Je, wa-aborigine wa Australia wana asili ya Tanzania? Ni wazaramo, wasambaa au wamakonde?

hii mada nzuri naona inakosa wachangiaji.
Mkuu Sizinga, nyie wataalamu au nyie wenye ABC wa hii makitu tupeni mambo basi manake wengine tunasukumwa na personal judgments.
 
Last edited by a moderator:

Kaka Sinzinga, nadhani hukunielewa nilichosema, au nilikielezea vibaya, actually nilikuwa namaanisha fossils, mabaki ya viumbe vilivyokuwa preserved kwa njia moja ama nyingine, so point iikuwa ni hivi, kama kuna viumbe vinajulikana ni viumbe wa majini tu, say samaki kisha unapanda juu ya mlima mrefu sana 7500m above sea level, na unayakuta mabaki ya wale samaki kule, swali lazima ujiulize hawa wamefikaje kule? kule hakuna maji wala hakuna bahari wale samaki waliwezaje kufika kule, hiyo ni just evidenve moja, lakini kuna pia paleoclimate evidence ect

kaka hii kitu ni real, nakupa mfano mmoja tu, wakati wanatafuta mafuta Tanzania/Zanzibar miaka ya 1950s, kule pemba walistace mabaki ya mto mkubwa sana, mabaki hayo ya mto yalikuwa covered na recently materials na walifanikiwa kuona wakati wanachimba visima vyao vya majaribio, yaani walikuwa wanapata evidence za mto mkubwa unaicross pemba kwenda baharini, lakini ukiangalia sasa Pemba hakuna mto, na leter on ilikuja kundulika ule ulikuwa ni mto Pangani, kwa maana Pemba ilitoka/detached along Tanga Coast Pangani Area.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndie nianze kuuliza iweje mjadala umeanza na premise ambazo tofauti na ufahamu wa dunia uliotokana na majarida mbali mbali, science documentaries and field understanding kuhusu hayo mambo, halafu udai mimi ndio nataka vitu vyangu. In other words my understanding derives from people who have worked so hard to uncover the mysteries be it the answers are not certain but foundation has been built, sasa wewe unaekuja na assumption ambazo ni totally guess work katika kutaka kujua kwako ndio unatatizo wakati kuna ufahamu wa kuanzia kisayansi.

Again kuuliza si tatizo, tatizo ni pale unapoanza kutolea majibu ya maswali yako kwa mtazamo wako ambao ni kinyume na demand za dunia ya leo ambazo ni evidence based.

Ndipo hapo umuhimu wa research unapoanzia, kuna maandishi mengi sana ambayo scholars wa african history wamegusia kuanzia upotoshaji wa asili za ma-pharaohs na ukubwa wa empire zao. Tukirudi kwenye swala hilo hilo kabla ya mungu tunavyomjua leo ancient Egyptians ndio walikuwa watu wa kwanza kugusia mungu wa mbinguni ambae walimwita Ra (ushahidi ni decoded egyptian hierography na muda ulioandikwa) na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east kwa maana hiyo kulikuwa na watu weusi pia mitaa hiyo what is not clear is how far exactly they went and what impact they have left pengine ndio chanzo cha wahindi weusi.

Pia vilevile under Piankhy ambae utawala wake ulikuwa based on Ethiopia inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome. Na kuna watu wametumia mistari hiyo hiyo kujaribu ku-justify kama ndio hivyo who knows pengine mpaka muda wa alexander the great kulikuwa na black rule na pengine alexander the great alikuwa mtu mweusi. Hizo zote ni historical speculations lakini zimejikita na ukweli wa mazingira ya muda huo, na mpaka Mohammad anaandikwa bado afrika was the place to trade hivyo waafrika nao aijulikani walisogea mpaka wapi, ni jukumu la mwenye interest kuchunguza lakini maandishi yapo mengi kuhusu wapi pa kuanzia.

Uitaji kurudi nyuma hivyo kujua ni lini wahindi na weusi walikutana maana kuna maandishi ya kutosha ambayo yana ambatanisha kukutana kwao, uwepo wao as early as during the beggining of ancient egyptian history and before, for that matter. Swala hapa hao watu wa huko unapodai wana umakonde ni race yao tu kama race nyingine ambazo zimetokana na impact ya environment au kama ni mchanganyiko kuna ushahidi na unatikiwa urudi nyuma vipi.

