Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...

Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...

The Green Village

Senior Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
170
Reaction score
73
ndio mimi!! mwingine picha kivuli. a.k.a photocopy.. wazeiya, nchi yetu imekuwa ikibadilika siku kwenda siku... mikoa inagawanywajeee...! unaweza kuwa leo shinyanga, kesho unaamka uko KATAVI. mzee Katavi, sijamaanisha wewe mkuu, usinielewe vibaya.! basi naomba tuipitie japo kwa hara hara mikoa yetu yoooote ile mipya na ile mikuu kuu...! pamoja na wilaya zake zooote!!! MKOA HALMASHAURI.

1. kusini pemba 2

2. kaskazini pemba 2

3. kaskazini unguja 2

4. kusini unguja 2

5. mjini magharibi 2

6. tanga 8

7. kilimanjaro 7

8. manyara 5

9. arusha 6

10. mara 7

11. mwanza 7

12. geita 6

13. kagera 8

14. kigoma 7

15. katavi 3

16. rukwa 4

17. tabora 7

18. shinyanga 5

19. simiyu 5

20. singida 6

21. dodoma 7

22. morogoro 7

23. pwani 6

24. dar es salaam 3

25. lindi 6

26. mtwara 6

27. ruvuma 6

28. njombe 5

29. mbeya 10

30. iringa 4

JUMLA YA WILAYA/HALMASHAURI NI 161.. MIKOA NAYO NDIO HIOO.. 30!

Jamani nawakaribisheni nyote mtambue mlikotoka, na mabadiliko yalivyofanyika!

HABARI ZIWAFIKIE; Heaven on earth lara 1 Katavi Mwita Maranya mpigamsuli AllenMwita Baba V Mtambuzi King'asti Mapi Mchwechwele fisi 2 The Boss watu8 kalou Blaine Jestina Invisible Madame B madame x Dr.Mo snowhite kama wewe hekima tele segere Smile Lizzy mzito mkabwela kamati Gefu Munkari mdesi Mashaxizo miss strong Mtende julius mahinya Ngalikihinja OLESAIDIMU jumalesso Arushaone Crashwise Khakhi Bangu-silo Makanyaga Mokoyo christine ibrahim daviey69 gogo la shamba Marire Naibili Mkoroshokigoli nndondo Tanganyika TANU Haki na amani Salary Slip babtutu mdeki handsome one MD25 Khakha Pasco Eshacky MwanaHaki salimkabora NA WENGINEO WOTE JAMANI....

PLEASE naombeni mtutajieni wilaya za mikoa mtokayo! hodi hodi JF...

Yours, kipikikusikitishacho
 
mgeni unajua watu wote? sasa ugeni wako ni nini ? hebu niambie id yako ya siku zote kwanza
unajua mkuu Smile ngoja nikwambie.. wasi wasi wako ndio pressure yako!! mimi sikuwa na pressure saaana kujiunga na jf.. nilifunza kwanza vitu flani, halafu nikiingia niwe na mwanga bwana! please usini-quote vibaya!
 
Last edited by a moderator:
Smile naona unampa kipikikusikishacho habari ya tega nikutege!!!!
 
Huyu alikuwa ni GUEST hapa JF kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga hivi karibuni............

karibu sana mkuu KPKKSKTSC
 
Kwa ujanja umejaliwa kutaka kujua tuliko toka! lakini pia nashukuru kutukumbusha mabadiliko yasiyokuwa ya tija, nalia kwa machungu mikoa na wilaya kuongezeka lakini wakuu wa mikoa na wilaya kubaki wakiishi mikoa na wilaya za zamani ila kazi katika vijiji vilivyo badilika kuwa wilaya na wilaya zilizoitwa mikoa.

Sitaendelea kunena ila kwetu kumeongezeka wilaya moja nami ni mkazi wa kudumu ndani ya wilaya hiyo! sitasema niwapi kwa kuwa najua swali lako limelenga nini!
 
Kwa ujanja umejaliwa kutaka kujua tuliko toka! lakini pia nashukuru kutukumbusha mabadiliko yasiyokuwa ya tija, nalia kwa machungu mikoa na wilaya kuongezeka lakini wakuu wa mikoa na wilaya kubaki wakiishi mikoa na wilaya za zamani ila kazi katika vijiji vilivyo badilika kuwa wilaya na wilaya zilizoitwa mikoa. Sitaendelea kunena ila kwetu kumeongezeka wilaya moja nami ni mkazi wa kudumu ndani ya wilaya hiyo! sitasema niwapi kwa kuwa najua swali lako limelenga nini!
mkuu julius mahinya, punguza hasira! hii ndiyo Tanzania inayoongozwa na coconut head
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom