pamoja nakua hutaki kukubali lakini habari ndio hiyooooooo!sasa huyo director kutoka minority group, akiona kuwa kuna minority katika waombaji tena kutoka kabila lake awape ka"upendeleo" ka aina fulani? Tutamzuiaje yeye kutowapendelea watu wa kabila lake au kula njama na minority mwingine ili wabadilishane wanaowapendelea ili wasioneshe ukabila "mkwere ampendelee msegeju, na msegeju ampendelee mkwere"?