yupo kazini,wewe mwkjj mrudie muumba wako
a Modest Proposal
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna Vumbi La Chuki, Fitina, Wivu, Kisasi, Na Hisia Za Kibaguzi Dhidi Ya Jamii Ya Wachagga Nchini. Kuna Kila Dalili Kuwa Jamii Ya Wachagga Nchini Siyo Tu Inaanza Kutengwa Lakini Uwepo Wake Katika Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Inazua Hoja Ya Ukabila Kwa Haraka Zaidi Yawezekana Kuliko Kabila Jingine Lolote Nchini. Katika Tanzania Yetu, Wachagga Wameanza Kunyoshewa Kidole Siyo Kwa Siri Tena Bali Kwa Wazi Kabisa Tena Na Watu Ambao Wakati Mwingine Hawapati Hata Kigugumizi.
Ubaguzi Huo Msingi Wake Mkubwa Ni Idadi Ya Wachagga Katika Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Na Hasa Kuhusiana Na Elimu Yao. Kuanzia Mara Tu Baada Ya Uhuru Jamii Ya Wachagga Mojawapo Ya Jamii Ambayo Watu Wake Wengi Wamesoma Sana Na Kufanikiwa Kielimu Na Kiuchumi Imekuwa Ikinyoshewa Kidole Cha Kupendelewa.
Mtu Yeyote Ambaye Anaweza Akafanya Uchambuzi Yakinifu Hatoshangaa Kukuta Wataalamu Wa Kichagga Katika Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Au Taaluma Nchini. Kwenye Vyuo Vikuu, Kwenye Idara Za Serikali Na Hata Kwenye Taasisi Binafsi Kumejaa Watu Wenye Asili Ya Mkoa Wa Kilimanjaro Na Hususan Watu Wa Jamii Ya Kichagga.
Endapo Itatangazwa Nafasi Yoyote Ya Kitaalamu Usishangazwe Ukiona Kuwa Waombaji Wengi Wana Majina Ya "kichagga".
Ni Kwa Sababu Hiyo Basi Kuna Kila Dalili Kuwa Kutokana Na Wingi Wao Katika Nafasi Muhimu Na Vyeo Mbalimbali (hata Ndani Ya Jeshi La Polisi) Wachagga Siyo Tu Ni Wengi Lakini Wanaonekana Kufanikiwa Zaidi. Hili Ni Tishio Kwa Baadhi Ya Watu. Ni Tishio Kwa Watu Ambao Hawako Tayari Kuangalia Jitihada Za Watu Katika Kufanikiwa Kwao Na Matokeo Yake Kushutumu Ukabila Kila Idadi Ya Wachagga Kwenye Kitengo Fulani Inazidi Mmoja.
Ushauri Wangu Ni Kuwa, Kwa Vile Wachagga Wameshasoma Sana Na Kuendelea Katika Biashara Karibu Mikoa Mingi Nchini. Na Kwa Vile Wanaendelea Kufanikiwa Pia Katika Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Nchini, Basi Itakuwa Vizuri Kama Watajitolea Kuachilia Nafasi Hizo Ili Kuwapa Nafasi Watu Wa Makabila Mengine.
Kwa Vile Ni Wao Wanaonekana Kulalamikiwa Kutokana Na Mambo Ya Kifisadi Aidha Kwa Moja Kwa Moja Au Kwa Kuashiria Basi Ni Vizuri Wawape Watu Wengine Nafasi Hizo Hata Kama Watu Hao Hawajasoma Sana. Hii Yote Itakuwa Ni Katika Kudumisha Mshikamano, Umoja Na Udugu Wa Taifa Letu.
Endapo Wachagga Wataachilia Nafasi Mbalimbali Kama Uceo, Ukurugenzi, Ukuu Wa Idara N.k Watasababisha Watu Wawapende Na Kuwakubali Kuwa Ni Wazalendo Wa Kweli. Sitoshangaa Kuwa Ndugu Zetu Wa Jamii Ya Kichagga Wakikaa Pembeni, Basi Ufisadi Utakoma Serikalini, Idara Zitaongozwa Na Watu Wazuri, Na Mara Moja Na Daima Tanzania Itaanza Kukua Katika Uongozi.
