Una matatizo ya akili nadhani. Mbowe alichofanya ni kuhabarisha Umma kujua wawakilishi wetu wanaishije huko Bungeni. Kuna shida gani wewe na wengine kupata hiyo taarifa?! Kama taarifa imekuuma ndo uwauliza hao waliojiongezea. Shida iko wapi?Professor wa chuo kikuu hapati hata ml 15 Kwa mwezi,
Iweje Musukuma wa la Saba akunje zaidi ya ml 18 Kwa mwezi?
Vina madhara kwenye hoja sio 🐒Hivyo vinyani vinabore,
Au unaamini hiyo ndo kiki Yako jukwaani.
Kweli hakuna mbumbumbu, kwa vile sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika!.Kuna mbumbumbu awezaye kutunga Sheria?
Maana bunge ni chombo Cha kuchakata, kujadili na kutunga Sheria.
Tena Watapigia kura kupata 36m😅😅😅Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!
Amen
Wewe ni mbunge, au uliwahi kuwa mbunge?Very wrong postulation.
Kazi ya msingi ya mbunge ni kuhakikisha matumizi sahihi ya kodi za wananchi SI masuala ya mfuko wake binafsi. sijui kama unaelewa maana ya “legislative assembly”.
Mafanikio ya wabunge na chama chao ni pale wanapofanikiwa kupitisha miswada inayosaidia taifa. Au angalau kutetea kwa nguvu na msimamo usioyumba wa miswada hiyo. Sio michango binafsi toka mifukoni mwao.
Pendekezo uliloweka hapo nilipo-highlight (red/bold) sio la mtu mwenye uelewa wa kimantiki wa bunge, vyama vya siasa na serikali. Ni la mtu anayeendeshwa na hisia za kinafiki. Completely illogical. Sorry.
Bungeni ni sehemu ya kutunga Sheria,Kweli hakuna mbumbumbu, kwa vile sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika!.
Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unaiamrisha CHADEMA ambayo haina mbunge wala waziri badala ya kumuamrisha aliyeko madarakani?Mamlaka ya vyama vya siasa hutoka Kwa wananchi.
Unalijua hili.
Sasa watatumia Mbinu ipi kutushawishi kuwachagua?Hahahahahaha swali gumu kwakoo, Bongo siasa ni ajira, abadani hawataukataa huo mpunga tupo hapaa na Mungu atupe uhai
Ndiyo, mimi nitakuwa wa kwanza kuugomea na lazima waubadilishe!Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu
Amen
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za mskafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!
Amen
Chadema chama cha mabilionea waache hiyo pesa,utashuhudia usaliti wa kufa mtu yaani Sugu moto chini aachie ml.18 kwa mwezi thubutu lazima wamsaliti chaman mbowekwani katibu mkuu Dr slaa alikua analipwa ngapi, mashinji na JJMNYIKA analipwa ngapi 🐒
Kwan, Join the chain walilipana ngapi ngapi🐒
Ruzuku ya majuzi waligawana ngap ngap kwan 🐒
uwazi ni jambo muhimu sana aise
2025 ni uchaguzi ujue,Kwahiyo unaiamrisha CHADEMA ambayo haina mbunge wala waziri badala ya kumuamrisha aliyeko madarakani?
Mamlaka ya vyama vya siasa yanatoka wananchi? Kwahiyo ACT "nyie wananchi" ndio mmeiambia iungane na CCM kupinga katiba mpya?
Mmeviambia vyama vingine 18 vilivyobaki vifanye hivyo kama unavyoiamrisha CHADEMA kutokea hapo KUMBATO GUEST HOUSE?
Ndugu unapoteza muda tu ,mwenzio Lema anajua chaman Mbowe anazuga tuu,Lema hawez kuachia ml.18CCM imeshathibitika Si chama tena chenye dira,
Ndio maana hatupotezi muda kujadili hapa.
Mategemeo yetu ni CDM chama mbadala, kitupe wananchi tumaini kuwa, wao wakipewa nafasi, watahakikisha wabunge wanapunguziwa mishahara isizidi 5 ml Kwa mwezi,
Ili pesa zinazobaki, ziende mashuleni, watoto wapate hata kikombe kimoja Cha uji utolewao na Serikali kupitia Kodi za wananchi.
Wa kukataa hiyo posho toka moyoni ni Lissu pekee,Msigwa anahesabu zake alafu umwambie aache ml.18 hawezi kubali kwa nnavyomjua msigwa na hela yani watatoana macho2025 ni uchaguzi ujue,
CHADEMA haiamrishwi hapa, inapewa mbinuu ya kushinda wabunge wengi kirahisi,
Imagine CHADEMA ukisema kuwa Wabunge wake wakichaguliwa, watakataa posho ya ml 18, milioni 5 Kwa mwezi inatosha.
Watapata kura nyingi sana.
kipindi kile Mbowe alipojaribu kuwasusisha wenzie eti wagomee zile posho kipindi kile, J Shibuda na J Selasini walimwambia kama yeye hachangia kwenye harusi na rambirambi kwenye misiba ya wanainchi, aache lakini wao wanazichukua bila wasi wasi wowote 🐒Chadema chama cha mabilionea waache hiyo pesa,utashuhudia usaliti wa kufa mtu yaani Sugu moto chini aachie ml.18 kwa mwezi thubutu lazima wamsaliti chaman mbowe
Lema ni kabaila yule, aliwahi kusema ml 12 ni pesa ndogo sana Kwa mbunge,Ndugu unapoteza muda tu ,mwenzio Lema anajua chaman Mbowe anazuga tuu,Lema hawez kuachia ml.18
Ukiambiwa Mbowe ni msela tu anadanganya wenzake,hakuna wa kuacha Ml.18 la sivyo chama kitapasuka,akina Mwakajoka huwaambii kitu aiseekipindi kile Mbowe alipojaribu kuwasusisha wenzie eti wagomee zile posho kipindi kile, J Shibuda na J Selasini walimwambia kama yeye hachangia kwenye harusi na rambirambi kwenye misiba ya wanainchi, aache lakini wao wanazichukua bila wasi wasi wowote 🐒
mwishowe nae akachukua vilevile 🤣
Si Rahisi kuwagomea wabunge,Ndiyo, mimi nitakuwa wa kwanza kuugomea na lazima waubadilishe!
Ndio shida ya Lema,anaivizia hiyo pesa kwa hali na Mali,fikiria aikunje ml.18 kwa miaka mitano ni kama B.kadhaaLema ni kabaila yule, aliwahi kusema ml 12 ni pesa ndogo sana Kwa mbunge,
Mi najiuliza, asemapo ndogo, hajui tunaolipa wabunge ml 18, hatuna uhakika wa Milo 3!!
Uchumi ukikua Kwa wote, posho ziongezeke Kwa wote, hata walimu.