Nyinyi jazaneni ujinga tu, mnafikiri Dunia inawasubiri!! Mambo yanaenda Kasi mno. Mtasituka wakati it's too late na utaikimbuka hii thread.@FaizaFoxy usimjibu tena huyu hata ulivyomjibu alete ushahidi naona ulimfanyia tu hisani ila hastahili hiyo privilege mjinga kama huyu!
Sihuwa mnasema technology nyingi kagundua israel sasa hv tena wakristo wazungu ndio wamechangia pakubwa ugunduzi wa technology maana nnajua wa israel sio wa kristo hata huyo yesu hawataki hta kumsikiaChina wenyewe hawajagundua chochote, ni copy and paste, at least Korea Kusini, ila Wakristo wa Kizungu ndo wamechangia pakubwa ugunduzi wa teknolojia.
Isaac Newton sio Mwisraeli ila alikuwa Mkristo.Sihuwa mnasema technology nyingi kagundua israel sasa hv tena wakristo wazungu ndio wamechangia pakubwa ugunduzi wa technology maana nnajua wa israel sio wa kristo hata huyo yesu hawataki hta kumsikia
Aliyeiokoa Turkey kwenye WW1 ni nani, sipo hapa kulinganisha Turkey ya kale ambayo Ataturk hajazaliwa nipo kulinganisha aliikuta wapi na akaiacha wapi. Waislamu huwa mnajifanya mnamchukia Ataturk wakati hakuwa Rais wa dini yenu, alikuwa Rais wa Turkey na inampenda.Na quote paragraph yako
Quote yako ina maanisha
1. Ataturk alikua Mzembe wa dini
2. Uzembe wake wa dini ukasababisha Uturuki wawe na maendeleo makubwa
3. Uturuki hawajalegea kama wanaotegemea "Alhamdulilah" ya mafuta.
Lakini hili ni kweli? Uturuki ya Zamani na sasa ya sasa ipo Vyema? Naamini jibu unalo ila sababu wewe ni mramba miguu wa west unajiziba tu akili.
Uturuki ya Sasa ni shadow of former self, haifiki hata robo ya Uturuki ya Zamani na wao kuacha asili yao imepelekea huko.
Haya ni Masharti ambayo Ataturk na west Waliingia.
1. Uturuki isifanye Oil Exploration, Leo Uturuki hawazalishi mafuta na Gas si sababu hawana, la Hasha wanayo ila huu Mkataba uliwabana, Saudi na Nchi nyengine za Ghuba Zimeendelea sana Sababu ya mafuta just imagine lost Opportunity iliofanywa na Ataturk.
2. Waache Black Sea watu wapite kama Uani kwao wasipokee fee wala chochote
3. Maeneo yao kuporwa etc.
Kutokana na mkataba huo Uturuki ime suffer miaka 100, wakiangalia Taifa kubwa lililokuwa top duniani likibaki taifa la kawaida, mpaka Leo Uturuki imegawanyika kuhusu yeye, Pengine ni kati ya baba wa Taifa Controversial duniani. Ataturk ni Mangungo wa Ulaya.
Ndio Maana sasa Hivi Erdogan amekua popular sana sababu mwaka huu 2023 mkataba unaisha, west wanataka uwe renewed ila jamaa hataki wameshaanza Oil Exploration.
RashidYupi huyo? Mrithi ni mbs hakuna mwingine, huyo unaomsema hapa ni yupi?
Ataturk sio popular Uturuki as I said at best ni 50/50 nioneshe Nchi moja tu duniani ambayo baba wa Taifa anagawanya watu hivi. Hata mimi naweza jibaraguza Nikasema Mangungo kasave kabila lake kwa kukubali matakwa ya Mjerumani ila haimaanishi mkataba alioingia ulikuwa favorable kwa wananchi wake.Aliyeiokoa Turkey kwenye WW1 ni nani, sipo hapa kulinganisha Turkey ya kale ambayo Ataturk hajazaliwa nipo kulinganisha aliikuta wapi na akaiacha wapi. Waislamu huwa mnajifanya mnamchukia Ataturk wakati hakuwa Rais wa dini yenu, alikuwa Rais wa Turkey na inampenda.
-TURKEY GDP 1.026 trillion Usd.Okay, Saudi Arabia inauza mafuta ambayo Turkey alizuiwa kuuza. Mwenye uchumi mkubwa kati yao nani.
Usiniambie mimi ni Maneno ya Erdogan mwenyewe 2023 imefika mkataba unaisha kuanzia Mwakani watalipa hela kubwa. Mkataba wa Zamani walipangiwa kiasi, wakapangiwa hadi na hela watakayopokea iwe (franc) kisha iwe converted kwenda dhahabu kisha iwe usd,Bosporus straight ilichimbwa kwamba iwe inalipiwa? Unailinganisha na Panama au Suel ambazo ni canals? Iran huwa inalipisha kupita straight of Hormuz? Britain wanalipisha kupita Gibraltar?
Ndivyo mnavyojidanganya. Soma:Acha ubishi wa Kitoto, kama ameandika upuuzi mbona unam diss MBS?
Tambua kuwa MBS ndiye mlinzi Mkuu wa Quran na Utamaduni wake kwa sasa, akiamua leo hakuna kwwnda kuhiji Makka ndiyo itakua hakuna.
