Je, vipofu huota ndoto?

YAAH nimekusoma.


Hoja yangu ni kuona kqenye ndoto na sio kuota.

Ndotoni mtu anaweza kuiona sauti au kusikia harufu na katika Ndoto ikaeleweka ila kiuhalisia haiwezekani.

Ila kqenye suala la kipofu kuona akiwa ndotoni ndio panaleta utata.
 
Ile ilikuwa Si ndoto, ni Advanced ndoto, inaitwa MAONO.

Ni halisi kabisa, Si imagination, natembea ,nasikia na kuona kabisa.

Mtu Si mwili, mtu ni ROHO, unaweza Toka ndani ya MWILI na kwenda upatakapo.

Hizi ni habari za KIIMANI zaidi hazina UKWELI na haziwezi KUTHIBITIKA

HAKUNA kitu kinacho itwa ROHO
 
Tukichukua Ubongo wa mwanadamu,

Unaweza nionyesha akili ilipo?
Soma nilichoandika kwanza, unajua maana ya Intangible, nimekwambia akili ni Intangible then unataka tangible proves.

Mind is Intangible but inathibitika kisayansi na ni sehemu ya mfumo wa fahamu that...vipi Roho kitu kipo beyond na science.
 
Ndoto ni uzoefu wa kisaikolojia unaotokea wakati wa usingizi, mara nyingi ikijumuisha picha, hisia, au mawazo ya kubuni ambayo yanaweza kuwa na maana au kutokuwa na maana kwa mtu binafsi.


Ukiona mtu hawezi kuona jua mlango wake wa hisia huwa juu mara dufu kuliko wa mtu anae weza kuona.
 
Acha mada za kipuuzi! Vipofu lazima waote, kwani kuota lazima uote kile ulichoona?
Anaweza akaotq harufu,sauti,mguso,kijamba,kupizi na vitu vyote binadamu anavyovihisi kwenye ufahamu
Kumbe unaweza kuota visivyoonekana ??
 
Nilitamani kuisherehesha tafiti hii ili hata wale ambao ni wazito kusoma nakala nyingi waweze kuelewa hasa kilichomo humu. Lakini kwa bahati mbaya nimekosa muda, mnisamehe.

Ova
Why kuisherehesha lakini? Lols

Mi nimeidownload tu ila huo muda wa kusoma ndio labda Mungu aingilie kati!
 
Ni kama vile ukiota uko katika mji mgeni ambao hukuwahi kutembelea.

Ova
Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochote
 
Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochote
Unaweza kuota unasikia kelele au hata mazungumzo fulani (kiini cha ndoto hizi ni sauti ).

Unadhani mtu mwenye ulemavu wa macho hawezi kuota ndoto za namna hii?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochote
Hapa hapa Tanzania kuna jamii za watu hawajawahi kabisa kuona train!

Unadhani kutoifahamu treni, kunaweza kumfanya ashindwe kujenga taswira akilini mwake?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu imekaaje ? Kuhusu vipofu Leo nilienda kumchukua mwanangu shuleni anakosoma maajabu niliokutana nayo nimekutana na vipofu wawili mume na mke pamoja na mbwa wao anao waongoza wanatembea vizuri tu kama wanaona kila kitu pia na yule mbwa anao waongoza yupo makini sana kwa reaction yoyote Wingereza kuna mambo yakushangaza sana hawa mbwa wao wanajua mpaka kustopisha bus au kupita kwenye traffic lights hakika ni maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…