Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
MMM

Kuna hoja inatolewa kwamba kati ya Wabunge wa CCM wachagga ni asilimia kubwa zaidi. Unayoorodha ya Wabunge tuweze kuchambua nani ni mchagga na nani sio mchagga?

Sio kwa lengo la kuchochea ubaguzi, ila kwa lengo la kufahamu ukweli manake CCM wamekuwa wakisema kuwa chama mpinzani wao cha CHADEMA kina wachagga wengi sana wabunge wa viti maalum.

PM
Wabunge hapo hatutakuwa na dawa, maana wabunge wametawanyika, japo kuna baadhi ya wachaga wametoke majimbo au kuteuliwa kutoka majimbo mengine, ila habari hz ni zaukweli, na je hyo ndo suluhu???
 
MchunguZi, hebu weka vyanzo vya tuhuma zako, kwani imeonyesha tuu una chuki binafsi..sasa jamani na hizo bar huko mtaani nazo wachaga hao hao wanapendelewa? Maduka yaliyojaa kule Kkoo nayo wachaga wamependelewa kuyafungua?? Cha msingi hapo ni kufanya uchambuzi zaidi ni kwa nini wachaga wamekua wengi kwenye nafasi mbali mbali za maamuzi na kuweza kuona ni kwa nini wengine wameshindwa..then kuanzia hapo unaweza ukatoa ushauri..ila kwa kuzungumza kijuu juu wala hakuna maana ila kunajenga tuu chuki.

Kama alivyosema mwanakijiji...kuna watu ambao wakipewa nafasi wataonyesha ukabila wao waziwazi..na hao ndo wameweza kuonyesha chuki na wachaga hata huku kwenye forum....kaa fikiri kwanza..Kuna kitu kimoja watu hua tunajisahau sana... na hua ni hivi

UNAJIKUTA UNAMLAU MWENZIO KWA KUKUFANYIA UBAYA, HATA KWENYE NORMAL RELATIONSHIPS UNAKUTA MTU ANALALAMIKA KABISA KWA NGUVU ZAKE ZOTE YA KWAMBA MWENZIE NDIYO SIO MWAMINIFU NA AMEMFANYIA UBAYA, ILA SASA HUYO ANAELALAMIKA HAJAKAA AKAANGALIA NI KWA KIASI GANI AMECHANGIA YEYE KUFANYIWA UBAYA HUYO. HUENDA NDIYO ALIKUA CHANZO, KAMA NI MOTO BASI NI YEYE ALINUNUA KIBERITI CHA KUWASHA MOTO WAKATI PETROL IPO TAYARI.

Kwa hiyo ni bora kwa hao wanaofikiri bila kujiangalia mara mbili na kuwalaumu wachaga sasa wakae chini na kujiuliza ni kwa kiasi gani wamechangia hadi wachaga kufikia hapo walipo?? may be wakati wachaga wakienda shule hizo za awali wengine waligoma kupeleka watoto wao shule..sasa unajua tena mwenzio ameshatangulia kuja kumkuta inakua ngumu, badala ya kuangalia utamuangamiza vipi ni bora uangalie utafanyaje ili uweze kumfikia na yeye awe kama ngazi yako ya kufika pale. Hapo ndiyo tutajenga umoja wa kitaifa na kuondoa ukabila. Ila tusipojiangalia wenyewe..tutabaki tuu tunalia kila siku wachaga wanachukua nchi..

Usiniponde mawe bure. Mwanakijiji alizungumzia ajira au nafasi za kiutawala serikalini. Hayo mambo ya kufungua bar au maduka siyo tatizo la nchi. Tunaelewa mambo kama hayo yanaweza kuwa yanatokana na tabia binafsi ya makabila. Ndo maana ma-housegirls wengi wanaonekana kutoka Iringa, Wapasua mbao wengi ni kutoka Njombe na Tabora (kuna misitu huko), Wavuvi ni wa Kigoma na Mwanza, nk. Siyo ujanja wa biashara. Mbona Uvuvi unalipa sana kule Mwanza lakini Wachagga wameshindwa? Siyo jadi. Sijachunguza wachagga kupenda biashara ya Bar ni kwa nini labda mambo ya mbege.

Kilichozungumziwa hapa ni ajira ndani ya serikali. Mimi nimeenda mbali zaidi kuonyesha kwamba kuna tabia za upendeleo wa kikabila nchi hii ndo maana nikaonyesha mambo ya NIC ya Mwaikambo, NBC ya Nsekela.

Hebu uliza Wachagga wenye umri mkubwa wakueleze walisoma wapi na kipindi gani. Utaambiwa nilisoma Tabora, Mtwara, n.k. wakati Elinawinga akiwa Waziri. Uliza makabila mengine kama yalipata nafasi ya kusoma Kilimanjaro wakati huo.

Wakati mwingine tabia hizi zinaanzia mbali ktk makuzi yetu. Mfano wangu mzuri umekuwa ni hayo unayoyaona Moshi kuwa ni mji wa biashara za wachagga tu na kuwa vigumu sana kwa makabila ya mikoa jirani wakati wachagga wanavumiliwa mikoa mingine.

Hivi karibuni nimesikia mji wa Mwanza umemchagua kijana wa kichagga kuwa mbunge, akimuondoa Antony Diallo(sp.?), msukuma. Mji wa mwanza hauna tofauti sana na Moshi na Arusha kwa ukubwa, lakini hebu fikiria kama Msukuma angegombea ubunge kupitia CHADEMA (Siyo CCM) pale mjini Moshi mambo yangekuwaje. Ni tabia ya makuzi ukizoea kusema ni sisi tu. Jamani hata Soda! Nilishafika Moshi miaka ya 2005, nambiwa hadi leo Coca cola ndo inayouzika tu kwa sababu mmiliki wa kampuni ni Mengi!

Kunakuwa na upendeleo kwa kisingizo cha kusoma sana wakati si kweli. Nawe kweli unaamini Wachagga wamesoma sana? Angalia sifa za vijana walioko TRA ambayo iliwahi kulalamikiwa bungeni. Wengi ni Form 4, 6 na walio juu wana vyeti vya CBE na IFM (vyuo vya mambo ya fedha). Kwa sifa hizo za elimu, tukikuta wachagga ni wengi tutasema ni kwa sababu wamesoma sana? Kumbuka miaka ya 1995, 96, 97 graduate walilalamika kwamba TRA haitaki wenye degree.

Unaweza ukatetea tabia hii wakati inapokupa nafasi, lakini mambo yakigeuka huwa na uchungu usiosemeka.

Tusikwepe ubaya unaotumika na kuweka sababu tamu, bandia. Tuiseme tu!
 
Nini Wchaga !ambao ni ndugu zetu !kuna Wnyarwanda ni ni wakuu wa IDARA ndani ya serkali yetu ,hata likizo wanaenda Kigali ....hii ndio Bongo land waacheni wachaga wanastahili kwani walitangulia!
 
Nini Wchaga !ambao ni ndugu zetu !kuna Wnyarwanda ni ni wakuu wa IDARA ndani ya serkali yetu ,hata likizo wanaenda Kigali ....hii ndio Bongo land waacheni wachaga wanastahili kwani walitangulia!

Mbona unapepesuka nje ya mjadala.

London imejaa vijana wa East Africa, US wako tele, Sweden tele na wengine wanakuja likizo kila mwaka na kuleta vipato vyao. Ndo tusema ni vibaya? Wanyarwanda waliopo kihalali ni haki yao.

Angalia tena mjadala unasema nini.
 
Sasa hawa Wachagga Aisee wamemkosea Nini Mungu???

Je washauriwe wafanyeje?

Wakaishi Kenya?

Hakuna Dhambi mbaya ya Ubaguzi kama kuwabagua Watu!
 
Sasa hawa Wachagga Aisee wamemkosea Nini Mungu???

Je washauriwe wafanyeje?

Wakaishi Kenya?

Hakuna Dhambi mbaya ya Ubaguzi kama kuwabagua Watu!


Umeisoma lakini ile original article? Isome tena, imeandikwa kifasihi.
 
Mi naona warudi kwao wakaanzishe Taifa lao litakaloitwa labda kilimanjaro au vingenevyo as simple as that
 
Mzee Mwanakijiji
Acha kabisa kupandikiza Chuki katika jamii, mimi si mchaga na kabila langu halina wasomi wengi, lakini usilete sumu katika jamii, ukianza kuwatuhumu wachaga, kesho utawatuhumu Wahaya, then Wanyakyusa, then Wakurya ,kesho Waha , keshokutwa Wagogo. nchi itaparaganyika.
fidodido
 
Tusome kwanza hili shahiri [ hapa chini] kisha ndo tumwelewa Mwakjj na mada yake:

[FONT=Helvetica,Arial]A Modest Proposal[/FONT]
[FONT=Helvetica,Arial]For Preventing The Children of Poor People in Ireland
From Being Aburden to Their Parents or Country, and
For Making Them Beneficial to The Public
[/FONT]
[FONT=Helvetica,Arial]By Jonathan Swift (1729)[/FONT]
[FONT=Helvetica,Arial]About this text.[/FONT]
onepixclear.gif


onepixclear.gif
onepixclear.gif
onepixclear.gif
[FONT=Palatino,Times New Roman]It is a melancholy object to those who walk through this great town or travel in the country, when they see the streets, the roads, and cabin doors, crowded with beggars of the female sex, followed by three, four, or six children, all in rags and importuning every passenger for an alms. These mothers, instead of being able to work for their honest livelihood, are forced to employ all their time in strolling to beg sustenance for their helpless infants: who as they grow up either turn thieves for want of work, or leave their dear native country to fight for the Pretender in Spain, or sell themselves to the Barbadoes.
I think it is agreed by all parties that this prodigious number of children in the arms, or on the backs, or at the heels of their mothers, and frequently of their fathers, is in the present deplorable state of the kingdom a very great additional grievance; and, therefore, whoever could find out a fair, cheap, and easy method of making these children sound, useful members of the commonwealth, would deserve so well of the public as to have his statue set up for a preserver of the nation.
But my intention is very far from being confined to provide only for the children of professed beggars; it is of a much greater extent, and shall take in the whole number of infants at a certain age who are born of parents in effect as little able to support them as those who demand our charity in the streets.
onepixred.gif

[FONT=Verdana,Helvetica,Geneva]"I have been assured by a very knowing American of my acquaintance in London, that a young healthy child well nursed is at a year old a most delicious, nourishing, and wholesome food, whether stewed, roasted, baked, or boiled ..."[/FONT]
onepixred.gif

As to my own part, having turned my thoughts for many years upon this important subject, and maturely weighed the several schemes of other projectors, I have always found them grossly mistaken in the computation. It is true, a child just dropped from its dam may be supported by her milk for a solar year, with little other nourishment; at most not above the value of 2s., which the mother may certainly get, or the value in scraps, by her lawful occupation of begging; and it is exactly at one year old that I propose to provide for them in such a manner as instead of being a charge upon their parents or the parish, or wanting food and raiment for the rest of their lives, they shall on the contrary contribute to the feeding, and partly to the clothing, of many thousands.
There is likewise another great advantage in my scheme, that it will prevent those voluntary abortions, and that horrid practice of women murdering their bastard children, alas! too frequent among us! sacrificing the poor innocent babes I doubt more to avoid the expense than the shame, which would move tears and pity in the most savage and inhuman breast.
The number of souls in this kingdom being usually reckoned one million and a half, of these I calculate there may be about two hundred thousand couple whose wives are breeders; from which number I subtract thirty thousand couples who are able to maintain their own children, although I apprehend there cannot be so many, under the present distresses of the kingdom; but this being granted, there will remain an hundred and seventy thousand breeders. I again subtract fifty thousand for those women who miscarry, or whose children die by accident or disease within the year. There only remains one hundred and twenty thousand children of poor parents annually born. The question therefore is, how this number shall be reared and provided for, which, as I have already said, under the present situation of affairs, is utterly impossible by all the methods hitherto proposed. For we can neither employ them in handicraft or agriculture; we neither build houses (I mean in the country) nor cultivate land: they can very seldom pick up a livelihood by stealing, till they arrive at six years old, except where they are of towardly parts, although I confess they learn the rudiments much earlier, during which time, they can however be properly looked upon only as probationers, as I have been informed by a principal gentleman in the county of Cavan, who protested to me that he never knew above one or two instances under the age of six, even in a part of the kingdom so renowned for the quickest proficiency in that art.
I am assured by our merchants, that a boy or a girl before twelve years old is no salable commodity; and even when they come to this age they will not yield above three pounds, or three pounds and half-a-crown at most on the exchange; which cannot turn to account either to the parents or kingdom, the charge of nutriment and rags having been at least four times that value.
I shall now therefore humbly propose my own thoughts, which I hope will not be liable to the least objection.
I have been assured by a very knowing American of my acquaintance in London, that a young healthy child well nursed is at a year old a most delicious, nourishing, and wholesome food, whether stewed, roasted, baked, or boiled; and I make no doubt that it will equally serve in a fricassee or a ragout.
I do therefore humbly offer it to public consideration that of the hundred and twenty thousand children already computed, twenty thousand may be reserved for breed, whereof only one-fourth part to be males; which is more than we allow to sheep, black cattle or swine; and my reason is, that these children are seldom the fruits of marriage, a circumstance not much regarded by our savages, therefore one male will be sufficient to serve four females. That the remaining hundred thousand may, at a year old, be offered in the sale to the persons of quality and fortune through the kingdom; always advising the mother to let them suck plentifully in the last month, so as to render them plump and fat for a good table. A child will make two dishes at an entertainment for friends; and when the family dines alone, the fore or hind quarter will make a reasonable dish, and seasoned with a little pepper or salt will be very good boiled on the fourth day, especially in winter.
I have reckoned upon a medium that a child just born will weigh 12 pounds, and in a solar year, if tolerably nursed, increaseth to 28 pounds.
I grant this food will be somewhat dear, and therefore very proper for landlords, who, as they have already devoured most of the parents, seem to have the best title to the children.
Infant's flesh will be in season throughout the year, but more plentiful in March, and a little before and after; for we are told by a grave author, an eminent French physician, that fish being a prolific diet, there are more children born in Roman Catholic countries about nine months after Lent than at any other season; therefore, reckoning a year after Lent, the markets will be more glutted than usual, because the number of popish infants is at least three to one in this kingdom: and therefore it will have one other collateral advantage, by lessening the number of papists among us.
I have already computed the charge of nursing a beggar's child (in which list I reckon all cottagers, laborers, and four-fifths of the farmers) to be about two shillings per annum, rags included; and I believe no gentleman would repine to give ten shillings for the carcass of a good fat child, which, as I have said, will make four dishes of excellent nutritive meat, when he hath only some particular friend or his own family to dine with him. Thus the squire will learn to be a good landlord, and grow popular among his tenants; the mother will have eight shillings net profit, and be fit for work till she produces another child.
Those who are more thrifty (as I must confess the times require) may flay the carcass; the skin of which artificially dressed will make admirable gloves for ladies, and summer boots for fine gentlemen.
As to our city of Dublin, shambles may be appointed for this purpose in the most convenient parts of it, and butchers we may be assured will not be wanting; although I rather recommend buying the children alive, and dressing them hot from the knife, as we do roasting pigs.
A very worthy person, a true lover of his country, and whose virtues I highly esteem, was lately pleased in discoursing on this matter to offer a refinement upon my scheme. He said that many gentlemen of this kingdom, having of late destroyed their deer, he conceived that the want of venison might be well supplied by the bodies of young lads and maidens, not exceeding fourteen years of age nor under twelve; so great a number of both sexes in every country being now ready to starve for want of work and service; and these to be disposed of by their parents, if alive, or otherwise by their nearest relations. But with due deference to so excellent a friend and so deserving a patriot, I cannot be altogether in his sentiments; for as to the males, my American acquaintance assured me, from frequent experience, that their flesh was generally tough and lean, like that of our schoolboys by continual exercise, and their taste disagreeable; and to fatten them would not answer the charge. Then as to the females, it would, I think, with humble submission be a loss to the public, because they soon would become breeders themselves; and besides, it is not improbable that some scrupulous people might be apt to censure such a practice (although indeed very unjustly), as a little bordering upon cruelty; which, I confess, hath always been with me the strongest objection against any project, however so well intended.
But in order to justify my friend, he confessed that this expedient was put into his head by the famous Psalmanazar, a native of the island Formosa, who came from thence to London above twenty years ago, and in conversation told my friend, that in his country when any young person happened to be put to death, the executioner sold the carcass to persons of quality as a prime dainty; and that in his time the body of a plump girl of fifteen, who was crucified for an attempt to poison the emperor, was sold to his imperial majesty's prime minister of state, and other great mandarins of the court, in joints from the gibbet, at four hundred crowns. Neither indeed can I deny, that if the same use were made of several plump young girls in this town, who without one single groat to their fortunes cannot stir abroad without a chair, and appear at playhouse and assemblies in foreign fineries which they never will pay for, the kingdom would not be the worse.
