Uchaguzi 2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

Haitawasaidia chochote, mwisho wa siku watakuja kuaibika tu. Hakuna Dikteta anayedumu MILELE.
Hakuna hajaya kutaja tusi lolote katika press conference ya jana maana alisha pigwa ban na vyombo vya habari kwa utovu wa nidham na maneno ya dharau., aliyoyatumia kabla ya jana.
 
Pia wanapenda kuweza kwenye ulinzi high spying networks
 
Tundu anatukana na kukejeli hilo ni kosa, lakini yeye kuitwa shoga, msaliti, na matusi mengine ni sawa kwa CCM.
Matusi yamejaa kwa mwenyekiti huwezi angali hotuba zake ukiwa na mkwe wako.
 
Chadema waliwafukuza wanahabari ktk mikutano yao.

Wasilalamike
 
Pia wanapenda kuweza kwenye ulinzi high spying networks
Kila anapokwenda, anaambatana na maaskari wengi wenye bunduki za moto, wanaomlinda.....................

Hivi ni kiongozi gani wa wanyonge ambaye anawaogopa kiasi hicho, wananchi wenzake wanyonge?
 
Katika Mambo ya aibu katika uchaguzi huu Ni pamoja na BIASNESS YA MEDIA NA UDHAIFU WAKE KWAKWELI WAMEIAIBISHA TAALUMA YAO.
 
TBC walifukuzwa ktk mkutani sasa ea nini tena
 
Swali kwenu CHADEMA, mnatakaje vyombo vya habari viwape coverage wakati last 2 weeks mlifukuza chombo cha habari TBC hadharani tena kwa kuwapa dak 15 wawe wameondoka, sijawahi sikia hata siku moja Chama chochote cha siasa kifukuze chombo cha habari kwa udikteta uliofanya pale Mbagala..

Hapo hamjapewa madaraka, je mkipewa ndio mtafunga na kuua vyombo vya habari, juzi tu mlikuwa mnalilia uhuru wa vyombo vya habari, sasa kwanini mliwafukuza TBC kama wezi au mbwa pale Mbagala ZKM? CHADEMA hamna sera wala mnachosimamia.. Huu uchaguzi JPM will win over 78% of total votes.

Subiri muone
 
Jana niliona Azam TV, taarifa ya habari.....sijui huko tibisi,staa tivi,aitivi,krauzi na kwingineko
 
Mkuu hivyo vyombo havina tatizo, tatizo ni sisi kuendelea kuwafatilia
 
Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
Ila waripoti yeye akiitwa kibaraka wa mabeberu
 
Nani aripoiti upumbavu?
 
Kwa mafanikio ya hii miaka Mitano. Lissu ni Bora angejitoa tu ajaribu tena 2035.
 
Kuna yule huwa anasema watangulizi wake hawajafanya lolote, ila yeye pekee ndiye anafaa kuwa kiongozi, vp bwana huyo huoni kuwa anaamini kuwa anaweza kila kitu yeye tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…