Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Alafu Lissu akawa anajiendea tuuKama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Itakuwa safi tuuu akae kwako aende kizimkazi na Arusha na Dar
Maana ndio maeneo yake pendwaa

