu walikuwa wanaamini Magufuli alichanja chanjo ya corona kisirisiri ya wachina na ndio maana alikuwa haogopi corona kwa sababu anajua ana kinga teyari hivyo alikuwa anawatoa wenzie kafara, ila alipokufa wengine wanaamini alikufa kwa corona.
 
Haikutakiwa kufanya usanii kwa suala ambalo linajulikana.

Suala chanjo kuwepo nchini ni lazima kwa sababu huwezi kusafiri bila kuchanjwa.

Hoja ni kwa watanzania wengi kama watakubali kuchanjwa kwa hiari yao! Inavyoonekana wengi hawajakubali!
 
Muhimu basi ziwekwe hizo hoja za msingi zijadiliwe ila sio mtu anatumia hisia zake tu, mfano Maalim seif hakutangazwa kwamba kafa kwa corona ila inajulikana alikuwa anaugua huo ugonjwa sasa hapo ukijenga hoja kuwa Maalim seif kafa kwa corona hapo sawa ila sio mtu anakwambia Magufuli alidharau corona ndio maana kafa na corona.
 
Haikutakiwa kufanya usanii kwa suala ambalo linajulikana.

Suala chanjo kuwepo nchini ni lazima kwa sababu huwezi kusafiri bila kuchanjwa.

Hoja ni kwa watanzania wengi kama watakubali kuchanjwa kwa hiari yao! Inavyoonekana wengi hawajakubali!
Mimi mwenyewe ni mpaka nichukuliwe mateka ndo wanichanje nikiwa sjitambui ama nikiwa Chini ya ulizi mkali
 
KK Kikazi alikufa na nini? Mpango aliugua nini? Ukishajua hayo uje uendelee na mjadala.
 
Aisee! Kwahiyo kwa sababu Mpango aliumwa covid ndio sababu ya Magufuli kufa na corona? hebu jenga hoja mbona unazunguka zunguka?
Sasa kama katibu Mkuu wake mtu aliye karibu kachomoka na Corona, na waziri wa fedha kapata, hapo unataka nini? Unategemea watu wanaosoma between the lines wahusishe hicho kifo na nini? Kumbuka watu wengi wenye uwezo wa kujiuliza hawana imani ya kutosha na maelezo ya serikali. Hili unataka hutaki, lakini habari ndiyo hiyo.
 
Mpango alikuwa karibu na wabunge wengi tu pamoja na hao waliyokuwa mawaziri wenzake wakati huo ila hao wote hajawaambukiza ila kaenda kumuambukiza Rais tu na rais nae hakumuambukiza mkewe?
 
Mpango alikuwa karibu na wabunge wengi tu pamoja na hao waliyokuwa mawaziri wenzake wakati huo ila hao wote hajawaambukiza ila kaenda kumuambukiza Rais tu na rais nae hakumuambukiza mkewe?

Sijui kama hata unajua unaoongea nini, kwani ukipata ugonjwa lazima uambukize wote wanaokuzunguka, ama wote wanaokuzunguka ni lazima wafe ukiwaambukiza? Kwahiyo muda wote umekaza shingo kwasababu hii ndio kinga yako ya huo utetezi wako?!
 
Mimi mwenyewe ni mpaka nichukuliwe mateka ndo wanichanje nikiwa sjitambui ama nikiwa Chini ya ulizi mkali
Mi wataniua tu,sichanji hata waniwekee shoka shingoni!
 
Mnataka kusema vile taarifa za vifo zilivyokuwa zinaongozana zilikuwa za kawaida tu?!

Kwa hiki ulichoandika hapa, ni sawa na kuita nyeupe nyeusi hata kama inaonekana ni nyeupe kwa kila mmoja.
 
Mnataka kusema vile taarifa za vifo zilivyokuwa zinaongozana zilikuwa za kawaida tu?!

Kwa hiki ulichoandika hapa, ni sawa na kuita nyeupe nyeusi hata kama inaonekana ni nyeupe kwa kila mmoja.
Sikuwa na maana yoyote inayofanna na ulichouliza hapo mkuu
 
Kamati ya Corona iliundwa ili kuwaridhisha jumuia ya kimataifa na kurudisha mahusiano na mataifa mengine ambayo yanasemekana yalikuwa yana lega lega kama sio kufa kabisa.......kwa kifupi ilikuwa ni movie iliyoandaliwa kuirudisha Tanzania kwenye ramani ya dunia......kwa kuwa janga la Corona lilishatangazwa kuwa ni janga la dunia......
 
Mnataka kusema vile taarifa za vifo zilivyokuwa zinaongozana zilikuwa za kawaida tu?!

Kwa hiki ulichoandika hapa, ni sawa na kuita nyeupe nyeusi hata kama inaonekana ni nyeupe kwa kila mmoja.
Unafikiri kwanini hivyo vifo vilikuwa vinaongozana au jiibu ni corona tu basi?
 
Taratibu Corona inaanza kuzoeleka na tension kuanza kupungua. Ukiangalia nchi mbalimbali zimeanza kupunguza masharti yaliyokuwa yamewekwa kama vile lockdown na hata kupeleka utalii kuanza kuruhusiwa.
Ulifikiria masharti yangeendelea kuweko siku zote? Mbona walisema kabisa kuwa masharti yanawekwa ili hospital zisielemewe na pia waujue ugonjwa vizuri na namna ya kuweza kuutibu na mwisho chanjo ipatikane?
 
Umejua (umeelewa) ulichokiandika?
 
Sijui kama hata unajua unaoongea nini, kwani ukipata ugonjwa lazima uambukize wote wanaokuzunguka, ama wote wanaokuzunguka ni lazima wafe ukiwaambukiza? Kwahiyo muda wote umekaza shingo kwasababu hii ndio kinga yako ya huo utetezi wako?!
Ni wewe ndio umeleta hoja kwamba kwa sababu Mpango aliugua corona basi alimuambukiza Magufuli, yani unataka kutushawashi kwamba Mpango ndio mtu aliyekuwa karibu sana na Magufuli ndio maana akamuambukiza, japo ungetaja na wengine baadhi ambao nao tungesikia wanaumwa ambao walikuwa karibu na Mpango hapo kidogo ungetushawishi ila et katika watu wote waliyokaribu na Mpango ni Magufuli tu ndio kaambukizwa hapo itabidi ueleze kwanini Magu tu.
 
Waseme mara ngapi?
Mwinyi si kashawaambia chanjo inakuja na ni hiari?.

barakaoa kwani kuna mtu kakuzuia kuvaa?
Social distancing my foot.,tutaendaje kariakoo?.

Mtu mwenye upeo mpana akisoma hoja yako hawezi kujua inasimama wapi!

Jitahidi kupanua fikra zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…