pamoja nakua hutaki kukubali lakini habari ndio hiyooooooo!sasa huyo director kutoka minority group, akiona kuwa kuna minority katika waombaji tena kutoka kabila lake awape ka"upendeleo" ka aina fulani? Tutamzuiaje yeye kutowapendelea watu wa kabila lake au kula njama na minority mwingine ili wabadilishane wanaowapendelea ili wasioneshe ukabila "mkwere ampendelee msegeju, na msegeju ampendelee mkwere"?
huyu ndie anayefaa kuwa kiongozi, yaani mafisadi wangekoma, kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii. Wangechapwa viboko hadi walie na nchi isingekuwa na mafisadi saa hii. Yupo wapi Ole Moloimet jamani!
Ole molaimet nadhani tangu aachwe na JK katika uteuzi wa Ma-dc nilimsikia kwa mara ya mwisho akijitetea kwenye magazeti kwamba alijua siku moja atauacha na hakuzaliawa nao.
Ila kiburi chake sasa kilikua kinatisha maanake hata kutukana anatukana tena laivu laivu.Duh,sheria mwitu at work!
Nimesema ibaki kuwa MALI ya WATANZANIA wote.
katika idara yenye madereva 13 , 6 wachaga 12 makabila mengie afisa uajiri ameolewa na mchaga ofisa usafiri mchaga hiyo nayoWachaga hawawezi kukaa pembeni maana wana sifa za kuwepo katika nafasi walizopo labda kama wamezipata hizo nafasi kwa njia zisizo halali!Nafikiri sio katika kila nafasi kuna mchaga kwani kuna hata makabila mengine wana nafasi zao!sidhani kama ni haki kumlaumu mtu kutokana na kabila lake!kwanza naamini karne zijazo tutakuwa na kabila moja tu la kiswahili
tatizo ukandakwani kuna tofauti kati ya wapare na wachaga? si wote wanatokea moshi...
Hapo alikuwa anakwenda beyond and above though ili hii nchi iendelee inahitaji dikteta, tutampata wapi dikteta au mtu mwenye sifa za uzalendo kama rais wa Bolivia na Venezuela? huyu ndio atafuta ukabila, udini pamoja na ufisadi. Tanzania tunahitaji kupelekwa jeshijeshi.
Hapo alikuwa anakwenda beyond and above though ili hii nchi iendelee inahitaji dikteta, tutampata wapi dikteta au mtu mwenye sifa za uzalendo kama rais wa Bolivia na Venezuela? huyu ndio atafuta ukabila, udini pamoja na ufisadi. Tanzania tunahitaji kupelekwa jeshijeshi.
Dar kuna Lita Mlaki na Charles Kenja, Viti maalmu CCM (NGO) kuna Mrs. mwangunga kutoka Singinda, Zanzibar (Chadema) kuna Anna Komu, Arusha kuna Felix Mrema, Kirimanjaro wabunge wote ni wachaga.
Haya leteni data zingine hapa
katika idara yenye madereva 13 , 6 wachaga 12 makabila mengie afisa uajiri ameolewa na mchaga ofisa usafiri mchaga hiyo nayo
Mku Wilcard,
Nimekuelewa maanke niliogopa usije ukawa unamaanisha kuwa-exclude wachagga kabisa katika kuwa na haki ya kuongoza taifa,maanake moja kwa moja wangekosa sifa ya utanzania
Nsololi
Mengine uliyosema ni sawa isipokuwa Anna Komu Si mchagga, ni Mzanzibar mngazija mwenzangu ila yeye amezaliwa Zanzibar kwa Bijokha. Jina lake la kuzaliwa ni Maulidah. Anna alilipata alipobabili dini. Lakini sasa amesharejea tena uislamu na makazi yake ni Zanzibar na DSM toka zaidi ya miaka kumi iliyopita.
Hebu tuambie zaidi, wabunge wa CCM wa viti maalumu wenye asili ya Kilimanjaro. Ni wangapi? Na ni wakina nani?
Asha
Dada,
Je,Zakhi Hamdani Meghji? maanke hata kuolewa uchagani au kuoa nako ni utata mtupu.Kaazi kweli kweli
Binafsi huwa sihangaishwi na KABILA ya mtu kwa kuwa hakuiomba kutoka kwa MUUMBA wetu. Tatizo ni pale mtu, watu au kikundi fulani cha watu kinapotaka kutumia kabila, dini au rangi yao ili kupata au kutimiza malengo fulani. Kabila lako likusaidie tu kwenye KUTAMBIKA, KUZIKANA, (KUOA?) au kucheza ngoma, jando, unyago,...
This topic is getting too trivial... can it be closed to let people discuss serious and important issues?
By the time we are done with it we will realise that everybody has chagga connections somehow... hapo itakuwaje? Hoja ya Mzee Mwanakijiji kuwaondoa wachagga wote itatekelezeka?
Du hapo nimechemshaMkuu Mibavu,
Mhh,somo la hisabati nalo litangazwe janga la kitaifa?(joke)
Kwa hiyo sasa hata marital status za watu inabidi ziangaliwe sana sasa
Du hapo nimechemsha
nawewe mshikaji hata nikikosea kutype imekua issue nilikua namaana 6 ndio wachaga na 7 ndio kabila nyingine
Suppose ikafikia hatu hiyo mikoa ya kanda ya kaskazini ikaona kwamba sasa inachukiwa na inataka kujitenga ili isiwe kikwazo kwa makabila mengine itakuaje?
Mimi naona hatred ikizidi wanaweza kufanya hivyo. Tena wanaouwezo mkubwa . Mimi nawapenda maana ni watu wako serious and realy dedicated to whatever they do . makabila mengine especially ya Pwani hawako hivyo.Hawajitumi ndio maana wanabaki vile. Wanawaonea wenzao wivu.
hawa wezi kufanya hivyo kwasababu kaskazini haiwatoshi labda waamue kwenda kenya