Je, vipi kama Rais Samia naye akazuiliwa kuingia baadhi ya nchi itakuwaje?

Je, vipi kama Rais Samia naye akazuiliwa kuingia baadhi ya nchi itakuwaje?

nambie athari alizowahi kupata Mugabe mpaka anaingia kaburini, Gadafi mpaka anaingia kaburini, Kim Jong Un anapata athari zipi kwa mfano,

Lakini pia vikwazo alivyowahi kuwekewa China, Irani n k viliwahi kua na athari zipi huko kama sio ni porojo tupu za kujifanya una nguvu kumbe nyanya tu 🐒
Gadafi si uliona kilichomkuta
Alikamatiwa mtaroni amejificha
Familia ya Mugabe huko kwao nao bye bye uliona naye mtoto wake walimpiga bomba kutoka South africa
Kila kitu huwa na mwisho wake

Ova
 
Gadafi si uliona kilichomkuta
Alikamatiwa mtaroni amejificha
Familia ya Mugabe huko kwao nao bye bye uliona naye mtoto wake walimpiga bomba kutoka South africa
Kila kitu huwa na mwisho wake

Ova
acha kuruka ruka kama maharagwe jikoni gentleman,

eleza athari za vikwazo nyanya mathalani vya Marekani dhidi ya viongozi fulani wa Africa, Asia au Ulaya na sio athari za uvamizi wa nchi za kigeni dhidi ya taifa fulani Africa gentleman 🐒
 
Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?

Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Tunasubiri kwa hamu kubwa jambo hili. Hata hivyo tangu October 29 hajaonekana viwanja vya juu kutokana na maneno yake machafu kwa wakubwa.
 
Unawez kusema ni simple kwa mtu kama rahisi kuzuiliwa kuingia nchi furani ila hapana ni kweli kabisa.

Maisha ni safari ndefu sana wakuu,
Hapo mwanzo.nilikua na uhuru wa kufanya kila nitakacho kipindi nakaa gongo la mboto.

Ila baada ya kupapata mumama akasema njoo kijana mimi ntakulea.
Kumbe sikujua najiingiza kwenye kifungo cha nafsi ambacho kitakuja ghalimu maisha yangu yote its oky.

Kwa sasa kutoka nje ya hapa nilipo.imekua changamoto maana natamani ila nashindwa naishia kuwa mtandaoni tu.

Hvo nishapata katazo hata la kwenda kariakoo. 😥😥😥😥😥😥 Piga vita mashangazi kwa uwezo wako wote wana haribu ndoto za vijana

Ahsante
Nipo bagamoyo
Vishu Mtata
Aiseee 🥲
 
acha kuruka ruka kama maharagwe jikoni gentleman,

eleza athari za vikwazo nyanya mathalani vya Marekani dhidi ya viongozi fulani wa Africa, Asia au Ulaya na sio athari za uvamizi wa nchi za kigeni dhidi ya taifa fulani Africa gentleman 🐒
Huwezi kuelewa gentleman,
Utakuja kuelewa badaye sana

Ova
 
Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?

Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Tutaokoa matumizi ya fedha za umma dhidi ya safari zake na za wapambe wake
 
mimi ni mwanadiplomasia gentleman, siwezi kusubiri kuelewa kitu ninachoishi nacho daily by professional :KKonaW:
Uko tu shallow gentleman
Kwangu...
Mzee wangu mwnyewe ni mwanadiplomasia rtd,ukijiita
Mwanadiplomasia wala sistuki gentleman nmekulia familia hyoo pole sana 😄
Nn kisichokijuwa gentleman
Hapa una Chat na mtu baharia mwenye exposure ya kutoshaaaa.....shauri zako

hayo ni maoni yako huru na yasiyo na athari zozote kwenye taaluma yangu,

umewahi kuuskiza ule wimbo wa taarabu wa mzee yusuf wenye maneno,
na nukuu
" sina presha kwenye taaluma yangu, nakula maisha silali njaa wenzangu"
mwisho wa kunukuu ,

umewahi kweli kuskia hiyo gentleman? :pedroP:
 
Sasa mm taarab wap na wapi gentleman 😄
Narudia tena wewe kwangu uko tu shallow,hiki kichwa achana nacho kinajuwa vitu vingi kuliko wewe na wenzako siyo tunasikia ,ila tunaviona
Huwezi juwa,inawezekana hao maboss wako kuna wakati nabonga naooo
Ukijitaa mwanadiplomasia nacheka sana 😄
Maana kwangu sioni jipya hapo

Ova
 
Itakua vzr tu
Kufa kufa tu so what's?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom