Je, wa-aborigine wa Australia wana asili ya Tanzania? Ni wazaramo, wasambaa au wamakonde?

Je, wa-aborigine wa Australia wana asili ya Tanzania? Ni wazaramo, wasambaa au wamakonde?

hii mada nzuri naona inakosa wachangiaji.
Mkuu Sizinga, nyie wataalamu au nyie wenye ABC wa hii makitu tupeni mambo basi manake wengine tunasukumwa na personal judgments.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi sio mgeni kwenye hizo tectonic forces na continental drift-tumezisoma sana, ni theories za watu tu kuweka science ikubalike, ofcoz kuna lots of other forces inside the oceans ans well as beneath OUR earth, my point ni kwamba Je hizo forces ni kweli ziliitenganisha ulimwengu na mabara yake??? Au ni just assumptions tu kwamba uwepo wa hizi forces majabari yamegongana some millions years ago basi zikatokea africa, shelisheli, aasia nk>!!

hii mada nzuri naona inakosa wachangiaji.

Mkuu uwepo wa other species in different positions doesnt mean the existence of tectonic forces...mfano mdogo tu kuna wanyama ambao wanapatikana Australia tu dunia nzima...Kangaroo found only in Australia, how do u say on ur theory of continental detachment ?

Kaka Sinzinga, nadhani hukunielewa nilichosema, au nilikielezea vibaya, actually nilikuwa namaanisha fossils, mabaki ya viumbe vilivyokuwa preserved kwa njia moja ama nyingine, so point iikuwa ni hivi, kama kuna viumbe vinajulikana ni viumbe wa majini tu, say samaki kisha unapanda juu ya mlima mrefu sana 7500m above sea level, na unayakuta mabaki ya wale samaki kule, swali lazima ujiulize hawa wamefikaje kule? kule hakuna maji wala hakuna bahari wale samaki waliwezaje kufika kule, hiyo ni just evidenve moja, lakini kuna pia paleoclimate evidence ect

kaka hii kitu ni real, nakupa mfano mmoja tu, wakati wanatafuta mafuta Tanzania/Zanzibar miaka ya 1950s, kule pemba walistace mabaki ya mto mkubwa sana, mabaki hayo ya mto yalikuwa covered na recently materials na walifanikiwa kuona wakati wanachimba visima vyao vya majaribio, yaani walikuwa wanapata evidence za mto mkubwa unaicross pemba kwenda baharini, lakini ukiangalia sasa Pemba hakuna mto, na leter on ilikuja kundulika ule ulikuwa ni mto Pangani, kwa maana Pemba ilitoka/detached along Tanga Coast Pangani Area.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaona tofauti ya msingi kati yangu na yako. For you, this item is there because it's meant to be there wakati mimi nitauliza ama kujiuliza why it's there! YES, kuna black stuffs in Oceania but I'll still ask myself why they're there! I'll always ask myself why does this exist this way instead of that way…
Mimi ndie nianze kuuliza iweje mjadala umeanza na premise ambazo tofauti na ufahamu wa dunia uliotokana na majarida mbali mbali, science documentaries and field understanding kuhusu hayo mambo, halafu udai mimi ndio nataka vitu vyangu. In other words my understanding derives from people who have worked so hard to uncover the mysteries be it the answers are not certain but foundation has been built, sasa wewe unaekuja na assumption ambazo ni totally guess work katika kutaka kujua kwako ndio unatatizo wakati kuna ufahamu wa kuanzia kisayansi.

Myself, lazima nijiulize coz' I know kuna certain domination of particular race in a given land mass. When we talk of Africa, especially south, it's dominated by BLACK…PURE BLACK! Nitakapoona kuna some stuffs of Black somewhere else, nitajiuliza, why and how did it happen! Northern Part of Africa ipo dominated by Arabs…hapa lazima nitajiuliza…Arabs are predominantly in Middle East, why these guys are in Africa!! Ukienda Europe, utakutana na Wazungu. Unapoona Wazungu South Africa lazima mtu ujiulize WHY and HOW! Ukienda South Asia unakutana na Indian, so, mtu utakapokuta impure Indian specie somewhere else lazima ujiulize imefikaje fikaje hapo! Ukienda East and Far East Asia unakutana na Chinese stuffs wakati South East Asia unakutana na Impure Chinese species. I'll ask myself WHY these guys look like Chinese but are some miles behind to be the same as Chinese!!
Again kuuliza si tatizo, tatizo ni pale unapoanza kutolea majibu ya maswali yako kwa mtazamo wako ambao ni kinyume na demand za dunia ya leo ambazo ni evidence based.