Some persons of a desponding spirit are in great concern about that vast number of poor people, who are aged, diseased, or maimed, and I have been desired to employ my thoughts what course may be taken to ease the nation of so grievous an encumbrance. But I am not in the least pain upon that matter, because it is very well known that they are every day dying and rotting by cold and famine, and filth and vermin, as fast as can be reasonably expected. And as to the young laborers, they are now in as hopeful a condition; they cannot get work, and consequently pine away for want of nourishment, to a degree that if at any time they are accidentally hired to common labor, they have not strength to perform it; and thus the country and themselves are happily delivered from the evils to come.
I have too long digressed, and therefore shall return to my subject. I think the advantages by the proposal which I have made are obvious and many, as well as of the highest importance.
For first, as I have already observed, it would greatly lessen the number of papists, with whom we are yearly overrun, being the principal breeders of the nation as well as our most dangerous enemies; and who stay at home on purpose with a design to deliver the kingdom to the Pretender, hoping to take their advantage by the absence of so many good protestants, who have chosen rather to leave their country than stay at home and pay tithes against their conscience to an episcopal curate.
Secondly, The poorer tenants will have something valuable of their own, which by law may be made liable to distress and help to pay their landlord's rent, their corn and cattle being already seized, and money a thing unknown.
Thirdly, Whereas the maintenance of an hundred thousand children, from two years old and upward, cannot be computed at less than ten shillings a-piece per annum, the nation's stock will be thereby increased fifty thousand pounds per annum, beside the profit of a new dish introduced to the tables of all gentlemen of fortune in the kingdom who have any refinement in taste. And the money will circulate among ourselves, the goods being entirely of our own growth and manufacture.
Fourthly, The constant breeders, beside the gain of eight shillings sterling per annum by the sale of their children, will be rid of the charge of maintaining them after the first year.
Fifthly, This food would likewise bring great custom to taverns; where the vintners will certainly be so prudent as to procure the best receipts for dressing it to perfection, and consequently have their houses frequented by all the fine gentlemen, who justly value themselves upon their knowledge in good eating: and a skilful cook, who understands how to oblige his guests, will contrive to make it as expensive as they please.
Sixthly, This would be a great inducement to marriage, which all wise nations have either encouraged by rewards or enforced by laws and penalties. It would increase the care and tenderness of mothers toward their children, when they were sure of a settlement for life to the poor babes, provided in some sort by the public, to their annual profit instead of expense. We should see an honest emulation among the married women, which of them could bring the fattest child to the market. Men would become as fond of their wives during the time of their pregnancy as they are now of their mares in foal, their cows in calf, their sows when they are ready to farrow; nor offer to beat or kick them (as is too frequent a practice) for fear of a miscarriage.
Many other advantages might be enumerated. For instance, the addition of some thousand carcasses in our exportation of barreled beef, the propagation of swine's flesh, and improvement in the art of making good bacon, so much wanted among us by the great destruction of pigs, too frequent at our tables; which are no way comparable in taste or magnificence to a well-grown, fat, yearling child, which roasted whole will make a considerable figure at a lord mayor's feast or any other public entertainment. But this and many others I omit, being studious of brevity.
Supposing that one thousand families in this city, would be constant customers for infants flesh, besides others who might have it at merry meetings, particularly at weddings and christenings, I compute that Dublin would take off annually about twenty thousand carcasses; and the rest of the kingdom (where probably they will be sold somewhat cheaper) the remaining eighty thousand.
I can think of no one objection, that will possibly be raised against this proposal, unless it should be urged, that the number of people will be thereby much lessened in the kingdom. This I freely own, and 'twas indeed one principal design in offering it to the world. I desire the reader will observe, that I calculate my remedy for this one individual Kingdom of Ireland, and for no other that ever was, is, or, I think, ever can be upon Earth. Therefore let no man talk to me of other expedients: Of taxing our absentees at five shillings a pound: Of using neither cloaths, nor houshold furniture, except what is of our own growth and manufacture: Of utterly rejecting the materials and instruments that promote foreign luxury: Of curing the expensiveness of pride, vanity, idleness, and gaming in our women: Of introducing a vein of parsimony, prudence and temperance: Of learning to love our country, wherein we differ even from Laplanders, and the inhabitants of Topinamboo: Of quitting our animosities and factions, nor acting any longer like the Jews, who were murdering one another at the very moment their city was taken: Of being a little cautious not to sell our country and consciences for nothing: Of teaching landlords to have at least one degree of mercy towards their tenants. Lastly, of putting a spirit of honesty, industry, and skill into our shop-keepers, who, if a resolution could now be taken to buy only our native goods, would immediately unite to cheat and exact upon us in the price, the measure, and the goodness, nor could ever yet be brought to make one fair proposal of just dealing, though often and earnestly invited to it.
Therefore I repeat, let no man talk to me of these and the like expedients, 'till he hath at least some glympse of hope, that there will ever be some hearty and sincere attempt to put them into practice.
But, as to my self, having been wearied out for many years with offering vain, idle, visionary thoughts, and at length utterly despairing of success, I fortunately fell upon this proposal, which, as it is wholly new, so it hath something solid and real, of no expence and little trouble, full in our own power, and whereby we can incur no danger in disobliging England. For this kind of commodity will not bear exportation, and flesh being of too tender a consistence, to admit a long continuance in salt, although perhaps I could name a country, which would be glad to eat up our whole nation without it.
After all, I am not so violently bent upon my own opinion as to reject any offer proposed by wise men, which shall be found equally innocent, cheap, easy, and effectual. But before something of that kind shall be advanced in contradiction to my scheme, and offering a better, I desire the author or authors will be pleased maturely to consider two points. First, as things now stand, how they will be able to find food and raiment for an hundred thousand useless mouths and backs. And secondly, there being a round million of creatures in human figure throughout this kingdom, whose whole subsistence put into a common stock would leave them in debt two millions of pounds sterling, adding those who are beggars by profession to the bulk of farmers, cottagers, and laborers, with their wives and children who are beggars in effect: I desire those politicians who dislike my overture, and may perhaps be so bold as to attempt an answer, that they will first ask the parents of these mortals, whether they would not at this day think it a great happiness to have been sold for food, at a year old in the manner I prescribe, and thereby have avoided such a perpetual scene of misfortunes as they have since gone through by the oppression of landlords, the impossibility of paying rent without money or trade, the want of common sustenance, with neither house nor clothes to cover them from the inclemencies of the weather, and the most inevitable prospect of entailing the like or greater miseries upon their breed for ever.
I profess, in the sincerity of my heart, that I have not the least personal interest in endeavoring to promote this necessary work, having no other motive than the public good of my country, by advancing our trade, providing for infants, relieving the poor, and giving some pleasure to the rich. I have no children by which I can propose to get a single penny; the youngest being nine years old, and my wife past child-bearing.
The End
onepixclear.gif

