Je, Vision 2030 ya Saudi Arabia ya Mwana Mfalme Mohammed Bin Salman inamaanisha nini kwa Waumini wa SUNNI?

Huwezi kupewa vyote uwe na akili na hela waarabu wanahela wanawatumia wenye akili kufanya wanayoyataka nenda dubai kulivyojengeka engineers wote wazungu
sasa hapo anayefaidika nani? kama engineers wote wazungu, wanachota tu mihela, na wao waarabu hawajawekeza kwenye elimu that means hawatakuja kuwa independent hata siku moja. tunachoongelea hapa ni independence ya waarabu toka mikononi mwa wazungu,never. soko tu la mafuta ni kwasababu mzungu anafaidika, asingefaidika akiamua kulitikisa hao waarabu watarudi kuuza tende.
 
kwahiyo unataka kuniambia mtu anaweza kuendelea dunia hii ya leo bila kumiliki teknolojia? au na wewe ni mwarabu?nisijekuwa nabishana na walewale.
by 2040 wamecommit 2.5% ya bajeti yao kwenye R&D, mwezi uliopita MBS amezindua mfuko wa tafiti na maendeleo ya high tech na future technologies king abdulah university of science and technology. Kasome reports za WEF kuhusu reforms and tech investment ya saudi. Saudi inabadilika sana.
 
angeongea hili iran ningeamini, sasa huyu? hawezi kujitesa kusoma mwarabu wewe.
 
kwahiyo unataka kuniambia mtu anaweza kuendelea dunia hii ya leo bila kumiliki teknolojia? au na wewe ni mwarabu?nisijekuwa nabishana na walewale.
Nakuambia saudi inawekeza kwenye tech i.e miundombinu, sera na elimu halafu unaniuliza tena kama unaweza endelea bila teknolojia.
 
Ambacho hatukifahamu ALLAH anasema wakati sisi tunapanga Naye anapanga ILA KATUKUMBUSHA KUWA "YEYE NI MBORA KABISA KATIKA KUPANGA"

Makka, Madina na Jerusalem ITABAKI NI MIJI MITIKUFU KABISA WALA HAKUNA UBISHI, MAKKAH na Madina Mola Mlezi ameahidi kuilinda HATA DAJJAL [MPINGA KRISTO] HATAKANYAGA!!!!

ila kingine USISHANGAE NCHI ZILIZOKUWA ZA KIKAFIRI [ MAJORITY NON MUSLIMS] Zikawa ndiyo MUSLIM COUNTRIES.....

Huwezi shindana na Mola Mlezi!!! Na Qur'an ameahidi ATAILINDA dhidi ya kukngiliwa na MIKONO MIOVU kama ilivyoingiliwa VITABU VILIVYOPITA....
 
Misimamo ya kidini kwa kiasi kikubwa imerudisha au imesimamisha maendeleo ya moja kwa moya ya mwanadamu ambae anazihusudu hizo dini.

Hata huku Afrika tukiweza kuuvuka mstari ulio wekwa na dini tutapiga hatua walao chache mbele.
 
Ila akiwaletea tende mwafurahia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
China wenyewe hawajagundua chochote, ni copy and paste, at least Korea Kusini, ila Wakristo wa Kizungu ndo wamechangia pakubwa ugunduzi wa teknolojia.
 
Wewe sema tu Uislam!! Shida ni nyinyi SUNNI na MBS atawanyoosha mpaka mseme poo. Kuna wenzio huko Saudia ni Wahhabi imebidi watimuke; mwenzao ataka Maendeleo wao wanaleta ujinga wa SIASA kali
 

Haya nenda kajiripue kuonyesha msimamo wako jihadist.
 
Sure,

Namkubali MBS ila hapa ndo anafeli.

Kama ana-vision kweli ya kuifikisha Saudia huko ilibidi aanze na elimu, trust me waarabu wengi ni illiterates, elimu wanazo za kawaida sana na za kulia bata tu. Na ndo maana imechukua miaka mingi mpaka kuja kumpata mtu aina ya MBS sababu wengi elimu hawana.

Ila kumwambia mtoto wa kishua asome wakati anaona home kuna kila kitu ni ngumu, huko India na China jamaa maisha mabovu ndo maana yanawafanya wawe competitive sana
 
Wewe, ninauhakika haufuatilii matukio ya Dunia hii kuhusu Uislam. Kwa taarifa Yako kelele unazosikia za Uislam ni huko nchi za magharibi ambako wamepewa uhuru na sasa wanadanganya baadhi ya wazungu na black Americans. Lakini Saudia vijana wanapishana na Uislam bahati tu Kiongozo wao amestuka mapema ndyo maana wako naye; Irani ndiyo hivyo vijana wa like waliisha kataa Hijabu na kuandamana wakiimba death to the Ayatollahs. Pakistan vijana wanamkashifu waziwazi Mtume Mohammad kwenye mitandao mpaka viongozi wa kiislam wakalia kwanini Allah ameruhusu hiyo itokee. Ukiingia YouTube kwenye speakers corner UK Waislam wameishiwa hoja, wanachofanya sasa hivi ni kuleta vurugu. Islam even with its lies it will die
 
Kama ilivyo Morocco na Tunisia....

Kwa Sasa Saudia, Kuna mashogaaaaa ,madanguro ya Malaya, kumbi za kamali n.k
Mzee Rukhusa alisema ukifungulia dirisha upate hewa safi na manzii nayo yanaingia; pale wajue hakuna tena huo utakayifu. Kwanza hiyo Makka yenyewe ni ya mchongo. Watafiti wanachoshangaa Jiji Gani mnalosema la kihistoria lakini hakuna hata Baki lolote lililochimbuliwa kuthibitisha Uislam na Mohammad alikuwa huko. Si Ajabu mwana Mfalme Bin Salman ameliona hilo akajia Uongo WETU uko ukingoni ndyo maana anaachana na hayo mavitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…