Sasa, tukirudi kwenye hoja yako ya watu wa Oceania…ni kweli ni black, hapa napo lazima nitajiuliza, pure blacks are in Africa, where does this breed found in Oceania come from?! Na hata ukii-study hii breed, many studies zinawa-refer as Polynesians…originating from South Asia. But pure breed ya South Asia sio black, so why these guys are black skinned?
Ndipo hapo umuhimu wa research unapoanzia, kuna maandishi mengi sana ambayo scholars wa african history wamegusia kuanzia upotoshaji wa asili za ma-pharaohs na ukubwa wa empire zao. Tukirudi kwenye swala hilo hilo kabla ya mungu tunavyomjua leo ancient Egyptians ndio walikuwa watu wa kwanza kugusia mungu wa mbinguni ambae walimwita Ra (ushahidi ni decoded egyptian hierography na muda ulioandikwa) na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east kwa maana hiyo kulikuwa na watu weusi pia mitaa hiyo what is not clear is how far exactly they went and what impact they have left pengine ndio chanzo cha wahindi weusi.

Pia vilevile under Piankhy ambae utawala wake ulikuwa based on Ethiopia inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome. Na kuna watu wametumia mistari hiyo hiyo kujaribu ku-justify kama ndio hivyo who knows pengine mpaka muda wa alexander the great kulikuwa na black rule na pengine alexander the great alikuwa mtu mweusi. Hizo zote ni historical speculations lakini zimejikita na ukweli wa mazingira ya muda huo, na mpaka Mohammad anaandikwa bado afrika was the place to trade hivyo waafrika nao aijulikani walisogea mpaka wapi, ni jukumu la mwenye interest kuchunguza lakini maandishi yapo mengi kuhusu wapi pa kuanzia.

Hivi punde nimepitia document moja talking of Plate of Tectonic. Ukiangalia conclusion zao ni kama once upon the time, India ama ilikuwa very close to Africa or even attached to it. Kwahiyo, hapo kwanza, tunaona possibility ya kuchanganyika jamii mbili wakati tukiendelea kutafiti ikiwa the time plate tectonic ikitokea; je kulikuwa na human life? Kama ilikuwapo, basi hiyo ni first possibility ya mixture of black and Indian species. Let's call it POSSIBILITY X.
Uitaji kurudi nyuma hivyo kujua ni lini wahindi na weusi walikutana maana kuna maandishi ya kutosha ambayo yana ambatanisha kukutana kwao, uwepo wao as early as during the beggining of ancient egyptian history and before, for that matter. Swala hapa hao watu wa huko unapodai wana umakonde ni race yao tu kama race nyingine ambazo zimetokana na impact ya environment au kama ni mchanganyiko kuna ushahidi na unatikiwa urudi nyuma vipi.

Kwanini swala hilo ni muhimu na tata? ingawa kuna ushahidi wa kihistoria kuweko na makutano ya kati ya weusi na watu wa middle east and even from further lands. Lakini historia hii ni ya settlers ambayo inarudi 10,000 years only. Na kwakuwa hawa aborigines or native of papua new guinea bado walikutwa as foragers ina maana hawakuwahi kukutana na civilization wala settlements hivyo hawakuwa na awareness of new skills of living therefore there is no clear justification of their race nor origin (kama waliwahi kukutana na race nyingie au vipi) sana sana the scientific justification is still much speculative on migration theories again ni kwa mtu mwenye interest kufuatilia arguments zilizopo, sio mimi maana kuna mambo ya carbon dates etc to do with kuweka mambo sawa huko kutokana na mafuvu na tools wanazoziokota na kujaribu kuangalia zilitumika vipi na pengine kwa ufahamu upi kulinganisha na ushahidi wa sehemu zingine duniani etc, ili waje na majibu ya kisayansi au yenye walau evidence or justification to build a theory. Lakini hakuna kudhania this is what might have happened without facts, hili uchapishwe au hata utoe mwongozo sana sana zinakuwa ni hadithi tu.
 
suala la "detech of land and move" haliniingii akilini kabisa kitu ninachowe kuamini ni kwamba mf.tanganyika zanzibar na pemba ilikuwa may be kipande kimoja kwa karne na karne bahari ilitafuna ardhi hasa sehemu zenye weak land profile nikimaanisha "zisizokuwa na miamba migumu ya asili" au volcanic rocks,hivyo kufanikisha mtengano huu unaoonekana kwa sasa ktk dunia yetu
 
Hii thread inanipa ufahamu fulani wa Geograph coz niliidump nikiwa o level niliona maana masomo mengine ya science.
 