[FONT=Verdana,Geneva,Helvetica]Note: Jonathan Swift (1667-1745), author and satirist, famous for Gulliver's Travels (1726) and A Modest Proposal (1729). This proposal, where he suggests that the Irish eat their own children, is one of his most drastic pieces. He devoted much of his writing to the struggle for Ireland against the English hegemony. [/FONT]
[/FONT]
 
NGOJA NIWAAMBIE SWALA MNALOLIONGEA HALIWEZEKANI NI KWAKATIBA IPI? AU MNATAKA MLETE VITA VYAUKABILA? AMBAYO HAYO MAKABILA ULIYOYATAJA YANA EXPERIENCE YA KUTOSHA?
PILI MAKABILA ULIYOYATAJA YANA UWEZO IN NATURE HIYO HAIPINGIKI, KUANZIA UJANJA AKILI NA KUFANYA KAZI KWA BIDII(KWENYE HILI HAWANATOFAUTI NA WASAMBAA). TUKIJA SWALA LAKUONEWA KWATATHIMINI YA MITIANI ILIYOKUWA IKIFANYIKA KATIKA KARNE HII YA 21, NI NINI KINACHOFANYA MAKABILA HAYO YAENDELEE KUWA NA PERFORMANCE NZURI KULIKO WENGINE? NA JE NIUPENDELEO?
UKIANGALIA KWENYE BIASHARA UNADHANI MAKABILA HAYO YANAPENDELEWA? JE HAUONI NI NATURE WALIYOPEWA NA MUNGU , KIJANA AMBAYE AKUFANIKIWA KWENDA SHULE KATIKA KABILA HILO HUWEZI KUMFANANISHA NA MFANYA BIASHARA WA KABILA LENGINE ALIYEENDA SHULE (KWAHILI SIYO WOTE ). SASA KUMAJUMUISHO NIKWAMBA MWANGA UTAENDELEA KUWA MWANGA KWENYE GIZA ILA KAMA UTAUMULIKA KWENYE MWANGA BASI ITAKUWA NEUTRAL(KWAHIYO INABIDI KUTENGENEZA MWANGA AMBAO UTAUFANYA MWANGA HUU(WACHAGGA) KUWA NEUTRAL KATIKA SOCIETY KWA WENGINE KUJITAIDI KUFIKIA VIWANGO KATIKA NAFASI ZOTE (BIASHARA,n.k) NA SIYO KUWAZIMA WACHAGGA MAANA WAO WANA NATURAL SKILLS IN NATURE AND ARE ALL WEATHER) FANYA UTAFITI . HATA WAKIONDOKA KWENYE NAFASI ZOTE ZASERIKALI WATAKAMATA NCHI KIBIASHARA ZIYO ZA NDANI BALI ZA NJE PIA. FANYA UCHUNGUZI UONE PRIVATE SECTA NYINGI KAMA SIYO ZA WACHAGGA NA ZINAFANYA VIZURI JE BADO KUNA UPENDELEO?

TAZAMA MUNGU AMEKUPA KILA KITU KITUMIE ACHA WIVU MBAYA OMBA WIVU MZURI WA MAENDELEO. WACHUKUE WACHAGGA KAMA MFANO NA DIRA YA WEWE KUFANIKIWA. NITARUDI TENA BADAE
 
Mi nakushauri mwanakijiji hata kama ni joke ungeshauri walioshindwa kuongoza ndio waachi madaraka.mfano raisi awe mchaga,pm mchaga,mwanasheria mkuu mchaga,mkuu wa majeshi mchaga nk uone nchi itakavyokuwa shwaaaari.
 
A MODEST PROPOSAL

Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vumbi la chuki, fitina, wivu, kisasi, na hisia za kibaguzi dhidi ya jamii ya Wachagga nchini. Kuna kila dalili kuwa jamii ya Wachagga nchini siyo tu inaanza kutengwa lakini uwepo wake katika nafasi mbalimbali za uongozi inazua hoja ya ukabila kwa haraka zaidi yawezekana kuliko kabila jingine lolote nchini. Katika Tanzania yetu, wachagga wameanza kunyoshewa kidole siyo kwa siri tena bali kwa wazi kabisa tena na watu ambao wakati mwingine hawapati hata kigugumizi.

Ubaguzi huo msingi wake mkubwa ni idadi ya wachagga katika nafasi mbalimbali za uongozi na hasa kuhusiana na elimu yao. Kuanzia mara tu baada ya uhuru jamii ya wachagga mojawapo ya jamii ambayo watu wake wengi wamesoma sana na kufanikiwa kielimu na kiuchumi imekuwa ikinyoshewa kidole cha kupendelewa.

Mtu yeyote ambaye anaweza akafanya uchambuzi yakinifu hatoshangaa kukuta wataalamu wa kichagga katika nafasi mbalimbali za uongozi au taaluma nchini. Kwenye vyuo vikuu, kwenye idara za serikali na hata kwenye taasisi binafsi kumejaa watu wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na hususan watu wa jamii ya Kichagga.

Endapo itatangazwa nafasi yoyote ya kitaalamu usishangazwe ukiona kuwa waombaji wengi wana majina ya "Kichagga".

Ni kwa sababu hiyo basi kuna kila dalili kuwa kutokana na wingi wao katika nafasi muhimu na vyeo mbalimbali (hata ndani ya Jeshi la Polisi) Wachagga siyo tu ni wengi lakini wanaonekana kufanikiwa zaidi. Hili ni tishio kwa baadhi ya watu. Ni tishio kwa watu ambao hawako tayari kuangalia jitihada za watu katika kufanikiwa kwao na matokeo yake kushutumu ukabila kila idadi ya Wachagga kwenye kitengo fulani inazidi mmoja.

Ushauri wangu ni kuwa, kwa vile Wachagga wameshasoma sana na kuendelea katika biashara karibu mikoa mingi nchini. Na kwa vile wanaendelea kufanikiwa pia katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini, basi itakuwa vizuri kama watajitolea kuachilia nafasi hizo ili kuwapa nafasi watu wa makabila mengine.

Kwa vile ni wao wanaonekana kulalamikiwa kutokana na mambo ya kifisadi aidha kwa moja kwa moja au kwa kuashiria basi ni vizuri wawape watu wengine nafasi hizo hata kama watu hao hawajasoma sana. Hii yote itakuwa ni katika kudumisha mshikamano, umoja na udugu wa Taifa letu.

Endapo Wachagga wataachilia nafasi mbalimbali kama UCEO, Ukurugenzi, Ukuu wa Idara n.k watasababisha watu wawapende na kuwakubali kuwa ni wazalendo wa kweli. Sitoshangaa kuwa ndugu zetu wa Jamii ya Kichagga wakikaa pembeni, basi ufisadi utakoma serikalini, idara zitaongozwa na watu wazuri, na mara moja na daima Tanzania itaanza kukua katika uongozi.

Kwa kupendekeza nashauri wabunge wote ambao ni Wachagga au wana asili ya mkoa wa Kilimanjaro kuachia ngazi mara moja ili watu wa makabila mengine wapewe nafasi hizo. Siyo wao tu bali pia wabunge ambao wameoa au kuolewa uchagani vile vile wafuate nyazo hizo.

Wakishamaliza hao, wakuu wote wa idara za serikali ambao wana asili ya mkoa wa Kilimanjaro na hasa wa jamii ya kichagga (wamarangu, wamachame, wa Rombo, na wa Kibosho) na wao waamue kuachilia nafasi hizo kwa ndugu zao Wamakua, Wamwera, Wa Ndali, Wadigo n.k Katika hili Wapare hawahusishwi.

Tukishamaliza wakuu hao wa idara za serikali ningependekeza madaktari wote wenye kumiliki hospitali binafsi ambao ni wachagga au wameoa/kuolewa uchagani na wenyewe waamue kuingia ubia na watu wa makabila mengine kama wangengereko, wambuu, na wanjiro ili hayo makabila madogo na wenyewe wapate nafasi ya kujifunza fani hizi muhimu.

Zaidi ya yote, majaji na mahakimu wote ambao wana asili ya Uchaggani na wenyewe waamue kujitoa katika nafasi hizo kwani wingi wao pia unaonekana sana na hivyo kuwa kikwako kwa watu wa makabila mengine kufanikiwa zaidi katika nyanja ya sheria. Kwanza kabisa wale majaji wa Kichagga wa mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu wawe wa kwanza kuweka manyanga chini.

Katika kufanya hivyo jamii ya Watanzania ambao inaona ukabila wa wachagga katika sehemu nyingi itaridhika kwani kwa mara ya kwanza tutakuwa tumeshughulikia chanzo cha matatizo yetu mengi.


NB: (Added Commentary: Jan 20, 2011)

Kwa watu wengi wanaosoma makala hii hawajui ilianza lini na wanaisoma bila kuangalia tarehe. Nimeona niweke nyongeza hii ili wasomaji wapya wasije kurukia mahitimisho ambayo siyo kusudio langu kwani nimekuja kutambua ni wachache sana wanafahamu aina hii ya uandisi wa kejeli (satire).

Niliandika mtindo huu kufuatia mfano wa Jonathan Swift's "A Modest Proposal". Nashauri watu wasome kidogo juu ya uandishi wa "Modest Proposal" ulivyo ili waelewe. Wachache hata hivyo walinielewa.

Tatizo si wachaga tatizo ni tabia zao. Jamaa si wataifa hata kidogo. Wahujumu uchumi sana.
 
Mwanakijiji you clever ila ujumbe haukufika vizuri kwa walengwa tafadhali tumia njia tofauti." Mystery creates wonder and wonder is the basis of mans desire to understand - Neil Armstrong first human to walk in the moon"
 
"Tunazungumzia makabila kwani tunataka kutambika?"-J.K Nyerere
 
Mimi Siujui huo uandisi wa kejeli ndio unakuwaje.
ndio utani au?
Kama unamaanisha ulichokisema napinga hoja maana tz kuna makabila mengi, kwahiyo umiliki na uongozi uwe una rotate kikabila ili kusiwe na upendeleo au?
Kwahiyo hao waliopo wajitoe kisa kabila?
Mmmh!
Binafsi wachaga nawakubali. Hawajibweteki ovyo.
 
