Jiwe amekopi kitu gn kwenye serikali za mitaa?, kuna mabadiliko yoyote jiwe aliyafanya ambayo hayakuwepo?Rwanda in nchi ya kidikiteita Africa na labda inaongoza kwa udikiteita. Si ajabu hao wote wameingizwa kwa njia kama ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa hapa ili kupunguza nguvu ya kuhoji bungeni. Na nadhani hiyo mbinu ya serikali za mitaa, Jiwe ameikopi toka Rwanda. Hivyo hoja yako haina mashiko.
Ingelikuwa picha hiyo ni ya say Sweden, Norway, Denmark and the like, ningelikupa like.
Shuntama ni nini mkuu?Wanaume wa Kinyarwanda wengi wanatawaliwa na wake zao kwa msaada wa shuntama kama unabisha tafuta ndugu au marafiki zako waliooa Wanyarwanda uone jinsi wasivyokuwa na maamuzi kwenye mambo yao
Shumtama ni dawa ya kiasili ya mapenzi kwa wanawake wa makabila ya watu wa eneo la Maziwa Makuu wakiwemo Wahaya, Waganda, Watutsi, Wanyarwanda, Warundi na Wahangaza, ambayo huwafanya wakolee sana kwenye yale mambo yetu, ukipita unapagawa! Unasahau kila kitu na huyo Mwanamke anakuwa ndio ana ku control, ni some sort of limbwata fulani, ila shumtama ni unajiloga mwenyewe kwa utamu utakaokuta nao!, asali itasubiri!.Shuntama ni nini mkuu?
Alifanya uteuzi wa serikali za mitaa ,zamani kulikuwa na uchaguziJiwe amekopi kitu gn kwenye serikali za mitaa?, kuna mabadiliko yoyote jiwe aliyafanya ambayo hayakuwepo?
Maelezo mwanana,asanteShumtama ni dawa ya kiasili ya mapenzi kwa wanawake wa makabila ya watu wa eneo la Maziwa Makuu wakiwemo Wahaya, Waganda, Watutsi, Wanyarwanda, Warundi na Wahangaza, ambayo huwafanya wakolee sana kwenye yale mambo yetu, ukipita unapagawa! Unasahau kila kitu na huyo Mwanamke anakuwa ndio ana ku control, ni some sort of limbwata fulani, ila shumtama ni unajiloga mwenyewe kwa utamu utakaokuta nao!, asali itasubiri!.
P.
Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara la Africa likiongoza duniani kwa kuwa na maspika wengi wanawake kuliko mabara yote.
Africa takes historic lead in female parliamentary speakers
The archetype of the strong African woman standing as an unmoving pillar of her community is one that transcends national borders on the African continent. While in the past, this image often faded the instant a woman crossed the threshold of business or politics, 2019 saw...blogs.worldbank.org
Hii maana yake ni gender equality is possible ila pia nafasi za upendeleo kwa wanawake vikiwemo viti maalum, dhumuni lake sio kuongeza tuu idadi ya wanawake bungeni, bali ni kuwajengea uwezo wabunge wanawake walioteuliwa, yaani empowerment, kuwa empower.
Hilo kwa Rwanda limewezekana kwasababu ubunge wa viti maalum kule ni kwa awamu moja tuu, awamu ya pili wanakwenda majimboni na kupisha wengine.
Mnaonaje na sisi Tanzania tukafuata mfumo huo?.
Japo sio neno zuri kulitumia lakini ndio ukweli wenyewe, Ubunge wa Viti Maalum ni ubunge wa kubebwa. Sasa kama wewe Mbunge mwanamke umebahatika kubebwa, ukaukwaa ubunge wa Viti Maalum, na ukakaa Bungeni miaka 5, maana yake umeisha kuwa empowered, huhitaji kubebwa tena kumendea ubunge kupitia Viti Maalum, sasa unakuwa umeiva kustahili kwenda kugombea jimboni.
Kama umekuwa Mbunge Viti Maalum miaka mitano na bado huwezi kwenda jimboni, then wewe utakuwa hufai, hata ukirudi Bungeni utakuwa huna jipya!, hivyo ni bora upumzishwe, wapewe nafasi wengine wenye uwezo wa kujiongeza kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya hawa wabunge wa viti maalum huwasikii wakichangia mjadala wowote zaidi ya kuupara na kutokelezea, hadi watu humu kuwabatiza jina la Wabunge wa "Vitu Maalum".
Ukibebwa, bebeka, haiwezekani mtu ubebwe mara ya kwanza, uvushwe mto mpaka ng'ambo ya pili, halafu baada ya kufika upande wa pili, badala ya kushuka na kutembea mwenyewe, wewe bado unang'ang'ania mgongoni uendelee kubebwa!. Kitakacho fuata hapo ni wewe kubwaga tuu chini puu!, unless huyo anayekubeba, naye anapata uroda fulani kukubeba,maana kiukweli ukibeba chochote nimzigo kwako,ila kama mzigo huo unafaida kwako, japo ni mateso kuendelea kuubeba, utaendelea kuubeba tuu.
Mnaonaje wanabodi, hawa wabunge wa kubebwa kupitia Viti Maalum, wawekewe ukomo wa miaka 5 tuu au kwa sababu kubebwa ni raha, na kula uroda hivyo wabebaji wanapenda kuendelea tuu kubeba na wabebwaji wanaona uroda kubebwa?.
Ukibebwa bebeka, na next time jibebe, usibwete, na kupenda kuendelea kubebwa tuu, oneni aibu!. Tuweni kama Rwanda!.
Vipi wajameni, wa kubebwa waendelee kubebwa tuu au wajibebe, na wasipojibeba wabwagwe?
Paskali
Wapewe awamu moja ila namna wanavyopatikana kuwe na uwaziMkuu Njowepo , naunga mkono hoja, hili nilikuja kushauri Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu? na nikapendeleza vifutwe!.
P
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.Wanabodi,