Mimi ndie nianze kuuliza iweje mjadala umeanza na premise ambazo tofauti na ufahamu wa dunia uliotokana na majarida mbali mbali, science documentaries and field understanding kuhusu hayo mambo, halafu udai mimi ndio nataka vitu vyangu.
Jibu nimeshakupa kabla kwamba, wakati wewe una-stuck to every written material binafsi siachi kuhoji. Ile tu wataalamu kusema kwamba there's no evidence of this or that, moja kwa moja inaonesha the topic under discussion is still researchable topic…haijakamilika au kujitosheleza.
Again kuuliza si tatizo, tatizo ni pale unapoanza kutolea majibu ya maswali yako kwa mtazamo wako ambao ni kinyume na demand za dunia ya leo ambazo ni evidence based.
Sikurupuki na kujijibu; lazima niunganishe fact moja na nyingine na hatimae kutoa probable answer. Hata unapofanya research, ni lazima uwe na pa kuanzia. Kama nilianza kwa kusema, mathalani, kwamba inawezekana Antarctica population ili-move eastward to Australia kv Antarctica/Africa and Antarctica/Indian portion zilishaachana/detached, then ndipo inafuata actual research kufahamu kati ya Antarctica/Africa, Antarctica/India or Antarctica/Australia; ni portion part ipi ilikuwa detached first and ipi ilikuwa last! Lakini kwa mara nyingine, nakukumbusha uwe na angalau basi uwezo wa kutofautisha kati ya jibu na maoni, kati ya facts and hypothesis. Ikiwa jambo dogo kama hili unashindwa kulielewa; then hutakaa ukanielewa!
hapo umuhimu wa research unapoanzia,…na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east kwa maana hiyo kulikuwa na watu weusi pia mitaa hiyo what is not clear is how far exactly they went and what impact they have left pengine ndio chanzo cha wahindi weusi.
Umeona unavyojichanganya mwenyewe! Kwanza lazima ufahamu maandiko yote kuhusu hizi jamii tunazozungumzia hakuna andiko linalo-conclude na kusema kwamba "these guys are 100% from place X" thus limiting the room for more discussion. Ukiangalia kwenye hoja yako hapo juu, ni full of PROBABLY! Hii "na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east", inatoka wapi wakati unajinadi na vitu researchable? kwanini usije na researched facts ili uondoe hiyo inawezekana? Hii nayo "inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome" inatoka wapi? Kwanini usije na researched facts ili usiweke hiyo inasemekana?
Pia vilevile under Piankhy ambae utawala wake ulikuwa based on Ethiopia inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome.
Umerudi tena na mambo ya "inasemekana!
Na kuna watu wametumia mistari hiyo hiyo kujaribu ku-justify kama ndio hivyo
Hakuna mahali nilipofanya justification kwa kutumia mambo ya "inasemekana." Hoja zangu mara zote zimejikita kwenye kutumia FACTS za Plate Tectonic as well as human races in different blocks na kisha kutengeneza hypothesis.
who knows pengine mpaka muda wa alexander the great kulikuwa na black rule na pengine alexander the great alikuwa mtu mweusi.
Inasemekana tena again!
Hizo zote ni historical speculations lakini zimejikita na ukweli wa mazingira ya muda huo, na mpaka Mohammad anaandikwa bado afrika was the place to trade hivyo waafrika nao aijulikani walisogea mpaka wapi, ni jukumu la mwenye interest kuchunguza lakini maandishi yapo mengi kuhusu wapi pa kuanzia.