Mimi ni Mchagga. Nimepata kushika nyadhifa za juu kutokana na kujituma kwangu na kuwa mwadilifu na mnyofu. Sikupendelewa kwa vile walioniteua hawakuwa Wachagga. Naamini kwamba wengi wa Wachagga walio ktk "ngazi" wameteuliwa na non-Chagga leaders, ambao wanazingatia maslahi ya taifa na hao wanatoa huduma kwa umma wa Tanzania.

Tatizo la mtoa hoja ni kwamba anadhani kwamba nchi hii inaweza kuendelea kwa kuwapa mambumbumbu madaraka, bora tu wasiwe Wachagga. Tutadumaza maendeleo na huduma kwa waTz kama tutazingatia mtindo usioenzi uwezo.

Tatizo la pili ni kwamba hajafikiria huduma muhimu na za lazima zinazotolewa na makampuni binafsi ya Wachagga. Yeye anaona Wachagga ni kero; lakini cha kusikitisha ni kwamba haoni au hakuona ukiritimba wa Wahindi na Waarabu katika biashara Tanzania ni kero. Hivi baada ya Air Tanzania kushindwa kutoa huduma, tungesafirije kwa haraka kama PrecisionAir haingekuwepo?

Hata hivyo naamini kwamba manung'uniko ya aina hii yapo nchini, na ni vyema oungozi wa kitaifa ukachambua jinsi ya kuondoa sababu na kiini cha sehemu au makundi fulani kuendelea kwa kasi zaidi, na nyingine kulegalega. Wajaribu kusawazisha.

Mtoa hoja ametambua kuwa elimu iliimarika zaidi Uchaggani, pamoja na sehemu nyingine kama Unyakyusa, Uhaya n.k. Ni vizuri jamii nyingine za taifa hili zikapewa misukumo stahiki na uongozi wa kitaifa, ili manung'uniko haya yaondoke miongoni mwetu.

Jambo moja ambalo Wachagga wanaweza kujivunia ni kwamba hawana prejudice ya kudharau makabila mengine. Kwa hiyo utakuta wazee wetu walioa Wamasai, Wapare, Wambulu n.k., bora tu waliweza kukutana na kupendana.

Naamini kwamba tabia hii ya Wachagga itachangia sana katika kuunganisha na kuunda taifa moja la kiTanzania. Sasa hivi sio tu utakuta Wachagga wamesambaa mikoa yote, toka Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Iringa, Morogoro, Lindi na Mtwara; bali huko huko wameoa au binti zao wameolewa. Siku hizi huwezi kukuta familia ya Kichagga au okoo ambao hauna non-Mchagga relative by marriage. This is real integration and nation-building.
 
Usiniponde mawe bure. Mwanakijiji alizungumzia ajira au nafasi za kiutawala serikalini. Hayo mambo ya kufungua bar au maduka siyo tatizo la nchi. Tunaelewa mambo kama hayo yanaweza kuwa yanatokana na tabia binafsi ya makabila. Ndo maana ma-housegirls wengi wanaonekana kutoka Iringa, Wapasua mbao wengi ni kutoka Njombe na Tabora (kuna misitu huko), Wavuvi ni wa Kigoma na Mwanza, nk. Siyo ujanja wa biashara. Mbona Uvuvi unalipa sana kule Mwanza lakini Wachagga wameshindwa? Siyo jadi. Sijachunguza wachagga kupenda biashara ya Bar ni kwa nini labda mambo ya mbege.

Kilichozungumziwa hapa ni ajira ndani ya serikali. Mimi nimeenda mbali zaidi kuonyesha kwamba kuna tabia za upendeleo wa kikabila nchi hii ndo maana nikaonyesha mambo ya NIC ya Mwaikambo, NBC ya Nsekela.

Hebu uliza Wachagga wenye umri mkubwa wakueleze walisoma wapi na kipindi gani. Utaambiwa nilisoma Tabora, Mtwara, n.k. wakati Elinawinga akiwa Waziri. Uliza makabila mengine kama yalipata nafasi ya kusoma Kilimanjaro wakati huo.

Wakati mwingine tabia hizi zinaanzia mbali ktk makuzi yetu. Mfano wangu mzuri umekuwa ni hayo unayoyaona Moshi kuwa ni mji wa biashara za wachagga tu na kuwa vigumu sana kwa makabila ya mikoa jirani wakati wachagga wanavumiliwa mikoa mingine.

Hivi karibuni nimesikia mji wa Mwanza umemchagua kijana wa kichagga kuwa mbunge, akimuondoa Antony Diallo(sp.?), msukuma. Mji wa mwanza hauna tofauti sana na Moshi na Arusha kwa ukubwa, lakini hebu fikiria kama Msukuma angegombea ubunge kupitia CHADEMA (Siyo CCM) pale mjini Moshi mambo yangekuwaje. Ni tabia ya makuzi ukizoea kusema ni sisi tu. Jamani hata Soda! Nilishafika Moshi miaka ya 2005, nambiwa hadi leo Coca cola ndo inayouzika tu kwa sababu mmiliki wa kampuni ni Mengi!

