Uchaguzi 2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

 
Sasa umeandika nini shehe, tusaidie Sasa Wewe, wameandika au hawajaandika?
 
Sasa umeandika nini shehe, tusaidie Sasa Wewe, wameandika au hawajaandika?
Kwani nilichoandika bado tu hujakielewa wewe kada wa Lumumba?

Au ndiyo unajifanya tu kuwa hujakielewa, ili umridhishie Chakubanga, ili usikose posho yako ya Buku 7 leo jioni pale Lumumba?
 
Lengo kubwa la vyombo vya habar Ni biashara,Mara nyingi jamaa kwenye maelezo yake huwa anatumia kauli ambazo tisiaraei eidha wanaweza kukufungia au upigwe fain na ukisema uedit hizo kaul kina Manka wanamaind mwishowe inakua km hivyo
 
Vyombo vya habari vya Tz ni hovyo kabisa na waoga kupindukia, kampeni zinafanywa na vyama vyote lakini ccm ndio inapata coverage peke yake! Shame! shame!
 
Na km ungelikua unaish kwenye zama za hao uliowataja usingethubutu kuandika hiyo comment yako.
 
Kama havikurisha mbona mnajua alichoongea
 
Vyombo vya habari vya Tz ni hovyo kabisa na waoga kupindukia, kampeni zinafanywa na vyama vyote lakini ccm ndio inapata coverage peke yake! Shame! shame!
pilipili kichaa
Hivyo vyombo vya habari "vitalazimika" kumuandika Tundu Lissu, kwenye vyombo vyai vya habari, pale atakapopata ushindi mkubwa, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu!
 
ITV huwa wanatoa habari za vyama vyote kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku.
 
Vyombo vya habari vya Tz ni hovyo kabisa na waoga kupindukia, kampeni zinafanywa na vyama vyote lakini ccm ndio inapata coverage peke yake! Shame! shame!
Amewalipa air time ili wamrushe?
Alipe dakika aone kama hawarushi,
Lakini bado tunamuona youtube sasa hapo hajarushwa.
 

Maelezo yako utakuwa unachanganya na yanayomhusu jiwe:

Jiwe haamini kama kuna mtu bora kama yeye. Si Tanzania tu, bali dunia nzima. Anadhani hata baba wa taifa si kitu kwake. Wote kina Obama ni watoto wadogo.

Akisikia baba lao anaamini kuwa kweli yeye baba lao.
 
Jana Aridhio ya saa moja walitangaza
 
ITV huwa wanatoa habari za vyama vyote kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku.
Vyombo vya habari vya ITV na magazeti yake ya Nipashe, ndiyo vyombo vya habari binafsi vinavyofaa kuigwa na vyombo vingine vya habari hapa nchini..............

Kwa kuwa vyenyewe ndiyo pekee, vimeondoa ile Hofu, Hofu, Hofu aliyoiongelea Tundu Lissu, na wenyewe, ndiyo wamepata ujasiri, wa kuweza kumripoti Tundu Lissu, pamoja na "consequences" ambazo wanajua wanaweza zipata toka kwa akina Dkt Abbas
 
Kwa heshima na taadhima kwako, unahamisha mada. Mada ni hivi: Je, ni tusi lipi alilonena Lissu kwenye mkutano wake huo wa kupasha habari?
 
Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.

Dar Mpya imeripoti mkutano mzima....

CHADEMA media TV imeripoti mkutano mzima...

Hata sisi huku Shinyanga tuliufatilia kwa ufasaha kabisa...

The guy was very friendly, calm and understanding...

Amejaa ufahamu na maarifa ya kutosha. Inafurahisha na kutia hamasa kwa kweli...

Don't be so conservative to that extent....

Usijifunike ndani ya pipa au mtungi. Jiachie, fungua akili na ufahamu wako.....

Mfuatilie Tundu Lissu utaongeza maarifa na ufahamu ktk kichwa chako...!!
 
[QUOTni NDIYO"Mystery, post: 36634527, member: 73370"]
Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na wamiliki wa vyombo hivyo.

Jambo la kushangaza ni kuona kuwa hata chombo cha habari cha Umma, Televisheni ya TBC, ambayo gharama za uendeshaji wake tunaibeba walipa kodi wa nchi hii, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, nacho hakitaki kumripoti mgombea huyo wa kiti cha Urais!

Kwa namna ya jinsi inavyotoa ripoti, na kuzifanya habari za Rais John Magufuli, kuwa ni "lazima" zipewe kipaumbele, zinafanya chombo hicho cha habari nchini cha TBC, kuwa kama ni chombo cha propaganda za CCM!

Kinachotakiwa na vyombo vya habari hapa nchini ni kuondoa hofu ambayo imetanda miongoni mwao, katika kuripoti matukio ya kampeni ya mgombea huyo wa Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA na kufanya kuwa fair kwa kutoa nafasi iliyo sawa kwa vyama vikuu hapa nchini vya CCM na CHADEMA.

Swali kubwa ninalojiuliza, je baada ya Tundu Lissu kufanya hiyo "press conference" vyombo vya habari hapa nchini vimeanza kubadilika na kuona hakuna "consequences" za kuanza kumripoti huyo mgombea Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA?
[/QUOTE]
Jibu ni
 
Ndiyo
 
Sasa wàandike nini?
Matusi yake?
Kejeri zake?
Kwamba watanzania hawajui kingereza?
Sadaka kweye mikutana yao ili azidi kuwakamua watanzania masikini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…