julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Hatuna jinsi yalisha mwagika japo tunayo nafasi kujipanga! Nivizuri kuamini mabadiliko chanya hatujafikia ni lazima kuungana wenye mawazo yanayorandana kuleta mabadiliko kwa vizazi vyetu!mkuu julius mahinya, punguza hasira! hii ndiyo Tanzania inayoongozwa na coconut head
Mwenyewe ndoto zangu naamini zimekufa ntalithisha mwanangu utawala ukibadilika! macho yao hayaoni, wala masikio kusikia,hata ngozi haihisi kama ubongo usivyo wa rutuba! nishie hapo nisiwatoneshe vidonda watanzania!