Watu wakiamua kubadilisha tamaduni wala hawashindwi, ni swala la muda tu. Waturuki waliingiza alama yao ya Mwezi Mchanga na Nyota mbona hadi leo watu mnaifuata na bila hiyo alama uislam haukamiliki?
Hii ni Dini iliyohifadhiwa. Allah atailinda Dini yake.Niwakumbushe tu kuwa Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman, allisha tamka kuwa Zaidi ya asilimia 90% ya Hadithi (kwenye Quran) ni takakataka!!
Sidhani kama hajaona takataka zilizoko kwenye Quran yenyewe, lakini, ukigusa hicho kitabu na vile waislam walivyo, nafikiri vita ya Dunia anajua itazuka-akamua aanze kwanza na Hadith. Ni huyu huyu ambaye amepiga marufuku Wanafunzi wa kike kuingia darasani wakiwa wamevaa Abaya.
Katika video hapa chini anaapa kwamba ndani ya miaka mitano anataka kui transform kabisa Saudia na nchi nyingine ya Mashariki ya Kati-Kwa maneno yake anataka the New Europe iwe Mashariki ya Kati!
Akiwa anatamka hilo Emir of Dubai Mohammed bin Rashid Al Maktoum peke yake kati ya Umati wote Ndiye anaamka kuonyesha kuunga mkono maono hayo.
Ikumbukwe Dubai imefunguka kiuchumi na kijamii. Aidha katika hotuba yako hiyo anaapa kuwa anataka kablla ya kufa aone ndoto yake hiyo imetimia kwa 100%
Bin Salman siyo tuu anataka Middle East ya waarabu ndiyo iwe Europe, bali anaiwinda hata Israel. Kuna mazungumzo ya chini chini ambapo anataka kuanzisha uhusiano wa kibalozi na Israel na kama hiyo haitoshi anataka kuchukua hata usimamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa. ikumbukwe tu Waislam wa siasa kali wanautumiaga Msikiti huo kuanzisha vurugu ambazo hutokeza mapigano kati ya Waisrael na Wapalestina.
Inasemekana Saudia wamechoshwa na hali hiyo ya vita; kwani maendeleo hayaji kukiwa na chokochoko za vita
Mzee Mwinyi aliisha sema ukifungulia Dirisha hewa nzuri iingie, basi na maanzii yayo yataaingia.
WaSunn kwa maendeleo haya basi tegemeeni kuishi katika ulimwengu ambao itabidi mkubaliane na uasi imani kwenye dini yenu iliyojaa masharti yasiyo na msingi na kwakweli hayatoki kwa Mungu wa Kweli
Wale Waarabu ambao ndyo wanaoisoma na kuielewa Quran (siyo nyinyi mliokaririshwa) Watafunguka macho kutokana na modernization na hivyo kufichua uongo na upuuzi ulioandikwa kwenye Quran.
Nawaambia hivyo, waulizeni wenzenu wakatoliki, ambao walikuwa wakikaririshwa Biblia kwa Kilatini na wakaambiwa Biblia ni ngumu kuielewa hivyo wao wawe wanawasikiliza tu Mapadre wao.
Europe ilipo Modernize uasi ukaanza kutokea na kuanzishwa makanisa ya Kiprotestant. (dont take me wrong thou, because I am neither catholic nor protestant).
The worst scenario, kwa sababu WaSunni ni watu wa kujilipua, basi tutegemee kupigwa marufuku kwa dini yenu pamoja na dini zingine za uongo.
Mambo yanaenda kwa haraka sana, wakati Ulimwengu unaelekea kuadhimisha miaka 2000 tangu ulimwengu ulipotambulishwa Yesu kuwa ndiyo Mesiha
Kwenye Revelation 17:1-2 saysHii ni Dini iliyohifadhiwa. Allah atailinda Dini yake.
Halafu wewe kafiri hayo maneno unayodai kuwa Prince Mohammed Bin Salman kayasema dhidi ya Hadith unamsingizia wewe. Allah amuongoze Mwana Mfalme Mohammed Bin Salman na amhifadhi.
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.
Una uhakika hawajawekeza kwenye elimu?sasa hapo anayefaidika nani? kama engineers wote wazungu, wanachota tu mihela, na wao waarabu hawajawekeza kwenye elimu that means hawatakuja kuwa independent hata siku moja. tunachoongelea hapa ni independence ya waarabu toka mikononi mwa wazungu,never. soko tu la mafuta ni kwasababu mzungu anafaidika, asingefaidika akiamua kulitikisa hao waarabu watarudi kuuza tende.
Unajizima data siyo. Wewe huoni kuwa huyo Msunni anatakakuaminisha kuwa Quran inasema Yesu hakufa kwenye mti wa mateso wakati Quran kumbe 19:15 na 33 Issa akiwa kichanga aliisha jitabiria kuwa zimebarikiwa siku aliyozaliwa, siku atakufa na siku atakayofufuliwa na Mungu. Vile vile huyo Sunn alitaka kupotosha kuwa Quran 3:55 inasema Yesu alipalizwa kwa Mungu bila kufa wakati tafsiri halisi ya NENO HILO LA KIARABU ni kuwa MUNGU alimfisha ISSA. Ndiyo hapo alipoitwa Mwarabu ambaye ni Muislam lakini ameamua kusema ukweli.Nimejaribu kupitia huu mjadala sijaona "premises" za malumbano.
Kinachoshindaniwa ni nini hapa? MBS wa Saudi Arabia au mafundisho ya Uislam?