Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Itakuwa poa kinyama.Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Yani kisa ni kiongozi wa ccm ndio asizuiliwe kuingia kwenye nchi za wenzetu?kama sio kiongozi wa chama atapona kama ni kiongozi sidhani
kama ni chama cha KigaidiYani kisa ni kiongozi wa ccm ndio asizuiliwe kuingia kwenye nchi za wenzetu?
haina athari zozote kwa taifa letu kijamii, kisiasa wala kiuchumi.Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Nani kakudanganyahaina athari zozote kwa taifa letu kijamii, kisiasa wala kiuchumi.
wengi tu Africa waliwahi kuwekewa vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulingana na maoni yako, lakini mambo kwenye mataifa yao yakawa bam bam tu, na tena ndio wakawa na muda mzuri zaidi wa kuwatumikia wananchi wao kuliko kuzurura duniani.
zaidi ya hapo,
kuna marais wengine ulimwenguni, mpaka wana hati za kukamatwa kabisa za ICC lakini wanadunda kote ulimwenguni bila mbambamba yoyote na mataifa yao yanafanya vizuri sana kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Maskini bwana. Hakuna maskini mwenye haki hapa duniani. Kama hakuna shida kupigwa ban, kwanini mnaombeleza na kujieleza kwingi huko USA hadi kuchukua na kulipa makampuni ya kuwasafisha huko USA?haina athari zozote kwa taifa letu kijamii, kisiasa wala kiuchumi.
wengi tu Africa waliwahi kuwekewa vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulingana na maoni yako, lakini mambo kwenye mataifa yao yakawa bam bam tu, na tena ndio wakawa na muda mzuri zaidi wa kuwatumikia wananchi wao kuliko kuzurura duniani.
zaidi ya hapo,
kuna marais wengine ulimwenguni, mpaka wana hati za kukamatwa kabisa za ICC lakini wanadunda kote ulimwenguni bila mbambamba yoyote na mataifa yao yanafanya vizuri sana kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Uhakika.Si ndo unyama utamwagika au?
huenda huo unaoeleza utakua miongoni mwa the most upotoshaji useless na completely nonsense kwa leo gentleman,Maskini bwana. Hakuna maskini mwenye haki hapa duniani. Kama hakuna shida kupigwa ban, kwanini mnaombeleza na kujieleza kwingi huko USA hadi kuchukua na kulipa makampuni ya kuwasafisha huko USA?
nambie athari alizowahi kupata Mugabe mpaka anaingia kaburini, Gadafi mpaka anaingia kaburini, Kim Jong Un anapata athari zipi kwa mfano,Nani kakudanganya
Gentleman
Ova