Kwa Kupendekeza Nashauri Wabunge Wote Ambao Ni Wachagga Au Wana Asili Ya Mkoa Wa Kilimanjaro Kuachia Ngazi Mara Moja Ili Watu Wa Makabila Mengine Wapewe Nafasi Hizo. Siyo Wao Tu Bali Pia Wabunge Ambao Wameoa Au Kuolewa Uchagani Vile Vile Wafuate Nyazo Hizo.
Wakishamaliza Hao, Wakuu Wote Wa Idara Za Serikali Ambao Wana Asili Ya Mkoa Wa Kilimanjaro Na Hasa Wa Jamii Ya Kichagga (wamarangu, Wamachame, Wa Rombo, Na Wa Kibosho) Na Wao Waamue Kuachilia Nafasi Hizo Kwa Ndugu Zao Wamakua, Wamwera, Wa Ndali, Wadigo N.k Katika Hili Wapare Hawahusishwi.
Tukishamaliza Wakuu Hao Wa Idara Za Serikali Ningependekeza Madaktari Wote Wenye Kumiliki Hospitali Binafsi Ambao Ni Wachagga Au Wameoa/kuolewa Uchagani Na Wenyewe Waamue Kuingia Ubia Na Watu Wa Makabila Mengine Kama Wangengereko, Wambuu, Na Wanjiro Ili Hayo Makabila Madogo Na Wenyewe Wapate Nafasi Ya Kujifunza Fani Hizi Muhimu.
Zaidi Ya Yote, Majaji Na Mahakimu Wote Ambao Wana Asili Ya Uchaggani Na Wenyewe Waamue Kujitoa Katika Nafasi Hizo Kwani Wingi Wao Pia Unaonekana Sana Na Hivyo Kuwa Kikwako Kwa Watu Wa Makabila Mengine Kufanikiwa Zaidi Katika Nyanja Ya Sheria. Kwanza Kabisa Wale Majaji Wa Kichagga Wa Mahakama Ya Rufaa Na Mahakama Kuu Wawe Wa Kwanza Kuweka Manyanga Chini.
Katika Kufanya Hivyo Jamii Ya Watanzania Ambao Inaona Ukabila Wa Wachagga Katika Sehemu Nyingi Itaridhika Kwani Kwa Mara Ya Kwanza Tutakuwa Tumeshughulikia Chanzo Cha Matatizo Yetu Mengi.
Mbowe Ana Elimu Gani Ya Uongozi?
Wanaongooza Kwenye Ufisadi Na Epa Ni Wachaga,mramba Anachunguzwa Na Polisi,mama Mkapa Anaomba Ahifadhiwe Kwenye Epa, Y.mushi Ndio Aliyeleta Rada Na Ndege Ya Rais Mbovu,
Massawe Anamiliki Genge La Majambazi Kuvunja Mabenki.
Waliogombea Urais 2005 Wasio Na Elimu Walikuwa Wachaga Mbowe Alikuwa Na Elimu Ya Kidato Cha Nne Na Kazi Yake Udj Na Kumiliki Bar,
Mrema Darasa La Saba Alikuwa Mgombea Kwa Tiketi Ya Tlp,james Mbatia Mwenyekiti Wa Nccr Mchagga Mwenye Elimu Ya Kidato Cha Sita,mnyika Aligombea Ubunge Akiwa Na Elimu Ya Kidato Cha Sita, Slaa Ana Digrii Ya Kuimba Kwaya Kanisani.
Mwanakijiji Mtihani Wa Kidato Cha Sita Na Nne Uliza Shule Na Wanafunzi Wanaongooza Wanatoka Kilimanjaro? St.francis,feza, Marian Girls Ziko Kilimanjaro?
Mwanakijiji Usimpende Mtu Kupita Kiasi Na Usimchukue Mtu Kupita Kiasi Kwa Hili Umezidi Kutereza Hata Mbowe Mwenyewe Atakushangaa Kwani Humfagilii Bali Unampigia Deki.
Unajuwa nimeona picha ya profile yako na wewe inaelekea ni mjeshi!
Sasa kwahiyo unataka vita kati ya WAKURYA NA WACHAGGA?
Maana kama ni hivyo sema tu ili tujiandae!