Kwanini swala hilo ni muhimu na tata? ingawa kuna ushahidi wa kihistoria kuweko na makutano ya kati ya weusi na watu wa middle east and even from further lands. Lakini historia hii ni ya settlers ambayo inarudi 10,000 years only. Na kwakuwa hawa aborigines or native of papua new guinea bado walikutwa as foragers ina maana hawakuwahi kukutana na civilization wala settlements hivyo hawakuwa na awareness of new skills of living therefore there is no clear justification of their race nor origin (kama waliwahi kukutana na race nyingie au vipi) sana sana the scientific justification is still much speculative on migration theories again ni kwa mtu mwenye interest kufuatilia arguments zilizopo, sio mimi maana kuna mambo ya carbon dates etc to do with kuweka mambo sawa huko kutokana na mafuvu na tools wanazoziokota na kujaribu kuangalia zilitumika vipi na pengine kwa ufahamu upi kulinganisha na ushahidi wa sehemu zingine duniani etc, ili waje na majibu ya kisayansi au yenye walau evidence or justification to build a theory. Lakini hakuna kudhania this is what might have happened without facts, hili uchapishwe au hata utoe mwongozo sana sana zinakuwa ni hadithi tu.
 
suala la "detech of land and move" haliniingii akilini kabisa kitu ninachowe kuamini ni kwamba mf.tanganyika zanzibar na pemba ilikuwa may be kipande kimoja kwa karne na karne bahari ilitafuna ardhi hasa sehemu zenye weak land profile nikimaanisha "zisizokuwa na miamba migumu ya asili" au volcanic rocks,hivyo kufanikisha mtengano huu unaoonekana kwa sasa ktk dunia yetu
 
Hii thread inanipa ufahamu fulani wa Geograph coz niliidump nikiwa o level niliona maana masomo mengine ya science.
 
Mimi ndie nianze kuuliza iweje mjadala umeanza na premise ambazo tofauti na ufahamu wa dunia uliotokana na majarida mbali mbali, science documentaries and field understanding kuhusu hayo mambo, halafu udai mimi ndio nataka vitu vyangu.
Jibu nimeshakupa kabla kwamba, wakati wewe una-stuck to every written material binafsi siachi kuhoji. Ile tu wataalamu kusema kwamba there's no evidence of this or that, moja kwa moja inaonesha the topic under discussion is still researchable topic…haijakamilika au kujitosheleza.
Again kuuliza si tatizo, tatizo ni pale unapoanza kutolea majibu ya maswali yako kwa mtazamo wako ambao ni kinyume na demand za dunia ya leo ambazo ni evidence based.
Sikurupuki na kujijibu; lazima niunganishe fact moja na nyingine na hatimae kutoa probable answer. Hata unapofanya research, ni lazima uwe na pa kuanzia. Kama nilianza kwa kusema, mathalani, kwamba inawezekana Antarctica population ili-move eastward to Australia kv Antarctica/Africa and Antarctica/Indian portion zilishaachana/detached, then ndipo inafuata actual research kufahamu kati ya Antarctica/Africa, Antarctica/India or Antarctica/Australia; ni portion part ipi ilikuwa detached first and ipi ilikuwa last! Lakini kwa mara nyingine, nakukumbusha uwe na angalau basi uwezo wa kutofautisha kati ya jibu na maoni, kati ya facts and hypothesis. Ikiwa jambo dogo kama hili unashindwa kulielewa; then hutakaa ukanielewa!
Umeona unavyojichanganya mwenyewe! Kwanza lazima ufahamu maandiko yote kuhusu hizi jamii tunazozungumzia hakuna andiko linalo-conclude na kusema kwamba "these guys are 100% from place X" thus limiting the room for more discussion. Ukiangalia kwenye hoja yako hapo juu, ni full of PROBABLY! Hii "na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east", inatoka wapi wakati unajinadi na vitu researchable? kwanini usije na researched facts ili uondoe hiyo inawezekana? Hii nayo "inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome" inatoka wapi? Kwanini usije na researched facts ili usiweke hiyo inasemekana?
Pia vilevile under Piankhy ambae utawala wake ulikuwa based on Ethiopia inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome.
Umerudi tena na mambo ya "inasemekana!
Na kuna watu wametumia mistari hiyo hiyo kujaribu ku-justify kama ndio hivyo
Hakuna mahali nilipofanya justification kwa kutumia mambo ya "inasemekana." Hoja zangu mara zote zimejikita kwenye kutumia FACTS za Plate Tectonic as well as human races in different blocks na kisha kutengeneza hypothesis.
who knows pengine mpaka muda wa alexander the great kulikuwa na black rule na pengine alexander the great alikuwa mtu mweusi.
Inasemekana tena again!
Kwa kuangalia the timeline ya dunia, hawa akina Muhammad ni wa juzi tu hapa, amekuja duniani wakati Aborigines wakiwa tayari in Australia. These are completely two different eras.
Kwanini swala hilo ni muhimu na tata? ingawa kuna ushahidi wa kihistoria kuweko na makutano ya kati ya weusi na watu wa middle east and even from further lands. Lakini historia hii ni ya settlers ambayo inarudi 10,000 years only.
Afadhali umejijibu mwenyewe…kwamba historia unayoisema wewe ni ya miaka 10K iliyopita wakati Aborigines wapo Australia for more than 40K years.
IKiwa unakiamini ulichokiandika basi ile tu kusema kwamba "no clear justification" tayari kunatoa room for discussion. Zinaweza kuwa ni scientific discussions or personal judgments discussions basing on available scientific facts.
sana sana the scientific justification is still much speculative on migration theories
Nahoji na nature or probable motivation of such migration.
Linapokuja suala la nani katokea wapi, hiki kimetokea lini, as far as far backdated world history is concerned, then "dhahania" lazima itatawala pamoja na kwamba kuna scientific research imefanyika! Lazima human mind itumike ku-conclude scientific data found. Nikiangalia document niliyopitia, kwenye evidence of Continental Drift, wanasema:
Example: Matching fossil records of reptiles have been found in Africa and South America>>Continents were so close to each other (or even joined) that animal life could easily travel to and from them. Yaani kupatikana kwa matching fossil of reptiles in Africa and South America; waka-conclude/hypothesize kwamba the two continents were so close (or even joined). Ni sawa sawa na kusema, ikiwa research itafanyika miaka 50K ijayo kwa kuangalia mabaki ya kahawa, kisha yakaonekana mikoa kadhaa ya Tanzania except Lindi na Mtwara, basi hapo waka-conclude Lindi na Mtwara hazikuwa sehemu ya Tanzania!! Kwavile tu fuvu la binadamu wa kale kabisa hadi sasa limegundulika Africa, ndio maana hao hao unaosema hakuna dhahania wanaweka possibility ya kwamba mwanadamu wa kwanza alitoka Afrika! But what if kuna the oldest fossils somewhere else lakini tu haijagundulika? Kwahiyo, hoja yako si kweli especially linapokuja suala zima la historia ya dunia!
 
Mambo mengine hayamezeki kabisa but for academic purposes, tunalazimika tu kwenda nayo hivyo hivyo!
 
Hii thread inanipa ufahamu fulani wa Geograph coz niliidump nikiwa o level niliona maana masomo mengine ya science.
Kumbe tupo wengi!!! Niliachana na Geography baada ya kukutana na mwalimu mbovu kliko wote kwenye physical geography form iii!
 
Unatakiwa useme aijajitosheleza kwanini amna ambacho wewe unachoandika na wegine hakija wa concern na kukitolea ufafanuzi kwa namna zinazokubalika, na watu wanatumia yardstick hivyo vitu kufanyia research au kuboresha research kwa sababu zimetokana na factual finding or scientific proofs, namna moja ambayo siyo mbinu sahihi ya kushawishi ni kujibunia kama unavyotaka fanya. Usidhani watu wanajianzia tu wanapo toa estimatations ya Pangea ilitokea muda gani roughly na lilichukua muda gani, kuna some cracks happening right now as we speak and people are studying them not just to learn about them but also to verify existing hypotheses, kuna sehemu wahusika wanaziba cracks mara kwa mara. Kwa hivyo pia wakisema kulikuwa hakuna life at the time as we know it maana mpaka sasa hakuna evidence ambayo imepatikana to suggest that, mbona kuna vitu ambavyo vina date zamani kushinda hapo na vinatajwa kama hawataji ni kwa sababu hakuna ushahidi.

Hivi unaniuliza uwezo wangu mimi wakati kuanzia mwanzo nimekwambia hivi vitu vinataka facts na unasisitiza wewe una amini tofauti na sayansi ilipofikia kiufahamu kuhusu haya maswala halafu unataka nikuelewe kwa sababu unahisi sijui unadadisi vitu ambavyo havina ushahidi wowote.

Hakuna aliekuwepo hapo leo kwa hivyo watu wanaangalia main events of the era na kujaribu kuvitolea ufafanuzi or make some sense how can one be precise on documenting historical life, note sio natural events.

Hakuna mahali nilipofanya justification kwa kutumia mambo ya "inasemekana." Hoja zangu mara zote zimejikita kwenye kutumia FACTS za Plate Tectonic as well as human races in different blocks na kisha kutengeneza hypothesis.
Inasemekana tena again!
Kwa hivyo una-fuvu la binadamu ambalo umelifanyia carbon date na kuwa na uhakika kulikuwa na watu kipindi hicho mpaka ulazimishe hoja yako, nikikwambia unajianzia utaki.

Afadhali umejijibu mwenyewe…kwamba historia unayoisema wewe ni ya miaka 10K iliyopita wakati Aborigines wapo Australia for more than 40K years.
Sababu walizotumia kuhitimisha hivyo ndio sababu hizo hizo wanazotumia kusema kwamba kulikuwa hakuna human race as we know it wakati dunia inajigawa, kwa sababu hakuna ushahidi uliopatikana mpaka sasa wa fuvu lolote mahala popote on planet earth linalorudi nyuma mpaka huko.

wana back-up evidence ya early human life traces kuwa afrika, and yes ukiweza toa ushahidi kuna sehemu nyengine na kuna ushahidi ambao unarudi nyuma zaidi perception will change, wenzako walikuwa na michoro sasa wanafind missing links be it in the form of stoned skeletons to even further their evolution theory, one thing for certain facts have to verified.
 
Mi nadhani tunajaza server bila sababu....ningekushauri changia mada, hata kwa kuangalia post za watu wengine badala ya mwanzo hadi mwisho kujikita kujibu post za mtu mmoja; otherwise, endelea kuwa msomaji na kv wakati unaanza kuchangia ulidai uliingia Jukwa la Jamii Intelligence ili kupumzika porojo za kwenye Jukwaa la Siasa badala yake ulipofika huku ukakutana na post za Kidarasa la saba; sasa nadhani the best way ni kufuata hizo option mbili hapo juu au kutafuta thread inayo-suit your need....otherwise ni kama tunaendelea kujaza server for nothing coz' tangu uanze kuhubiri masuala la scientific findings bado hujaweka hata moja zaidi tu ya kuishia kusema kuna scientific findings zinazo-prove/justify this or that you never put them down.
 
Advice taken maana kama unaambiwa wenzako wanatumia mafuvu au hata tools found hili kujaribu kuleta ushahidi au unadhani indiana jones na hizi excavation ambazo wazungu wanafanya ni kwa sababu ya kutupa hela tu bure. OK endeleeni, so dunia ikatawanyika pengine wahindi na mchanganyiko wa bantu wakatoa aborigines........ niliwakuta hapo.

me out as you suggested nisiwatoe kwenye uhalisia wa mambo bure.
 
since no body has proven why lumanyisa is black and Ian Jones is white chochote kiandikwacho ni dhanio tu.ila dhana hizo huweza kupelekea kupatikana kwa ukweli

kusema wa aborigine wana asili ya tanzania kwa dhana ya nchi yao ilimeguka toka tanzania ni uongo.separation happened around 150 something million years BC na tunafahamu binadamu wa kale zaidi aliishi lini.ni jambo ambalo linaupingo wa wazi kabisa since there is no correlation in numbers.

dhana inayoweza kusemwa pengine ni kuwa single family from east africa went there.watu watauliza juu ya usafiri jibu linaweza kuwa wakat huo bahari haikuwa deep kama leo.kwanini natoa jibu hilo kuna simba na vifaru plus wanyama wengine wote kwenye sehemu hiyo hivyo yawezekana walitembea tu kufika eneo hilo.dhana hii ninaweza kuitetea popote pale ila ya hapo juu inakinzana kweeye miaka hivyo haionyeshi uhalisia
 
Last edited by a moderator:

Kituko,kuna nchi inaitwa papua new guinea ambayo ipo very close to australia ina black people 99.9%,hiyo nchi nayo unaizungumziaje je imemegeka kutoka east africa?
 
Kituko,kuna nchi inaitwa papua new guinea ambayo ipo very close to australia ina black people 99.9%,hiyo nchi nayo unaizungumziaje je imemegeka kutoka east africa?

Kaka Transkei kama umenisoma kutokea mwanzo, mimi siamini kwamba hao watu weusi walioko Australia, Papua New Guinea, Indonesia, Malaysia, Sri lanka, India kuwa walifika huko kwa sababu ya plate tectonics au Continental drifts, hiyo ya kumeguka kwa dunia ilifanyika kabla ya uwepo wa Binadamu

unlike blacks Walioko sehemu zingine (cuBa, america, brazil) kwa minajili ya utumwa, hao niliowataja na uliowatja wewe, walifka huko as part of human migration
 
Last edited by a moderator:

i second u mkuu!! umeprovide good explanations!!
 

