Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

Hivi viti maalum, vinatuletea songombingo, napendekeza vifutwe!.

P
 
Si mchezo.
 
Kwani Rasimu ya warioba ilikuwa na mapendekezo gani kuhusiana na wabunge viti maalum.

Maana kuna wabunge wengi wamejiwekeza kwenye viti maalum. Yaani kila uchaguzi mkuu yeye anaingia bungeni kupitia viti maalum.

Pamoja na kupata uzoefu. Hajawahi hata siku moja kufikiria kugombea jimbo.
 
Kiongozi uko vizuri. Inabidi Pascal Mayalla arudi akusome hapa.
 
Ila ni wewe huyo ulikuwa juzi unalazimisha CDM wapeleke majina ili wateuliwe ilhali ushaona hivyo viti havina maana yoyote!
 
Umri wote huu bado unaamini dunia iliiumbwa! Nani aliumba dunia? unayo sababu ya kisayansi kuonesha kwamba wanawake ni dhaifu? Unaleta mambo ya kuumba tena! Soma sayansi ikusaidie kuinua kichwa na hatimaye uondokane na mawazo hovyo kiasi hiki cha kudhalilisha akina mama bila sababu ya kisayansi.
 
Hao wa Rwanda hakuna kitu hapo. Hakuna Tume hapo. Majirani zetu wenye uchaguzi wa huru na haki ni Malawi.
Malawi ya wapi? Uliposikia mahakama inafuta matokea ukaamini wako juu. Kule Kenya muliposikia mahakama kuu imefuta matokea, mukasema wako juu. Siyo hivyo!!! Musiwe watu wa kujenga matumaini kwa tukio moja linalotokana na mtu mmoja. Kinacholeta uimara ni mfumo siyo mtu.

Kenya wana katiba nzuri! Angalia wanayoyafanya leo hii. KIla siku kuzozana kwa ukabila. HAta maamuzi ya mahakama yao walipofuta matokeo, wengine waliingiza ukabila.
 
Sio tukio la mahakama tu nenda kasome katiba yao jinsi wanavyochaguliwa wasimamizi wa chaguzi zao
 
Siku ya Wanawake Duniani, Wanawake wa viti maalum, jee waendelee kubebwa au mitano itoshe?.
P
 
Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Karibu mitaa hii, ushuhudie huyu Msukuma Pasco, asivyo kubali kuongozwa na Mwanamke!
P.
 
Mkuu peno hasegawa, naunga mkono hoja, kikosi kazi kimezingatia hoja hii Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?
Hivyo hoja hii kikosi-kazi-chapendekeza-ukomo-wa-viti-maalum ni majibu kwa maswali ya bandiko hili.
P
 
Hizi sifa unanazotaja unataka sema jewellery likuwa kabila gan Acha kashfa bro hahahaha
 
Hizi sifa unanazotaja unataka sema jewellery likuwa kabila gan Acha kashfa bro hahahaha
Mkuu The only , kashfa kivipi wakati huu ndio ukweli kuhusu kabila hili!. Japo ukabila ni tatizo, lakini kusifia mambo mema ya kabila fulani au mazuri ya kabila fulani sio jambo baya, au kuzungumzia mabaya ya kabila fulani ili yaepukwe ni jambo jema. Ukabila mbaya unaopaswa kuepukwa ni nepotisim, kuliwahi kutolewa tuhuma za nepotism humu, kwanza nilijitolea kuwaelimisha watu humu kuhusu Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! na kwa vile Blaza wangu yule alinyooshewa vidole kutuhumiwa, nikashauri Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

What did we do?.
P
 
Tanzania kama ukabila utaja tucost utaletwa na wasukuma ,wachaga ,wahaya na wanyakyusa ,wasukuma tunao mtaan tunao kila mahali wanapenda sana maukabila ,mbona sijawahi sikia wanyamwezi au wabena wanasifia sifia kwao? Tena kama yule jiwe ndo aliwaharibu sana zipo hata clip za gwajima et mlidhalauliwa siku nyingi sijui mundane, watani zangu ushamba utawaua ,nyinyi mlichelewa kusoma mlingngana na kilimo na mauvuvi automatically mjini ikabidi mchukue kazi inferior kama kuchota maji kulima bustan ,pelekeni watoto shule
 
Tanzania kama ukabila utaja tucost utaletwa na wasukuma ,wachaga ,wahaya na wanyakyusa ,wasukuma tunao mtaan tunao kila mahali wanapenda sana maukabila ,
Yes tunapenda lugha yetu, mila zetu na desturi zetu, ila hatuna upendeleo wala ubaguzi dhidi ya makabila mengine.
mbona sijawahi sikia wanyamwezi au wabena wanasifia sifia kwao?
Kama hawana chochote cha kusifu, hilo ni kosa la Wasukuma?. Sijui ni wangapi wanaojua ili mtu ashinde urais wa JMT, kura za Kanda ya Ziwa ndio decisive votes!. Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Duh...!. Hili dongo!.
P
 
Kaka mayala mbona sijawahi ona mtu anamtaja mkapa na umachinga ,kwani wachinga hawana cha kujisifia,bro no offence watu wajinga hujificha kwenye udini na ukabila
 
Kaka mayala mbona sijawahi ona mtu anamtaja mkapa na umachinga ,kwani wachinga hawana cha kujisifia,
Wanaojua sifa na uzuri wa kabila fulani kwanza ni wana kabila wenyewe, ndipo waje wafaidika wa uzuri huo. Ikitokea kabila fulani wanazo sifa njema za kujivunia za kabila lao, wamezificha, na wafaidika wa sifa hizo wanazifaidi kimya kimya bila kuzisema, then jamii itajuaje?.

Kama kuna sifa zozote nzuri za Chinga ungependa jamii izifahamu tuwaige sio vibaya ukizitaja tukazifahamu tukawapa sifa zao.
bro no offence watu wajinga hujificha kwenye udini na ukabila
Japo its true ni ujinga kuutumia Ukanda, Udini na Ukabila kujihalalisha kisiasa, na wanaofanya hivyo ni wajinga!, lazima tukubali, tukatae, siasa za nchi masikini zina evolve kwenye ukanda, udini na ukabila, angalia tarehe ya mabandiko haya Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?." na Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! na Nimekubali matokeo, UKAWA Kanda ya Ziwa wako vizuri, Mnyika, Salum ni Combination ya hatari humo nilisema
Jee unajua kama sio kuitumia kete ya Ukanda na Ukabila, lile dubwana lilikuwa linakwenda chini ile 2015?, jee unajua JPM aliibukia wapi na kwa nini?, angalia mwaka 2014 nilisema nini, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli had to be only JPM and JPM only?.

Japo ni ujinga ila hakuna jinsi!, mtu ukijiona uko kwenye hatari ya kifo cha mende, namna pekee ya kujiokoa ni kukumbatia ujinga, unakumbatia!.
P
 
Kwa andiko hili kiongozi umethibitisha bila shaka unauvumilivu mdogo wakutofautiana kisiasa ,kiasi unahalalisha kuingia kwa wizi Jiwe ikiwemo kuua ndugu zetu kibao.(hawa wanahaki kama wanao)
Pili si kwa ubaya mtoto hajakuwa mpaka atapojua mpishi bora duniani sio mama yake mzazi ,ni vyema unapotaka jua sifa zako tuulize sisi tusio wasukuma(wapishi tusio Mama yako)
Wasukuma ni kweli wao na kwao wanasifa nzuri ila sio kabila top ten ya watu bora kTanzania wanaweza kwa upeo wangu nikawarate kama nafasi ya 14 ,mfano mm mchaga tumewazidi kiuchumi ,tumewazidi kielimu ,sisi wacha mila zetu kuliko ninyi na kilimanjaro inaongoza kwa vivutio vya utalii,hata uchumi wa mwanza wanaendesha wakurya na wachaga ila haya si mambo ya mm kujisifu ni upumbavu.
Wachaga tunajikita kushirikiana na makabila yote kwenye sehemu walizo bora kuliko sisi mfano wasukuma wachapakazi,wanatoa wake grade 1,wanaheshima sana kwa wakubwa zao na husaidiana kwenye shida lakini hii haimaanishi sifa hizi wao ndo vinara ,wasukuma hawapigi kazi kama wabena na wakinga ,hawana wake wema kuzidi wahehe ,hawasaidian kwa kiwango wanachosaidiana wachaga etc
So ukabila na kuji identify kwa kabila too much kama nynyi na washamba wenzenu wahaya(angalau wamesoma)
Mm unaweza ishi na mm mwaka na usijue kabila langu utanzania na uafrica ndio identity zangu kuu.
Wengine wote nawatendea kama.walimu wangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…