Nahis gender equality kama wangekua 50%___50%....au mwanaume akiwa na nguvu ni faulo AF mwanamke akiwa Nazowakagombee majimboni, na hao walioko majimboni waende wapi? majimbo yako machache, kwanza wabunge wa viti maalum ni wachache inafaa waongezwe, kila jimbo inafaa liwe na mbunge wa viti maalum idadi iwe sawa
Wanaume wa Kinyarwanda wengi wanatawaliwa na wake zao kwa msaada wa shuntama kama unabisha tafuta ndugu au marafiki zako waliooa Wanyarwanda uone jinsi wasivyokuwa na maamuzi kwenye mambo yao
Na iwapo mbunge wakuchaguliwa ni wa kike, hapo inakuwaje? au ndio wanakuwapo wanawake wabunge wawili?wakagombee majimboni, na hao walioko majimboni waende wapi? majimbo yako machache, kwanza wabunge wa viti maalum ni wachache inafaa waongezwe, kila jimbo inafaa liwe na mbunge wa viti maalum idadi iwe sawa
Hizo nafasi ni mzigo kwa taifa... wanatanua goli ili waweke watu wao kwa hasara ya wananchi!!Na ile kama ya Tulia, Kabudi, et al. yakuteuliwa na mkulu, inaitwaje? Ni viti maalum pia au ina jina tofauti? na je hizo nafasi tija/mantiki yake ikoje?
haya mabo ya gender equality si yamekuwa initoated na hao hao wazungu? kama sio wao hata viti maalumu visingekuwepo,japo havisaidiiPascal Mayalla,
Dawa ilikuwa ndani ya katiba ya Warioba. Ilikuwa haina viti maalum lakini ililazimisha uchaguzi wa wabunge wanawake na wanaume kwa lazima, kwa pamoja. Sitta aliyejidai kuwa ni samaki aliyerudi majini akajikuta hana muelekeo na Bunge lake. Aibu tupu!
Hata wakijaa Bungeni haisaidii kueleza gender equality maana vijijini bado wanawake wanahangaika. Bahati mbaya hili akina Pompeo hawalioni na badala yake wanahangaika na mambo ya mashoga,
Wanawake na wanaume ni kama wanalingana kwa idadi tu ni kama 51 kwa 49 tukiwaganywa kwa asilimia, kacheki takwimu za sensa uhakiki mwenyewe, na hata hivyo wanawake hawafuatilii sana na siasa hata wanaopiga kura wanakuwa wachache kuliko wanaumeJohnny Sack, unajua wanawake ndio wapiga kura wengi- hivi wakiamua kujipigia wewe mwanaume na hoja zake utafika bungeni? Maelezo yako yanaunga mkono mpango wa viti maalumu- ASANTE
Johnny Sack, SO wakijipa 51 nyinyi mna 49 mnaingiaje bungeni?Wanawake na wanaume ni kama wanalingana kwa idadi tu ni kama 51 kwa 49 tukiwaganywa kwa asilimia, kacheki takwimu za sensa uhakiki mwenyewe, na hata hivyo wanawake hawafuatilii sana na siasa hata wanaopiga kura wanakuwa wachache kuliko wanaume
Pascal....Kama ni 60 per cent in favour of one gender then there is no gender equality....teheteh just an argument Pascal....Sina Nia ya ubishiWanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara la Africa likiongoza duniani kwa kuwa na maspika wengi wanawake kuliko mabara yote.
Africa takes historic lead in female parliamentary speakers
The archetype of the strong African woman standing as an unmoving pillar of her community is one that transcends national borders on the African continent. While in the past, this image often faded the instant a woman crossed the threshold of business or politics, 2019 saw...blogs.worldbank.org
Hii maana yake ni gender equality is possible ila pia nafasi za upendeleo kwa wanawake vikiwemo viti maalum, dhumuni lake sio kuongeza tuu idadi ya wanawake bungeni, bali ni kuwajengea uwezo wabunge wanawake walioteuliwa, yaani empowerment, kuwa empower.
Hilo kwa Rwanda limewezekana kwasababu ubunge wa viti maalum kule ni kwa awamu moja tuu, awamu ya pili wanakwenda majimboni na kupisha wengine.
Mnaonaje na sisi Tanzania tukafuata mfumo huo?.
Japo sio neno zuri kulitumia lakini ndio ukweli wenyewe, Ubunge wa Viti Maalum ni ubunge wa kubebwa. Sasa kama wewe Mbunge mwanamke umebahatika kubebwa, ukaukwaa ubunge wa Viti Maalum, na ukakaa Bungeni miaka 5, maana yake umeisha kuwa empowered, huhitaji kubebwa tena kumendea ubunge kupitia Viti Maalum, sasa unakuwa umeiva kustahili kwenda kugombea jimboni.
Kama umekuwa Mbunge Viti Maalum miaka mitano na bado huwezi kwenda jimboni, then wewe utakuwa hufai, hata ukirudi Bungeni utakuwa huna jipya!, hivyo ni bora upumzishwe, wapewe nafasi wengine wenye uwezo wa kujiongeza kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya hawa wabunge wa viti maalum huwasikii wakichangia mjadala wowote zaidi ya kuupara na kutokelezea, hadi watu humu kuwabatiza jina la Wabunge wa "Vitu Maalum".
Ukibebwa, bebeka, haiwezekani mtu ubebwe mara ya kwanza, uvushwe mto mpaka ng'ambo ya pili, halafu baada ya kufika upande wa pili, badala ya kushuka na kutembea mwenyewe, wewe bado unang'ang'ania mgongoni uendelee kubebwa!. Kitakacho fuata hapo ni wewe kubwaga tuu chini puu!, unless huyo anayekubeba, naye anapata uroda fulani kukubeba,maana kiukweli ukibeba chochote nimzigo kwako,ila kama mzigo huo unafaida kwako, japo ni mateso kuendelea kuubeba, utaendelea kuubeba tuu.
Mnaonaje wanabodi, hawa wabunge wa kubebwa kupitia Viti Maalum, wawekewe ukomo wa miaka 5 tuu au kwa sababu kubebwa ni raha, na kula uroda hivyo wabebaji wanapenda kuendelea tuu kubeba na wabebwaji wanaona uroda kubebwa?.
Ukibebwa bebeka, na next time jibebe, usibwete, na kupenda kuendelea kubebwa tuu, oneni aibu!. Tuweni kama Rwanda!.
Vipi wajameni, wa kubebwa waendelee kubebwa tuu au wajibebe, na wasipojibeba wabwagwe?
Paskali
Naunga mkono hoja, gender balance is not 50/50, but promotional representation, kama kwa Rwanda wanawake wako 60% na wanaume ni 40%, then hiyo 60% ya wabunge wanawake Rwanda ni gender balance. Hata sisi Tanzania, kwenye matokeo ya sensa yetu ya watu na makazi, wanawake wako wengi kupita wanaume, hivyo wanapaswa kuwa wengi zaidi ya wanaume kwenye kila sekta zisizo hitaji muscle powers.Pascal....Kama ni 60 per cent in favour of one gender then there is no gender equality....teheteh just an argument Pascal....Sina Nia ya ubishi