Je, vipi kama Rais Samia naye akazuiliwa kuingia baadhi ya nchi itakuwaje?

Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?

Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
haina athari zozote kwa taifa letu kijamii, kisiasa wala kiuchumi.

wengi tu Africa waliwahi kuwekewa vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulingana na maoni yako, lakini mambo kwenye mataifa yao yakawa bam bam tu, na tena ndio wakawa na muda mzuri zaidi wa kuwatumikia wananchi wao kuliko kuzurura duniani.

zaidi ya hapo,
kuna marais wengine ulimwenguni, mpaka wana hati za kukamatwa kabisa za ICC lakini wanadunda kote ulimwenguni bila mbambamba yoyote na mataifa yao yanafanya vizuri sana kijamii, kiuchumi na kisiasa. :pulpTRAVOLTA:
 
Unawez kusema ni simple kwa mtu kama rahisi kuzuiliwa kuingia nchi furani ila hapana ni kweli kabisa.

Maisha ni safari ndefu sana wakuu,
Hapo mwanzo.nilikua na uhuru wa kufanya kila nitakacho kipindi nakaa gongo la mboto.

Ila baada ya kupapata mumama akasema njoo kijana mimi ntakulea.
Kumbe sikujua najiingiza kwenye kifungo cha nafsi ambacho kitakuja ghalimu maisha yangu yote its oky.

Kwa sasa kutoka nje ya hapa nilipo.imekua changamoto maana natamani ila nashindwa naishia kuwa mtandaoni tu.

Hvo nishapata katazo hata la kwenda kariakoo. 😥😥😥😥😥😥 Piga vita mashangazi kwa uwezo wako wote wana haribu ndoto za vijana

Ahsante
Nipo bagamoyo
Vishu Mtata
 
haina athari zozote kwa taifa letu kijamii, kisiasa wala kiuchumi.

wengi tu Africa waliwahi kuwekewa vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulingana na maoni yako, lakini mambo kwenye mataifa yao yakawa bam bam tu, na tena ndio wakawa na muda mzuri zaidi wa kuwatumikia wananchi wao kuliko kuzurura duniani.

zaidi ya hapo,
kuna marais wengine ulimwenguni, mpaka wana hati za kukamatwa kabisa za ICC lakini wanadunda kote ulimwenguni bila mbambamba yoyote na mataifa yao yanafanya vizuri sana kijamii, kiuchumi na kisiasa. :pulpTRAVOLTA:
Nani kakudanganya
Gentleman

Ova
 
Maskini bwana. Hakuna maskini mwenye haki hapa duniani. Kama hakuna shida kupigwa ban, kwanini mnaombeleza na kujieleza kwingi huko USA hadi kuchukua na kulipa makampuni ya kuwasafisha huko USA?
 
huenda huo unaoeleza utakua miongoni mwa the most upotoshaji useless na completely nonsense kwa leo gentleman,

lakini pia,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi na uvivu wako ndugu mdau.
we have almost everything, iweje uchague kua maskini na usingizie wasio husika na uvivu wako?🐒
 
Nani kakudanganya
Gentleman

Ova
nambie athari alizowahi kupata Mugabe mpaka anaingia kaburini, Gadafi mpaka anaingia kaburini, Kim Jong Un anapata athari zipi kwa mfano,

Lakini pia vikwazo alivyowahi kuwekewa China, Irani n k viliwahi kua na athari zipi huko kama sio ni porojo tupu za kujifanya una nguvu kumbe nyanya tu 🐒
 
Back
Top Bottom