Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Dini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa mda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba ,kila nchi pale mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake.
Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui hata kidogo umoja wao ndiyo mafanikio yao.
HILI JAMBO HALIPO KIIMANI TUSIDANGANYANE.
hili suala siyo la kiimanj ni inshu ya uchumi na siasaDini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.
Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.
Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
Lakini Jordan na Iraq nao wanatungua makombora ya Iran yanayoelekezwa Israel, na hawataki Iran atumie anga lake kwa vita yake na Israel.Dini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.
Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.
Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
Mkuu jifunze geopolitics itakusaidia sana kufahamu masuala kama haya ya mashariki ya kati.Lakini Jordan na Iraq nao wanatungua makombora ya Iran yanayoelekezwa Israel, na hawataki Iran atumie anga lake kwa vita yake na Israel.
Makombora mengi tu ya Iran yamezuiwa na Iron dome na hayo yote yamepita kwenye nchi kadhaa mpaka kufika IsraelMkuu jifunze geopolitics itakusaidia sana kufahamu masuala kama haya ya mashariki ya kati.
Jordan na Iraq ni sehemu ya miundombinu ya kijeshi ya Marekani na UK hivyo Iran akabiliana na nguvu zingine za ziada zinoisadia Israel.
Ndo maana Iran ikamchukua muda sana kuanza kuinuka na kurusha makombora kwenda Haifa na miji mingine ndani ya Israel.
Yanoikumba Israel hutaweza kuyaona yote kwani Media za kimataifa zote zipo upande wa Israel.
Hivyo nikirudi kwenye point yako kuhusu kwamba hao hawataki Iran atumie anga zao ukweli ni kwamba isingekuwa nchi hizo kutumika na kuzuia makombora ya kutoka Iran kwenda Israel, basi leo hii sehemu kubwa ya Israel ingekuwa imebomolewa.
Sababu ya uwongo,mbona Iran kipindi cha mfalme shaha haikuwa Ivi? Useme tu hao waarabu na Irani wapo mikondo tofauti ya kisiasa kama south Korea na north KoreaDini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.
Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.
Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
Hivi ukiwa mfuasi wa mwamedi lazima uwe muongo?Mkuu jifunze geopolitics itakusaidia sana kufahamu masuala kama haya ya mashariki ya kati.