We wangwe mwenyewe umekaa kama jambazi!
Nani hajuwi hata polisi ni majambazi tu!
Na kama nilivyosema...Wewe na Rostama mlikuwa na mpango madhubuti wa kuanzisha UKABILA!
Sasa Wangwe i promise kama damu ikimwagika mimi PERSONAL Nitakitafuta kichwa chako!
MARK MA WORDS!
WE SI UNAFIKIRI NI WAKURYA PEKE YAO NDIYO WAJESHI?
Umekosea!
Mwaulize MKOLONI WEWE KIBARAKA MSHAMBA!
Wewe uliyetoka kwenye kizazi kilichowauza wabantu kwa MWARABU!
Nakwambia tone moja tu likimwagika la damu mimi na wewe!
Mushi usiongozwe na jazba za kichagga kutaka kukata vichwa wenzako.
pitia profile hiii hapa halafu linganisha Wange na Mbowe,utajua kuwa Wangwe Zaidi.
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=10807
Ushabiki wa watu wawili kamwe hautaruhusiwa kuivuruga nchi na wala kuligawa taifa na kumwaga damu!
Lakini kama ni wewe na ROSTAMA mtashinda hoja hii kwa kupandikiza chuki na damu kumwagika!
Then kwanini nikuache?
Unajuwa maana ya kujitolea MUHANGA?
Kama wewe unapigania TUMBO...SISI TUNAPIGANIA UHURU NA HIVYO YOU BETTER WATCH YOUR MOUTH!
The Tanzanian Jews.. love em' or hate em'... Even if they were all to leave these posts wataibukia sehemu nyingine nakufanikiwa tu because its in their nature to do so... my advice is emulate dont eliminate otherwise the problem will truly escalate!!!
mbona wapemba wanapendwa, kwa vile wanatafuta kwa njia halali tu,kiongozi wa majambazi ya kuvamia benki alikuwa MASSAWE, lini ulisikia jambazi mpemba?
mbona wapemba wanapendwa, kwa vile wanatafuta kwa njia halali tu,kiongozi wa majambazi ya kuvamia benki alikuwa MASSAWE, lini ulisikia jambazi mpemba?
Hapa tunaongelea kufanikiwa iwe kwa ujambazi au njia halali kwa hiyo statement yako inaonyesha kuwa hawa watu kweli wakifanya kitu wanafanya kweli... uweza kukuta majambazi wakipemba wako wengi lakini wako lock up!!!
Hapa tunaongelea kufanikiwa iwe kwa ujambazi au njia halali kwa hiyo statement yako inaonyesha kuwa hawa watu kweli wakifanya kitu wanafanya kweli... uweza kukuta majambazi wakipemba wako wengi lakini wako lock up!!!
EPA inaongozwa na mama MKAPA hakuna mpemba,wizi wa mabenki na kuua watu ulikuwa ukiratibiwa na Alex Massawe mwenye friends Corner na A.M ANNEX,sijawahi kusikia PEMBA wamevamia majambazi,
sijawahi kusikia mhasibu MPEMBA kafikishwa mahakamani kwa wizi au kupokea rushwa.
DR.OMAR ALI JUMA,SEIF SHARIFF HAMAD,R.SHEIN,JUMBE ABOOD HAWANA HATA MINONG'ONO YA RUSHWA,
nikuulize nani anamiliki shirika la ndege la precion Air? kama hujui Mramba.
sijawahi kusikia Mpemba kakataa kumtibu mtu kwa vile hana pesa za matibabu,
kutafuta bila mipaka au hadi kutoa uhai wa watu sio utafutaji.
hakuna jambazi sugu la magari linatoka pemba, hata makamanda wa polisi wanaoplekwa Moshi na Arusha ni wale mahodari kwenda kukabili uporaji wa magari.
MUSHI.
Karafuu ilikuwa na soko kubwa duniani hivi sasa haina soko lakini wapemba hawajaingia kwenye ujambazi ili kukimu maisha yao. zipo njia halali kwa maneno yako hata RUZUKU inaliwa kw vile ni utafutaji? au kuweka wabunge sita toka mkoa mmoja ni kutafuta huku mkiiminya demokrasia?