Kunakuwa na upendeleo kwa kisingizo cha kusoma sana wakati si kweli. Nawe kweli unaamini Wachagga wamesoma sana? Angalia sifa za vijana walioko TRA ambayo iliwahi kulalamikiwa bungeni. Wengi ni Form 4, 6 na walio juu wana vyeti vya CBE na IFM (vyuo vya mambo ya fedha). Kwa sifa hizo za elimu, tukikuta wachagga ni wengi tutasema ni kwa sababu wamesoma sana? Kumbuka miaka ya 1995, 96, 97 graduate walilalamika kwamba TRA haitaki wenye degree.

Unaweza ukatetea tabia hii wakati inapokupa nafasi, lakini mambo yakigeuka huwa na uchungu usiosemeka.

Tusikwepe ubaya unaotumika na kuweka sababu tamu, bandia. Tuiseme tu!
Mkuu acha kuangalia mambo kijuu juu! naomba nikueleze hiki, hao Wachagga tunaowaongelea humu walienda soma Tabora Boys kwa sababu ya mpango wa Mwl kuchanganya makabila tofauti kuleta umoja lakini haimaniishi ati kwao hakukuwa na shule za kusoma nathani Old Moshi na nyinginezo zilikuwapo na hata Uganda ilikuwapo maana walikuwa na utaaratibu mzuri chini ya mfuko wa Ushirika kupeleka watoto shule huko! Na chuo cha Ushirika Moshi (cha kwanza Tanganyika) ni zao la kujaribu na wao kuwa na chuo chao Tanganyika!

Lakini cha ajabu kwa wivu usio na mbele wala nyuma tuliona mwaka 1976 Mwl Nyerere akishauriwa vibaya na wasaidizi wake kutaifisha KNCU na kufanya National Cooperatives Union! Kisa kwa vile baadhi ya watu wenye fikra fupi na wasio na vision toka wizara ya Ushirika kuona urahisi wa kuchukua mafanikio ya chama cha ushirika (kilichobaki kikifanya vizuri na kilichobaki na usimamizi mzuri wakati huo maana vyama vingine kama Nyanza Cooperative Union ufisadi ulikiua) maana maslahi ya siasa yalitangulizwa na si jinsi ya kuiendesha taasisi hiyo kiustawi (ikumbukwe KNCU ilionekana hatari kwa mustaabali wa nchi kwa hao waheshimiwa na si role model to be emulated)! Matokeo yake zao la kahawa lililokuwa muhimu likiongoza kwa kuleta fedha za kigeni wakati likaporomoka kutokana na ununuzi kufanywa na wizara na kutoza kodi kubwa kwa wakulima (si unajua wakubwa walilifanya mtaji wa kujitajirisha) na mwaka 1984 miaka nane baadae serikali ikaona aibu ikairudisha taasisi ya KNCU kwa wamiliki wake wa asili lakini ikiwa imeparaganyika na mpaka sasa baadhi ya taasisi zake bado ziko serikalini kama Ushirika college! Na hadi leo hii KNCU (1984) inajitahidi kufikia mafanikio ya ilipokuwa ila bado haijafika! BTW ikumbukwe kipindi hicho hicho cha utaifishaji wa KNCU yaani 1976-1984 kilishuhudiwa na wahamaji wengi wa Kichagga kuja mijini kujitafutia riziki kuanzia kupiga viatu rangi, kuchoma nyama, vioski, ma-butcher, mabaa n.k. kama tunavyowaona ndugu zetu wa Kusini wanavyofanya uchuuzi leo (msishangae wakiwa dominant kesho makaanza kuwachukia)!

BTW swala la Elinawinga nathani halina ukweli maana tukumbuke kuna viongozi wenye mrengo kama wako yaani wa usawa pasipo merits hata katika elimu waliamua kuleta quota systems katika nafasi za ufaulu secondary na tulichoweza shuhudia ni kuongeza juhudi za hawa watu (kupitia usaidizi wa kanisa) kujenga shule za sekondari za ushirika na Wazazi! na at the end of the day chuoni waliendelea kuwepo! na pia hata wakisema leo hii vyuoni wa allocate nafasi kwa uwiano wa uwingi wa watu kikabila, sitashangaa kama itawapa msisimuko wa kujenga vyuo vya binafsi kwao! na hata kama makazini wakisema wasiwepo nina uhakika biashara na sekta nyingine binafsi zitatawaliwa na jamaa maana watatafuta riski huko! btw hamna mtu anakataliwa kusoma, kufanya biashara Moshi au kugombea ubunge huko unatakiwa tu ujue mbinu za kushinda maana ushindani huwa ni mkubwa siku zote katika chaguzi (ni Tarime tu inaweza kusema ina ushindani zaidi)! Na pia kuna madiwani ambao si Wachagga na wanawakilisha halmashauri ya Moshi na sitashangaa kama akitokea mtu kuwa Mbunge kati yao!

Na mwisho hii nchi itafikia greater heights kama tutaacha mitazamo isiyoleta ufanisi kama kupeleka mtu chuo na passmarks mbaya ili kulifikia kabila fulani na kuacha wenye matokeo mazuri! mafanikio hayana short cut kinachohitajika ni serikali kuwekeza na kuboresha elimu toka msingi katika sehemu zisizojiweza na mambo ya upendeleo yatatufanya tutengeneze incompetetent people to run this nation!
 
waachane wachaga-kama wanaakili na wanajituma waacheni wawe juu-huwez kuwakwepa wachaga kwenye nchi hii-
 
Mzee Mwanakijiji
Acha kabisa kupandikiza Chuki katika jamii, mimi si mchaga na kabila langu halina wasomi wengi, lakini usilete sumu katika jamii, ukianza kuwatuhumu wachaga, kesho utawatuhumu Wahaya, then Wanyakyusa, then Wakurya ,kesho Waha , keshokutwa Wagogo. nchi itaparaganyika.
fidodido

Mkuu,
MMKJJ kaandika kwa mtindo wa kejeli... soma tena uelewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom