CCM imeshathibitika Si chama tena chenye dira,Na ukisharudisha huku wabunge wa-ccm zaid ya asilimia 90 wanachukua inamaana gani
CCM ni corrupt, ndio maana hatuijadili hapa,Unahoji tu pale tu chadema wanapotumia ila ni sawa kwa ccm walioko asilimia zaidi ya 90 wakichukua mshahara
Kazi kweli Kweli
Watachukua na kushauri Bunge at the same time na Rais wa wakati huo ndugu Mbowe aitishe mabadiliko ya Katiba ili Katiba ya Waioba irudishwe.Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!
Amen
2015 CHADEMA ilikuwa na wabunge zaidi ya 70 bungeni,Hoji chanzo cha tatizo. Sasa hapa unahoji watu ambao hawako serikalini wala bungeni? Unahoji uongozi wa CHADEMA kuhusu matumizi ya kodi zako? Halafu unauliza swali la kinadharia wakati kodi zinafujwa in real time? Be serious please.
CHADEMA chama mbadala chenye mbunge mmoja tu wa jimbo?
Inakuwaje unaogopa kuwagusa wanaohusika na ufujaji mkubwa wa fedha za umma unaoendelea nchini hivi sasa? Subiri CHADEMA waingie bungeni au madarakani uwape kazi ya kufanya. Unachofanya hapa ni kupiga ramli.
Wakija na HOJA hii kuelekea compaign za uchaguzi,Ushauri wangu kwa Chama changu cha CHADEMA tuugomeeni huo Mshahara.
Kabla ya kuaminiwa na kupewa madaraka,Watachukua na kushauri Bunge at the same time na Rais wa wakati huo ndugu Mbowe aitishe mabadiliko ya Katiba ili Katiba ya Waioba irudishwe.
Ngoja hii hoja tuipeleke kwenye Vikao ni Hoja mujarabi sana.Wakija na HOJA hii kuelekea compaign za uchaguzi,
Watapata uungwaji mkono mkubwa Kutoka Kwa wananchi,
Na CCM itakataliwa mchana kweupe,
Na hata wakiiba kura, hawatatoboa.
Wangekuwa wanalipwa wabunge ml 5 Kwa mwezi,18,000,000/- pesa nyingi sana aisee
Kwa maslah mapana ya nchi.🙏Ngoja hii hoja tuipeleke kwenye Vikao ni Hoja mujarabi sana.
Toa hivyo vinyani, Kisha tujadili HOJA.kwani katibu mkuu Dr slaa alikua analipwa ngapi, mashinji na JJMNYIKA analipwa ngapi 🐒
Kwan, Join the chain walilipana ngapi ngapi🐒
Ruzuku ya majuzi waligawana ngap ngap kwan 🐒
uwazi ni jambo muhimu sana aise
confused or umetishika 🐒Toa hivyo vinyani, Kisha tujadili HOJA.
Badilika basi.
Wewe umelala chumba cha buku 5 hapo Gesti ndio unaiamrisha CHADEMA?Kabla ya kuaminiwa na kupewa madaraka,
CHADEMA itoke hadharani na kusema mishahara ya wabunge ni mikubwa,
Wakipewa Nchi, mishahara na posho za wabunge isizidi ml 5 Kwa mwezi.
Katiba ya Warioba ije tu kwakweli,Kugomea kiwango cha mshahara ni pale mhusila awapo nje ya mshahara,uzamapo jikoni lazima uone hakikutoshi na liwalo na liwe bora ule 70% ya keki kibakiacho wagawiwe makumi elfu ya waajiriwa na walala hoi
Mamlaka ya vyama vya siasa hutoka Kwa wananchi.Wewe umelala chumba cha buku 5 hapo Gesti ndio unaiamrisha CHADEMA?
#poor you!
Waambie CCM , JIWE na Nappe walishasema CHADEMA imekufa, sasa unaamrisha chama kilichofa ?Mamlaka ya vyama vya siasa hutoka Kwa wananchi.
Unalijua hili.
Hivyo vinyani vinabore,confused or umetishika 🐒
Ni Kweli vyama vyote vitakufa,Waambie CCM , JIWE na Nappe walishasema CHADEMA imekufa, sasa unaamrisha chama kilichofa ?
Very wrong postulation.2015 CHADEMA ilikuwa na wabunge zaidi ya 70 bungeni,
Hapakuwahi kuinuka HOJA Kutoka CHADEMA yenye kudai, malipo ya wabunge ya wakati huo ml 12 Kwa mwezi kuwa ni makubwa, yapunguzwe,
Na Kwakuwa tunaelekea uchaguzi 2025, CHADEMA ije na HOJA ya kuombea kura Kwa wananchi kuwa,
Tukichagua wabunge wa CHADEMA 2025,
Watagomea mshahara wa ml 18 na kupokea ml 5 pekee, zingine zote wazijusanye na kupeleka kwenye mfumo wa bima ya watoto chini ya miaka 5.
Tutawapa kura za kutosha.