Kwa kuangalia the timeline ya dunia, hawa akina Muhammad ni wa juzi tu hapa, amekuja duniani wakati Aborigines wakiwa tayari in Australia. These are completely two different eras.
Kwanini swala hilo ni muhimu na tata? ingawa kuna ushahidi wa kihistoria kuweko na makutano ya kati ya weusi na watu wa middle east and even from further lands. Lakini historia hii ni ya settlers ambayo inarudi 10,000 years only.
Afadhali umejijibu mwenyewe…kwamba historia unayoisema wewe ni ya miaka 10K iliyopita wakati Aborigines wapo Australia for more than 40K years.
Na kwakuwa hawa aborigines or native of papua new guinea bado walikutwa as foragers ina maana hawakuwahi kukutana na civilization wala settlements hivyo hawakuwa na awareness of new skills of living therefore there is no clear justification of their race nor origin(kama waliwahi kukutana na race nyingie au vipi)
IKiwa unakiamini ulichokiandika basi ile tu kusema kwamba "no clear justification" tayari kunatoa room for discussion. Zinaweza kuwa ni scientific discussions or personal judgments discussions basing on available scientific facts.
sana sana the scientific justification is still much speculative on migration theories
Nahoji na nature or probable motivation of such migration.
again ni kwa mtu mwenye interest kufuatilia arguments zilizopo, sio mimi maana kuna mambo ya carbon dates etc to do with kuweka mambo sawa huko kutokana na mafuvu na tools wanazoziokota na kujaribu kuangalia zilitumika vipi na pengine kwa ufahamu upi kulinganisha na ushahidi wa sehemu zingine duniani etc, ili waje na majibu ya kisayansi au yenye walau evidence or justification to build a theory. Lakini hakuna kudhania this is what might have happened without facts, hili uchapishwe au hata utoe mwongozo sana sana zinakuwa ni hadithi tu.
Linapokuja suala la nani katokea wapi, hiki kimetokea lini, as far as far backdated world history is concerned, then "dhahania" lazima itatawala pamoja na kwamba kuna scientific research imefanyika! Lazima human mind itumike ku-conclude scientific data found. Nikiangalia document niliyopitia, kwenye evidence of Continental Drift, wanasema:
Example: Matching fossil records of reptiles have been found in Africa and South America>>Continents were so close to each other (or even joined) that animal life could easily travel to and from them. Yaani kupatikana kwa matching fossil of reptiles in Africa and South America; waka-conclude/hypothesize kwamba the two continents were so close (or even joined). Ni sawa sawa na kusema, ikiwa research itafanyika miaka 50K ijayo kwa kuangalia mabaki ya kahawa, kisha yakaonekana mikoa kadhaa ya Tanzania except Lindi na Mtwara, basi hapo waka-conclude Lindi na Mtwara hazikuwa sehemu ya Tanzania!! Kwavile tu fuvu la binadamu wa kale kabisa hadi sasa limegundulika Africa, ndio maana hao hao unaosema hakuna dhahania wanaweka possibility ya kwamba mwanadamu wa kwanza alitoka Afrika! But what if kuna the oldest fossils somewhere else lakini tu haijagundulika? Kwahiyo, hoja yako si kweli especially linapokuja suala zima la historia ya dunia!
 
suala la "detech of land and move" haliniingii akilini kabisa kitu ninachowe kuamini ni kwamba mf.tanganyika zanzibar na pemba ilikuwa may be kipande kimoja kwa karne na karne bahari ilitafuna ardhi hasa sehemu zenye weak land profile nikimaanisha "zisizokuwa na miamba migumu ya asili" au volcanic rocks,hivyo kufanikisha mtengano huu unaoonekana kwa sasa ktk dunia yetu
Mambo mengine hayamezeki kabisa but for academic purposes, tunalazimika tu kwenda nayo hivyo hivyo!
 
Hii thread inanipa ufahamu fulani wa Geograph coz niliidump nikiwa o level niliona maana masomo mengine ya science.
Kumbe tupo wengi!!! Niliachana na Geography baada ya kukutana na mwalimu mbovu kliko wote kwenye physical geography form iii!
 
Jibu nimeshakupa kabla kwamba, wakati wewe una-stuck to every written material binafsi siachi kuhoji. Ile tu wataalamu kusema kwamba there's no evidence of this or that, moja kwa moja inaonesha the topic under discussion is still researchable topic…haijakamilika au kujitosheleza.
Unatakiwa useme aijajitosheleza kwanini amna ambacho wewe unachoandika na wegine hakija wa concern na kukitolea ufafanuzi kwa namna zinazokubalika, na watu wanatumia yardstick hivyo vitu kufanyia research au kuboresha research kwa sababu zimetokana na factual finding or scientific proofs, namna moja ambayo siyo mbinu sahihi ya kushawishi ni kujibunia kama unavyotaka fanya. Usidhani watu wanajianzia tu wanapo toa estimatations ya Pangea ilitokea muda gani roughly na lilichukua muda gani, kuna some cracks happening right now as we speak and people are studying them not just to learn about them but also to verify existing hypotheses, kuna sehemu wahusika wanaziba cracks mara kwa mara. Kwa hivyo pia wakisema kulikuwa hakuna life at the time as we know it maana mpaka sasa hakuna evidence ambayo imepatikana to suggest that, mbona kuna vitu ambavyo vina date zamani kushinda hapo na vinatajwa kama hawataji ni kwa sababu hakuna ushahidi.

Sikurupuki na kujijibu; lazima niunganishe fact moja na nyingine na hatimae kutoa probable answer. Hata unapofanya research, ni lazima uwe na pa kuanzia. Kama nilianza kwa kusema, mathalani, kwamba inawezekana Antarctica population ili-move eastward to Australia kv Antarctica/Africa and Antarctica/Indian portion zilishaachana/detached, then ndipo inafuata actual research kufahamu kati ya Antarctica/Africa, Antarctica/India or Antarctica/Australia; ni portion part ipi ilikuwa detached first and ipi ilikuwa last! Lakini kwa mara nyingine, nakukumbusha uwe na angalau basi uwezo wa kutofautisha kati ya jibu na maoni, kati ya facts and hypothesis. Ikiwa jambo dogo kama hili unashindwa kulielewa; then hutakaa ukanielewa!
Hivi unaniuliza uwezo wangu mimi wakati kuanzia mwanzo nimekwambia hivi vitu vinataka facts na unasisitiza wewe una amini tofauti na sayansi ilipofikia kiufahamu kuhusu haya maswala halafu unataka nikuelewe kwa sababu unahisi sijui unadadisi vitu ambavyo havina ushahidi wowote.

Umeona unavyojichanganya mwenyewe! Kwanza lazima ufahamu maandiko yote kuhusu hizi jamii tunazozungumzia hakuna andiko linalo-conclude na kusema kwamba "these guys are 100% from place X" thus limiting the room for more discussion. Ukiangalia kwenye hoja yako hapo juu, ni full of PROBABLY! Hii "na inasemekana kipindi hicho empire ili-stretch as far as to some part of middle east", inatoka wapi wakati unajinadi na vitu researchable? kwanini usije na researched facts ili uondoe hiyo inawezekana? Hii nayo "inasemekana jamaa alikuwa ana empire ambayo ina stretch as far as Rome" inatoka wapi? Kwanini usije na researched facts ili usiweke hiyo inasemekana?
Umerudi tena na mambo ya "inasemekana!
Hakuna aliekuwepo hapo leo kwa hivyo watu wanaangalia main events of the era na kujaribu kuvitolea ufafanuzi or make some sense how can one be precise on documenting historical life, note sio natural events.

Hakuna mahali nilipofanya justification kwa kutumia mambo ya "inasemekana." Hoja zangu mara zote zimejikita kwenye kutumia FACTS za Plate Tectonic as well as human races in different blocks na kisha kutengeneza hypothesis.
Inasemekana tena again!
Kwa hivyo una-fuvu la binadamu ambalo umelifanyia carbon date na kuwa na uhakika kulikuwa na watu kipindi hicho mpaka ulazimishe hoja yako, nikikwambia unajianzia utaki.

Afadhali umejijibu mwenyewe…kwamba historia unayoisema wewe ni ya miaka 10K iliyopita wakati Aborigines wapo Australia for more than 40K years.
Sababu walizotumia kuhitimisha hivyo ndio sababu hizo hizo wanazotumia kusema kwamba kulikuwa hakuna human race as we know it wakati dunia inajigawa, kwa sababu hakuna ushahidi uliopatikana mpaka sasa wa fuvu lolote mahala popote on planet earth linalorudi nyuma mpaka huko.

ndio maana hao hao unaosema hakuna dhahania wanaweka possibility ya kwamba mwanadamu wa kwanza alitoka Afrika! But what if kuna the oldest fossils somewhere else lakini tu haijagundulika? Kwahiyo, hoja yako si kweli especially linapokuja suala zima la historia ya dunia!
wana back-up evidence ya early human life traces kuwa afrika, and yes ukiweza toa ushahidi kuna sehemu nyengine na kuna ushahidi ambao unarudi nyuma zaidi perception will change, wenzako walikuwa na michoro sasa wanafind missing links be it in the form of stoned skeletons to even further their evolution theory, one thing for certain facts have to verified.
 
Unatakiwa useme aijajitosheleza kwanini amna ambacho wewe unachoandika na wegine hakija wa concern na kukitolea ufafanuzi kwa namna zinazokubalika, na watu wanatumia yardstick hivyo vitu kufanyia research au kuboresha research kwa sababu zimetokana na factual finding or scientific proofs, namna moja ambayo siyo mbinu sahihi ya kushawishi ni kujibunia kama unavyotaka fanya.
Mi nadhani tunajaza server bila sababu....ningekushauri changia mada, hata kwa kuangalia post za watu wengine badala ya mwanzo hadi mwisho kujikita kujibu post za mtu mmoja; otherwise, endelea kuwa msomaji na kv wakati unaanza kuchangia ulidai uliingia Jukwa la Jamii Intelligence ili kupumzika porojo za kwenye Jukwaa la Siasa badala yake ulipofika huku ukakutana na post za Kidarasa la saba; sasa nadhani the best way ni kufuata hizo option mbili hapo juu au kutafuta thread inayo-suit your need....otherwise ni kama tunaendelea kujaza server for nothing coz' tangu uanze kuhubiri masuala la scientific findings bado hujaweka hata moja zaidi tu ya kuishia kusema kuna scientific findings zinazo-prove/justify this or that you never put them down.
 
Advice taken maana kama unaambiwa wenzako wanatumia mafuvu au hata tools found hili kujaribu kuleta ushahidi au unadhani indiana jones na hizi excavation ambazo wazungu wanafanya ni kwa sababu ya kutupa hela tu bure. OK endeleeni, so dunia ikatawanyika pengine wahindi na mchanganyiko wa bantu wakatoa aborigines........ niliwakuta hapo.

me out as you suggested nisiwatoe kwenye uhalisia wa mambo bure.
 
since no body has proven why lumanyisa is black and Ian Jones is white chochote kiandikwacho ni dhanio tu.ila dhana hizo huweza kupelekea kupatikana kwa ukweli

kusema wa aborigine wana asili ya tanzania kwa dhana ya nchi yao ilimeguka toka tanzania ni uongo.separation happened around 150 something million years BC na tunafahamu binadamu wa kale zaidi aliishi lini.ni jambo ambalo linaupingo wa wazi kabisa since there is no correlation in numbers.

dhana inayoweza kusemwa pengine ni kuwa single family from east africa went there.watu watauliza juu ya usafiri jibu linaweza kuwa wakat huo bahari haikuwa deep kama leo.kwanini natoa jibu hilo kuna simba na vifaru plus wanyama wengine wote kwenye sehemu hiyo hivyo yawezekana walitembea tu kufika eneo hilo.dhana hii ninaweza kuitetea popote pale ila ya hapo juu inakinzana kweeye miaka hivyo haionyeshi uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Kilichokatika kutoka East Africa ni Madagascar ni tuvisiwa vidogovidogo vya Pemba ,Unguja shelisheli, Comoro ect, Australia inaweza kuwa ilikatika mbele ya Madagascar all in all likuwa upande wa East Africa pamoja na India

Hao Aborigines ndio wana Asili ya Africa lakini inasadikika ni Horn of Africa-Somalia,Ethiopia nk na walifika Australia kwa root ya kuzunguka kupitia root ya Arabuni, kisha India wakaacha trace kidogo kisha, thailand, Malaysia na kisha Indonesia ambano inasadikika kuwa kulikuwa na barafu iliyoinganisha Indonesia na Australia na wao walikuwa wanatembea na kuvuka tu

theory ziko nyingi

Kituko,kuna nchi inaitwa papua new guinea ambayo ipo very close to australia ina black people 99.9%,hiyo nchi nayo unaizungumziaje je imemegeka kutoka east africa?
 
Kituko,kuna nchi inaitwa papua new guinea ambayo ipo very close to australia ina black people 99.9%,hiyo nchi nayo unaizungumziaje je imemegeka kutoka east africa?

Kaka Transkei kama umenisoma kutokea mwanzo, mimi siamini kwamba hao watu weusi walioko Australia, Papua New Guinea, Indonesia, Malaysia, Sri lanka, India kuwa walifika huko kwa sababu ya plate tectonics au Continental drifts, hiyo ya kumeguka kwa dunia ilifanyika kabla ya uwepo wa Binadamu

unlike blacks Walioko sehemu zingine (cuBa, america, brazil) kwa minajili ya utumwa, hao niliowataja na uliowatja wewe, walifka huko as part of human migration
 
i second u mkuu!! umeprovide good explanations!!
 
Mkuu ulichoonge ni sahihi ila sio kwa asilimia zote

Mkuu,Plate tectonics au continental drift ili span millions of years.Sio kitu cha ghafla kama volcanic eruptions.Geography inasema hapo mwanzo kulikuwa na land mass iliyoitwa Pangea.Kutokana na tectonic plates land mass hiyo ilivunjika na kusambaa dunia na bado inaendlea kusambaa.Kwa sasa rate of continental drift ni 2.5centimetres per year

Kuna study ilifanyika ikagundua watu wote wa dunia nzima wana share a genetic trait na the people of East Africa.In actual sense we are the birthplace of mankind as we know it

Mkuu hapa unaongelea ancient hebrews ambao sio Jews.Hebrews and Jews ni vitu viwili tofauti.Hebrews were not caucasians yani hawakuwa wazungu,walikuwa dark skinned

Jews on the other hand wamegawanyika katika makundi mawili ambao ni Ashkenazi na Spheradic.Hao wayahudi(jews) ambao ni wazungu ni ashkenazi na ambao wenye asili ya uarabuni ni Spheradic

Ashkenazi jews hawana uhusiano wowote na ancient israelites/hebrews.Ni uongo uliokua ukisambazwa kwa muda mrefu kuwa hawa wazungu ni hebrews

Ashkenazi jews wametokana na taifa la kizungu lililokuwa katika katika ya Byzantine Empire(East Roman Empire) na Ottoman Turks.Taifa hilo liliitwa KHAZAR. Lili act kama buffer between these powerful empires.Na kuondoa shari ya kuchagua kati ya ukristo Byzantine na Uislam wa Ottoman wakachagua Judaism kam official religion of the state

Baada ya Byzantine ya Constantinople kuanguka kwa Ottomans Kingdom of KHAZAR ilitawanyika ndo tukawapata hawa wazungu wanaojiita wayahudi(ashkenazi).Hawa jamaa hawana uhusiano wowote na wagiriki

Pia madai ya kuwa wayahudi wanaakili sana ni uongo. Ni propaganda za kuwatisha waarabu.Statistics zinasema jamii yenye watu wenye akili nyingi ni China ikifuatiwa other asian states kama Japan na Korea.Kwa ulaya nchi inayoongoza ni Germany

Hapo kwenye akili Nina hoja ndugu, tutumie kigezo gani kutambua ? Maana wasemao wayahudi wa na akili sana kigezo ni idadi ya noble prizes nyingi kwenye nyanja mbali mbali... Sasa kunihamishia kwa wachina MTU kama Mimi ambaye nikiangalia nishani za noble nashawishika kuwakubali hawa jamaa inabidi unripe kigezo mbadala cha kuwahalakisha wa China ...
 