Hapo kwenye akili Nina hoja ndugu, tutumie kigezo gani kutambua ? Maana wasemao wayahudi wa na akili sana kigezo ni idadi ya noble prizes nyingi kwenye nyanja mbali mbali... Sasa kunihamishia kwa wachina MTU kama Mimi ambaye nikiangalia nishani za noble nashawishika kuwakubali hawa jamaa inabidi unripe kigezo mbadala cha kuwahalakisha wa China ...
 

Mkuu unafahamu mchakato wa kumpata Nobel Laureate? Laureates wanachaguliwa na kamati mbali mbali za watu wachache kama Royal Swedish Academy of Science,Nobel Assembly of Karolinska Institute,Swedish Academy na Norwegian Nobel Committee

Kamati hizi zinakuwaga na agenda mbali mbali kisiasa na kiuchumi.Kamati hizi zina favour sera za kimagharibi.Mfano hapa juzi wamemnyima Putin Nobel Peace Prize kuzuia vita ya Syria kutokana na pressure kutoka Marekani

Sasa tukirudi kweny swala la wayahudi kupata nobel prizes nyingi, wanapewa nyingi kutokana na guilt amabayo western world inayo ya kutozuia Holocust ya WW2.Na haishii kweny zawadi tu hata katika jamii ya marekani wayahudi wanapaishwa sana kuwapoza

Sisemi kwamba hao wayahudi waliopata nobel prize hawajafanya kitu ila naamini katika uchaguzi wa zile kamati wamekuwa favoured kutokana na reason niliyoiandika hapo juu

Pia kupata nobel prize sio kipimo cha akili ila ni kipimo cha achievement.Hizi ni dhana mbili tofauti,akili sio achievement

IQ test ndo kipimo sahihi cha akili na China ndo inaongoza duniani kuwa na high scores henceforth akili nyingi
 

Kwako kipimo cha akili ni IQ score na sio uvumbuzi ? Labda hapo tutatofautia Mimi naamini kwa wale wenye creative thinking ambo huvumbua vitu Hata kama IQ score iko low Mimi Huyo ndiye mwenye akili.
Kuhusu noble prizes siwezi sema zaidi sababu nimeona prizes nyanja mbalimbali za sayansi kama kwenye sayansi kamati ya noble inafanya upendeleo hilo kichwa changu kinakukatalia, MTU atafiti kuhusu fizikia atoe kitu chanye mashiko akipewe noble prize kamati ya noble prizes iwe imependelea ???!!!!
China vs Jews IQ's kwangu sio issue, issue kwangu ni vitokanavyo na akili ya mhusika. Hata ukiwa na IQ ya kujaza pipa kama kwenye IQ ya kujaza chupa ya soda kavumbua kitu ambacho wewe mwenye IQ ya kujaza pipa hukuweza , kwangu mvumbuzi ndiye mwenye akili sana
 
Nkwesa Makambo
Kwako kipimo cha akili ni IQ score na sio uvumbuzi ? Labda hapo tutatofautia Mimi naamini kwa wale wenye creative thinking ambo huvumbua vitu Hata kama IQ score iko low Mimi Huyo ndiye mwenye akili

Mkuu huo ni msimamo wako na sijakataa lakini ukizama ndani kwenye the true meaning of intelligence IQ ndo kipimo sahihi cha akili. Uvumbuzi sio wote ni waakili mkuu.kuna wanasayanzi waligundu vitu kwa bahati mfano ni Louis Pasteur kugundua chirality of identical molecules au Thomas Edison na uvumbuzi wa bulb


Mkuu hapa hukunielewa. Sikusema hao wayahudi waliopata nobel prizes hawajafanya kitu ila wakati hizo kamati zinachagua kunakuwa na list ya wana sayansi myahudi anakuwa na chance kubwa zaidi kuchaguliwa kutokana na historia yake ngumu


Mkuu Jews wamegundua vitu zaidi kuliko wachina?!! Inawezekana unaangalia sana western media.Wachina wameanza kugundua vitu toka zamani kuanzia Gun Powder, Silk(wakati huo China pekee duniani ndo ilikuwa na uwezo wa kutengeneza silk) na mengine cheki link hapo chini
List of Chinese discoveries - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu umechanganya matukio sana. Theory ya Pangae (pangea?) na kumeguka kwa tectonic plates inasema kwamba hiki kitu kilitokea kitambo sana kabla bin Adam hajaweka mguu kunako Dunia. Kwa hyo inawezekana walitokea East Africa lakini sio katika mtindo unaofikiri wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…