- Thread starter
- #221
Tukichukua Ubongo wa mwanadamu,Akili inakaa kwenye ubongo we call it Mind, akili sio kitu tangible kama software tu inayokaa kwenye ubongo.
Unaweza nionyesha akili ilipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukichukua Ubongo wa mwanadamu,Akili inakaa kwenye ubongo we call it Mind, akili sio kitu tangible kama software tu inayokaa kwenye ubongo.
YAAH nimekusoma.Mkuu tunapishana kwa sababu tunajadili vitu viwili tofauti
Mimi najadili kuhusu kipofu kuota
Wewe unajadili kuhusu kipofu kuota ANAONA
Ipp hivi
Kipofu anaota kulingana na anavyo experience maisha anayoishi
Mfano, kipofu ataota anazagamua, ataota mtoto wake kapasi mtihani, ataota kazinguana na mkewe nk nk
Zingatia
Kuota ndoto sio lazima uone
Hata ukizaliwa huoni husikii nk as long as brain yako ipo active basi utaota kwa kadiri ya namna unavyoishi
Ile ilikuwa Si ndoto, ni Advanced ndoto, inaitwa MAONO.
Ni halisi kabisa, Si imagination, natembea ,nasikia na kuona kabisa.
Mtu Si mwili, mtu ni ROHO, unaweza Toka ndani ya MWILI na kwenda upatakapo.
Soma nilichoandika kwanza, unajua maana ya Intangible, nimekwambia akili ni Intangible then unataka tangible proves.Tukichukua Ubongo wa mwanadamu,
Unaweza nionyesha akili ilipo?
🤣Sawa mkuu yaisheMAKASUKU WA SHULE YA KATA ni watoto wa mayai viza.
Hawajui kung'amua. 🙈
Kumbe unaweza kuota visivyoonekana ??Acha mada za kipuuzi! Vipofu lazima waote, kwani kuota lazima uote kile ulichoona?
Anaweza akaotq harufu,sauti,mguso,kijamba,kupizi na vitu vyote binadamu anavyovihisi kwenye ufahamu
Anamuona tembo sema Kanakua kadogoKwamba akisikia kuhusu tembo, picha yake katika ndoto inakuwaje?
Ndoto ya picha inatengenezwa vip wakati hawaoni chochote,?Wana milango yote ya fahamu hiyo ndio hutengeneza matukio yote yanayokuja kuzalisha ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitamani kuisherehesha tafiti hii ili hata wale ambao ni wazito kusoma nakala nyingi waweze kuelewa hasa kilichomo humu. Lakini kwa bahati mbaya nimekosa muda, mnisamehe.Hapo kwenye ndoto za picha Kwa kipofu wa Kuzaliwa ndo penye utata.
Tafiti zinasemaje?
NdioKumbe unaweza kuota visivyoonekana ??
Ndoto ya picha inatengenezwa vip wakati hawaoni chochote,?
Sio lazima aote visualNdoto ya picha inatengenezwa vip wakati hawaoni chochote,?
Ni kama vile ukiota uko katika mji mgeni ambao hukuwahi kutembelea.Kumbe unaweza kuota visivyoonekana ??
Why kuisherehesha lakini? LolsNilitamani kuisherehesha tafiti hii ili hata wale ambao ni wazito kusoma nakala nyingi waweze kuelewa hasa kilichomo humu. Lakini kwa bahati mbaya nimekosa muda, mnisamehe.
Ova
Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochoteNi kama vile ukiota uko katika mji mgeni ambao hukuwahi kutembelea.
Ova
Unaweza kuota unasikia kelele au hata mazungumzo fulani (kiini cha ndoto hizi ni sauti ).Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochote
Hapa hapa Tanzania kuna jamii za watu hawajawahi kabisa kuona train!Hiyo inawezekana kwasababu akili yangu ishaifadhi picha ya miji mingi tyr, tofauti na kipofu ambaye hajawahi ona chochote
atajenga taswira ya treni kwa kutumia mfanano upi??Hapa hapa Tanzania kuna jamii za watu hawajawahi kabisa kuona train!
Unadhani kutoifahamu treni, kunaweza kumfanya ashindwe kujenga taswira akilini mwake?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile
Hii kitu imekaaje ? Kuhusu vipofu Leo nilienda kumchukua mwanangu shuleni anakosoma maajabu niliokutana nayo nimekutana na vipofu wawili mume na mke pamoja na mbwa wao anao waongoza wanatembea vizuri tu kama wanaona kila kitu pia na yule mbwa anao waongoza yupo makini sana kwa reaction yoyote Wingereza kuna mambo yakushangaza sana hawa mbwa wao wanajua mpaka kustopisha bus au kupita kwenye traffic lights hakika ni maajabuSalaam, shalom!!
Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine,
Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto?
Kurahisisha upatikanaji wa jibu kuhusu ndoto za vipofu, tupate tafsiri ya
1. Silver cord/ Kamba ya Fedha. 2. Mtu/ Roho/ Spirit 3. NAFSI 4. Mwili. 5. NDOTO. 6. ULIMWENGU WA ROHO.
1. SILVER CORD/ KAMBA YA FEDHA.
Hiki ndicho kiunganishi kati ya MWILI wa mtu na Roho. Inapatikana katika ( Mhubiri 12:6): Or ever silver cord to be loosed. Ukisikia mtu amekata Kamba, ndo hii silver cord.
2. MTU/ Spirit/ Roho.
MTU- Ni ROHO, ANAYO NAFSI NA ANAISHI NDANI YA MWILI.
3. NAFSI./ Soul.
Mwili/ udongo ulipopuliziwa Pumzi ya uhai, ikazaliwa NAFSI. (Mwanzo 2:7) Ikumbukwe, Pumzi ya uhai ndiyo Roho.
NAFSI ndiyo inayobeba hisia, akili, uwezo wa kufanya maamuzi. Hapa ndipo panapochakata taarifa Kutoka kwenye Mwili na Kutoka kwenye Roho( mtu). Kumbuka hisia, akili, will vyote havishikiki katika mwili physical bt vipo.
4. MWILI.
Hili ni frame, kopo, vazi la mtu ambaye ni ROHO. Mwili Si mtu, Bali mwili ni vazi la mtu ambaye ni ROHO.
Katika mwili Kuna Ubongo, lakini akili Iko katika NAFSI.
Ukienda msibani, utasikia tunaenda kuaga mwili wa marehemu, marehemu na mwili ni vitu viwili tofauti.
5. NDOTO - Ni tukio halisi Si illusions kama wanasayansi wengi wanavyodhani. NDOTO ni tukio linalofanyika katika Ulimwengu wa Roho wa mwili au katika Ulimwengu wa Roho.
NDOTO type 1- Hizi ni za Kutoka kwenye Mwili kupitia macho na mawazo ndizo ziitwazo ndoto kulingana na shughuli za Kila siku. ( Mhubiri 5:3). NDOTO huja Kwa shughuli nyingi.
NDOTO TYPE 2- Hizi ni Kutoka katika Roho, NAFSI inazipokea na akili itatunza kumbukumbu, ukiamka, utakumbuka ulichoota. NDOTO hizo ni HALISI Si imagination, ni wewe ambaye ni ROHO Huwa unaona au kwenda na kutuma taarifa katika NAFSI kupitia silver cord.
(Ayoub 33:15) katika ndoto, katika maono ya usiku, USINGIZI mzito uwajiliapo watu, katika USINGIZI kitandani.
6. ULIMWENGU WA ROHO.
Kwakuwa mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI, anapata na kutunza taarifa zote katika kitu kinachoitwa NAFSI.
Matukio yanayotengenezwa katika Ulimwengu wa mwili, NAFSI itayachakata na utayaota kupitia akili iliyo ndani ya NAFSI.
Matukio yaliyotokea kwenye Ulimwengu wa Roho, ,utayapata sababu silver cord imeungwa na mwili, NAFSI itakuletea tukio Hilo halisi kupitia ndoto, na ndoto zote ziko katika Ulimwengu wa Roho wa Nuru au Giza.
Hivyo mtu kipofu, kwakuwa Yeye ni ROHO, tutakuwa kwenye nafasi nzuri kujua ikiwa anaota ndoto au la. Na ikiwa anaota, ni Kwa mfumo upi?
MY LIFE EXPERIENCE.
Nimewahi Kutoka ndani ya MWILI wangu nikiwa mdogo na nikaenda mbali sana pazuri mno na kuona vitu ambavyo sijawahi kuviona duniani.
Swali ni je, vipofu waliotoka ndani ya miili Yao kama Mimi nilivyotoka ndani ya MWILI wangu, wanaweza kuona? Maana Mimi nilivyotoka ndani ya MWILI wangu sikutumia macho ya MWILI, kumbuka mwili niliuacha chumbani.
Cc:Sea Beast
Karibuni[emoji120]