Mkuu unafahamu mchakato wa kumpata Nobel Laureate? Laureates wanachaguliwa na kamati mbali mbali za watu wachache kama Royal Swedish Academy of Science,Nobel Assembly of Karolinska Institute,Swedish Academy na Norwegian Nobel Committee

Kamati hizi zinakuwaga na agenda mbali mbali kisiasa na kiuchumi.Kamati hizi zina favour sera za kimagharibi.Mfano hapa juzi wamemnyima Putin Nobel Peace Prize kuzuia vita ya Syria kutokana na pressure kutoka Marekani

Sasa tukirudi kweny swala la wayahudi kupata nobel prizes nyingi, wanapewa nyingi kutokana na guilt amabayo western world inayo ya kutozuia Holocust ya WW2.Na haishii kweny zawadi tu hata katika jamii ya marekani wayahudi wanapaishwa sana kuwapoza

Sisemi kwamba hao wayahudi waliopata nobel prize hawajafanya kitu ila naamini katika uchaguzi wa zile kamati wamekuwa favoured kutokana na reason niliyoiandika hapo juu

Pia kupata nobel prize sio kipimo cha akili ila ni kipimo cha achievement.Hizi ni dhana mbili tofauti,akili sio achievement

IQ test ndo kipimo sahihi cha akili na China ndo inaongoza duniani kuwa na high scores henceforth akili nyingi
 
Kwako kipimo cha akili ni IQ score na sio uvumbuzi ? Labda hapo tutatofautia Mimi naamini kwa wale wenye creative thinking ambo huvumbua vitu Hata kama IQ score iko low Mimi Huyo ndiye mwenye akili.
Kuhusu noble prizes siwezi sema zaidi sababu nimeona prizes nyanja mbalimbali za sayansi kama kwenye sayansi kamati ya noble inafanya upendeleo hilo kichwa changu kinakukatalia, MTU atafiti kuhusu fizikia atoe kitu chanye mashiko akipewe noble prize kamati ya noble prizes iwe imependelea ???!!!!
China vs Jews IQ's kwangu sio issue, issue kwangu ni vitokanavyo na akili ya mhusika. Hata ukiwa na IQ ya kujaza pipa kama kwenye IQ ya kujaza chupa ya soda kavumbua kitu ambacho wewe mwenye IQ ya kujaza pipa hukuweza , kwangu mvumbuzi ndiye mwenye akili sana
 
Nkwesa Makambo
Kwako kipimo cha akili ni IQ score na sio uvumbuzi ? Labda hapo tutatofautia Mimi naamini kwa wale wenye creative thinking ambo huvumbua vitu Hata kama IQ score iko low Mimi Huyo ndiye mwenye akili

Mkuu huo ni msimamo wako na sijakataa lakini ukizama ndani kwenye the true meaning of intelligence IQ ndo kipimo sahihi cha akili. Uvumbuzi sio wote ni waakili mkuu.kuna wanasayanzi waligundu vitu kwa bahati mfano ni Louis Pasteur kugundua chirality of identical molecules au Thomas Edison na uvumbuzi wa bulb

Kuhusu noble prizes siwezi sema zaidi sababu nimeona prizes nyanja mbalimbali za sayansi kama kwenye sayansi kamati ya noble inafanya upendeleo hilo kichwa changu kinakukatalia, MTU atafiti kuhusu fizikia atoe kitu chanye mashiko akipewe noble prize kamati ya noble prizes iwe imependelea ???!!!!

Mkuu hapa hukunielewa. Sikusema hao wayahudi waliopata nobel prizes hawajafanya kitu ila wakati hizo kamati zinachagua kunakuwa na list ya wana sayansi myahudi anakuwa na chance kubwa zaidi kuchaguliwa kutokana na historia yake ngumu

China vs Jews IQ's kwangu sio issue, issue kwangu ni vitokanavyo na akili ya mhusika. Hata ukiwa na IQ ya kujaza pipa kama kwenye IQ ya kujaza chupa ya soda kavumbua kitu ambacho wewe mwenye IQ ya kujaza pipa hukuweza , kwangu mvumbuzi ndiye mwenye akili sana

Mkuu Jews wamegundua vitu zaidi kuliko wachina?!! Inawezekana unaangalia sana western media.Wachina wameanza kugundua vitu toka zamani kuanzia Gun Powder, Silk(wakati huo China pekee duniani ndo ilikuwa na uwezo wa kutengeneza silk) na mengine cheki link hapo chini
List of Chinese discoveries - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu umechanganya matukio sana. Theory ya Pangae (pangea?) na kumeguka kwa tectonic plates inasema kwamba hiki kitu kilitokea kitambo sana kabla bin Adam hajaweka mguu kunako Dunia. Kwa hyo inawezekana walitokea East Africa lakini sio katika mtindo unaofikiri wewe.
 
Back
Top Bottom