Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi.
Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe?
Je, hawa vijana watatumia madaraka vizuri au la?
Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe?
Je, hawa vijana watatumia madaraka vizuri au la?