Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Unajua nini darcity , kwa mtu asiewaelewa ni haki kuwaza wanaishije.
Tofauti na watu wenye macho, ni kwamba kila kitu huwachukua mda kukamilisha. Wanafua nguo, wanadeki,wanapika balaa. Humenya viazi mwenyewe,atawasha jiko au gesi,atapika na atakupakulia.
-Humimina maji kwenye glass na hamwagi
-Huweza kutambua rangi ya nguo anayoenda kuvaa(anakuwa ameshakalili,ila ukimpa nguo yake atakwambia ina rangi gani)
Anatambuaje RANGI bila kuwa na macho?

Au hunusa na kugusa kuikari?

Anyway, akiota huona RANGI ila anashindwa kutufafanulia alichoota Kwa kukosa macho?
 
Hapo kwenye kuvuta picha kutokana na wanachogusa au kusikia ndipo penye utata ningependa kupata majibu,

Taswira Yao inatengenezwaje?
Mkuu, kwa hawa watu, nikwambie ni viumbe wa ajabu sana. Niliwahi kuwa na demu wa hivo. Nilichojifunza tu ni kwamba macho kazi yake tu ni kupeleka picha kwenye ubongo. Hivyo mfano ukimwambia hapa kuna ajali na watu wamekufa,maumivu unayopata hivyo hivyo ndo na yeye anayoyapata. Unaamini na wao hulia?
 
🤣🤣🤣Kwani lazma amuone tembo... we shida yako Nini...unataka aote au aote unachokitaka.. maswali kama haya si mazuri kwa sababu ni ya kibaguzi kwa wenye ulemavu..ni sawa na kuuliza kama albino anakunya mavi meupe
Mkuu, ukimwita kipofu ndo mtakosana. Ila ukitumia neno mlemavu wa macho, mtaenda sawa
 
🤣🤣🤣Kwani lazma amuone tembo... we shida yako Nini...unataka aote au aote unachokitaka.. maswali kama haya si mazuri kwa sababu ni ya kibaguzi kwa wenye ulemavu..ni sawa na kuuliza kama albino anakunya mavi meupe
Huo sasa utani.

Kipofu ni kipofu, kiziwi ni kiziwi, albino ni albino.

Mavi ni mavi, Kwa lugha ya SHERIA kuondoa mkanganyiko wa tafsiri.
 
Sasa we ukifumba macho Si utatengeza picha ya ghorofa uliwahi liona before?

Sa kipofu Hana macho, hiyo taswira atatengeza vp?
🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?
 
🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?
Ndo tupate sasa ushahidi wa vipofu wenyewe Kwa kutumia ushahidi na Utafiti wa kisanyansi kuhusu NDOTO za VIPOFU!!
 
Back
Top Bottom